Dah nyboma hupo deep sana. Asante kwa elimu.Hakuna antidote ya polonium mkuu, zaidi utapewa supportive therapy kama kutumia chelating agents na Gastric salvage kuiondoa mwilini na hapa itategemea umekula kiasi gani tofouti na hapo unakwenda na maji mapema.
Kumbuka inahusika na utoaji wa mionzi mikali ambayo huaribu seli za damu nyekundu na kuharibu kiwanda chake katika uboho (bone marrow) kupona huwa nj majaaliwa.
Hata ukipona hutokuwa na maisha marefu
Ichi ndo kipengele katika simlizi hii , sikukuwahi kukukielewa ? Huwa kina ninanichanganya mpaka leo hasa hapo kwenye documentsNdo maana prof tangu wakati huo ameanza kuongea kama punguani bila kushirikisha ubongo kwa sababu ya damu inayomlilia....
Fa na kidoto siku zile za sintofahamu kuna kitu waliandika kila mmoja kwa namna yake, kila aliyesoma alijua tu yamkini hali sio shwari.Madam Basi wewe utakuwa kidoti. Ungekuwa mwanamme basi Mwana FA
Hapa nawaza sana kuanza kilimo cha bamia maana naona imepitishwa sheria kila mwanamke kunywa maji yaliyoloweka na bamia asubuhi na jion, hii furs haiwezi nipita kirahis.Hahaha madam bado tu unaingia mkenge kwenye matikiti. Basi pia utakuwa unalima ngwara, ufuta, dengu, vanilla na pia mayai ya kware.
mrangi
Hahaha you really have a sense of 3😅🤣Hapa nawaza sana kuanza kilimo cha bamia maana naona imepitishwa sheria kila mwanamke kunywa maji yaliyoloweka na bamia asubuhi na jion, hii furs haiwezi nipita kirahis.
😅😅Kuna mtu alitabiri mji wa Dar es Salaam kuangamia kati ya 20 April hadi 20 May 2024,
Akawaambia watu wauze mali zao kisha akatanga sehemu salama ni kuanzia Kibaha waende wakajenge huko wakimbie Dar 😂😂😂😂🤣🤣
Kwako Mwl Rabbon
Hahahahaha bado unasubiri tu hilo tukio ?Sio ajabu,lakini kuangamia kwa Jiji kama Dar ndio ajabu nasubiri nione kama ni uzushi tu!
HahahahahaYule mtabiri wenu tarehe alizotabiwa hazijapita? Msipokuwa makini mtafanya self fullfilling prophecy
Mara paaa bahari imeuzwaMara paaap! Episode mpya ya Dark Days!!
Umenistua kweli!!!Mara paaa bahari imeuzwa
😳😳😳New CEO, pole pole anajimilikisha kampuni ameshaonja utamu wa madaraka ngumu kuuacha. Hana imani na kuendelea na miaka mingine kwan anajua hana nguvu na ushawishi mkubwa ndani na nje ya chama, hivyo anaweza kufuata njia ya By gone kurudi kitini.
Inavyoonekana kwa sasa NEW CEO, hana imani na wateuzi wake, hasa wakongwe wa chamani” hivyo anatumia mbinu mbadala za kurudi tena. Branch manager mpya wa Kaskazini maarufu sana ndio tegemeo lake, na kwa mujibu wa chanzo kimoja wapo mwanae pia. Hawa ndio watu kidogo anawaamini katika mipango yake.
Njia za By gone naona akizipita New CEO, swali je atafanikiwa? Vipi state ina mipango gani na Next CEO?? Je watamruhusu current CEO aendelee? Kwani amekataa suala la kitabu ambalo lilikuwa sehemu ya matakwa ya kutekeleza kutoka kwa State, Kwa hali ilivyo kwenye mifuko ya wanakampuni hali ni tete sana, na kuna sababu za halisia na zisizohalisia ni za makusudi katika kushushana matumaini kwa wanakampuni.
Tuendele kutazama movie.
Mara paaap! Bon Town awa Mwenyekiti Tume ya Umoja wa Afrika.Mara paaa bahari imeuzwa
Mara paaap! Bon Town awa Mwenyekiti Tume ya Umoja wa Afrika.
Pole sana kwa kutozielewa siasa za sasa za CEO na chama tawala.Inavyoonekana kwa sasa NEW CEO, hana imani na wateuzi wake, hasa wakongwe wa chamani” hivyo anatumia mbinu mbadala za kurudi tena.
Hata awe Katibu mkuu wa UN, hana msaada kwa taifa zaidi tu ya kuwaza ufisadi, kuiongezea deni, kuifilisi na kukomba rasilimali za nchi na genge lake.Mara paaap! Bon Town awa Mwenyekiti Tume ya Umoja wa Afrika.