Is Ellen White a false prophet? Investigate the claims of SDA Prophet Ellen G. White. Research library of material on Ellen White.
www.nonsda.org
Hiyo ni link ya critics wa egw.
Wanatoa taarifa muhimu, kuhusu baadhi ya visions za egw, hususan za huko mwanzoni.
Alikuwa anasema anaona vision, kumbe alikuwa anatoa maoni yake, kutokana na uelewa wake, wa jinsi alivyojifunza kuhusu jambo fulani.
Ila hawa critics, kuna mahali pengine wanaharibu, kwa kukataa mafundisho ya kweli ya kibiblia (kama sabato ya siku ya saba). Ingawa kuna mahali pengine wanapatia, kwa kuunga mkono mafundisho ya kweli ya kibiblia (kama Utatu Mtakatifu).
Hawa critics pia inaonekana walikuwa ni opportunists.
Mapungufu ya mafundisho ya kanisa la sda ni haya:
1) Shetani na malaika zake hawa kuanguka kabla ya wiki ya uumbaji. Kwa sababu malaika wote (including Lucifer, ambae baadae ali muasi Mungu) waliumbwa siku ya pili ya wiki ya uumbaji.
2) Hakuna viumbe wengine kama binadamu kwenye sayari nyingine (kama sda wengi wanavyo fundisha).
3) "The Day of Atonement" ni tofauti na "the Day of Judgment". New tastement fulfilment of the Day of Atonement inaanza baada ya kufufuka na kupaa kwa Bwana Yesu, na inaisha at the end of probation period (karibia kabisa na ujio wake wapili).
Sanctuary linalokuwa cleansed in 1844, ni kanisa huku duniani. Mafundisho ya kweli (including the 10 commandments, and the seventh day sabbath) yanarudi kanisani, na mafundisho ya uongo yanaondolewa.
4) Wabatize kwa staili waliyoitumia mitume wa Yesu, mtu ana inama kidogo kwa mbele, huku amesimama, huku akidumbukia kabisa kwenye maji. Wasibatize kwa staili ya mtu kalala kwa mgongo, wana mshika na kumdumbukiza kwenye maji.
5) Wasi wapinge sda wenzao, wanao sema kwamba Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles. Kwa sababu kiukweli Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.
6) Wakubali kwamba hawa hodhi ukanisa wa kweli, na kwamba endapo kuna wasabato wanaofuata biblia ambao sio sda, wasabato hao hawana tatizo.
7) Waumini wa sda wawe pia na tabia nzuri kwenye maisha yao.
8) Baadhi ya mafundisho ya mama Ellen White ni maoni yake, na sio vitu alivyo viona kwenye maono (visions). Kwa hiyo baadhi ya mafundisho yake yanaweza yasiwe sahihi. Of course mama Ellen White yuko sahihi kwenye mafundisho yake mengi.
9) Ni vizuri wakristo weusi wakajua prophesies mbali mbali za kwenye Biblia, zinazo ongelea kuhusu injili kuja Afrika. Wakristo weusi, tu avoid a white/Eurocentric view of the bible, na tuwe na a true view of the Bible, which is a biblical centric view of the bible. Wakristo weusi tujaribu pia kuwa na makanisa huru yanayojitegemea (tushirikiane na watu wengine, lakini tusiwe tegemezi kwa watu wengine).
Sda wako sahihi kabisa kabisa kabisa kwamba sabato ni siku ya saba (Jumamosi), na kwamba Bwana Yesu Kristo hakubadilisha siku ya sabato. Na kwamba mpinga Kristo ndiye aliebadilisha siku ya sabato kutoka siku ya saba kwenda siku ya kwanza ya wiki.
Moral of the story ni: Mkristo yeyote anatakiwa kusikiliza mafundisho yanayoendana na biblia, usisikilize mafundisho ambayo hayafuati mafundisho ya biblia (hata kama ni mafundisho ya dhehebu lako).
So injili ya kweli, ni kwamba Utatu Mtakatifu upo, amri 10 zipo (hazikubadilishwa), sabato ni siku ya saba (Jumamosi), tufuate mafundisho ya Bwana Yesu Kristo kama Biblia inavyosema, na Biblia ni kitabu kitakatifu cha YAHWEH (Mungu wa Biblia). Ukristo ndio dini ya ukweli, dini nyingine zote ni za uongo.
Any way tuendelee na shughuli zetu za maisha hadi siku ya mwisho ya dunia, wakati huo huo tukiendelea kumkumbuka Bwana Yesu Kristo hadi siku hiyo atakapo rudi.
Palmoni, The Wonderful Numberer, ni Bwana Yesu Kristo. Pia Bwana Yesu Kristo (ndani ya Utatu Mtakatifu wa Mungu) ni The Wonderful Counsellor, The Wonderful Teacher, The Revealer of Secrets. Isaiah 9:6 For unto us a child is born, unto us a son is given: and the government shall be upon his...