Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tusio majasusi, tusio TISS, sisi raia wa kawaida kwa moyo wa unyenyekevu tuna uliza ni kete zipi hizo zilizosukumwa leo? ili tuunganishe dot.Kete zinasukumwa kwa kasi ya 6G who will conquer the Throne?
Mpina kapata wapi zile verified infos za Sukari? Nani yupo nyuma yake? Unadhani target ni Bashe? Kwanini Kuna Watu wanatupwa nje ya ukuta pale ikulu? Unadhani ni bahati mbaya marehemu kuteuliwa au barua zao kuwa na makosa kila siku Kama mwandiko wa chekechea? Kuna mtu hatakiwi kurudi mahala na kama unahisi naongopa subiri wajichanganye kumuhukumu Mpina kimehemko hakika Kuna Siri zitavuja ambazo hazitawaacha Watu salama.Sisi tusio majasusi, tusio TISS, sisi raia wa kawaida kwa moyo wa unyenyekevu tuna uliza ni kete zipi hizo zilizosukumwa leo? ili tuunganishe dot.
Aiseee asante sana, yaani mambo yananipita utadhani kama sipo nchi hii.Mpina kapata wapi zile verified infos za Sukari? Nani yupo nyuma yake? Unadhani target ni Bashe? Kwanini Kuna Watu wanatupwa nje ya ukuta pale ikulu? Unadhani ni bahati mbaya marehemu kuteuliwa au barua zao kuwa na makosa kila siku Kama mwandiko wa chekechea? Kuna mtu hatakiwi kurudi mahala na kama unahisi naongopa subiri wajichanganye kumuhukumu Mpina kimehemko hakika Kuna Siri zitavuja ambazo hazitawaacha Watu salama.
Nakupenda Tanzania kwa Moyo wote.🇹🇿
Comment yako imenipa matumaini makubwa sana mkuu!!Mpina kapata wapi zile verified infos za Sukari? Nani yupo nyuma yake? Unadhani target ni Bashe? Kwanini Kuna Watu wanatupwa nje ya ukuta pale ikulu? Unadhani ni bahati mbaya marehemu kuteuliwa au barua zao kuwa na makosa kila siku Kama mwandiko wa chekechea? Kuna mtu hatakiwi kurudi mahala na kama unahisi naongopa subiri wajichanganye kumuhukumu Mpina kimehemko hakika Kuna Siri zitavuja ambazo hazitawaacha Watu salama.
Nakupenda Tanzania kwa Moyo wote.🇹🇿
Eeeee kwamba "watu wanatupwa nje ya kuta za ikulu "Comment yako imenipa matumaini makubwa sana mkuu!!
Sijui kwanini ninatamani sana mama akae kando bila kujali nani atachukua nchi.Eeeee kwamba "watu wanatupwa nje ya kuta za ikulu "
Zuhura Yunus, Msemaji wa serikali na nani mwingine?
Yaani sijui Kwa nini hatuna katiba ambayo inasema rais akifia madarakani, Makamu akaimu kwa muda japo miezi miwili au mitatu.Sijui kwanini ninatamani sana mama akae kando bila kujali nani atachukua nchi.
Wanaotamani aendelee ni walamba asali wanaonufaika na utawala huu.Sijui kwanini ninatamani sana mama akae kando bila kujali nani atachukua nchi.
Sidhani kama dini ipo applicable moja kwa moja mkuu. Kama ni hivyo mibadilishano isingekuwepo mikubwa kuna nyadhifa kubwa tumeona dini ile nyingine imeshika pakubwa hasa kipi cha by gone, msaidizi wake, Mhesabu mkuu, jaji, PM n.k
Japo ukiiweka mtazamo huo unaweza kupata maana. Nafikiri ishu kubwa sio dini kwani hata ukivuka maji majority wa kule sio wa kristo na chama kimejaa wasio wa kristu kwa kule hapo uta apply vipi dini? Ishu kubwa ni kutetea maslahi ya chama kwanza kisha taifa.
Mwinyi sold mbuga
Bm sold madini
JK sold gas and other big deals kajiwekea vipasenti
By gone (may be was on process)
SSH bandari
Calculate dini hapo kisha uangalie.
Its not about dini ni kukipigania chama kwa jasho na damu, ukiwa tayari kufanya hivi umequalify.
Kwa kweli mtu kama una mapenzi mema na nchi bila kujali faida binafsi huwezi ukatamani kuendelea na kiongozi wa namna hii. Maana pamoja na yote hili taifa litaendelea kuwepo kwa muda mrefu hata ya sisi kutokuwepo na hata historia ya marais kusahaulika wote wa karne hizi za karibuni.Wanaotamani aendelee ni walamba asali wanaonufaika na utawala huu.
Wewe ni msema kweli hakika utabaki hivyo ndio muandishi wa habari pekee uliyefanikiwa kumuuliza Hayati Magufuli swali gumu mpaka anakufa hakuna mwingine aliyethubutu!Mkuu Liwagu japo ni kweli mimi ni mtu poa sana ila simaanishi mimi ni malaika!, I'm only a human being na nina madhaifu yangu, na moja ya dhaifu langu kubwa ni kuusema ukweli no matter ukweli huu utamfurahisha nani au utamuudhi nani!, as long as ni ukweli nitausema. Sasa kama kwa kuwaambia watu ukweli nitatafsiriwa ni mkorofi, then mimi ni mkorofi.
P
Yaani sijui Kwa nini hatuna katiba ambayo inasema rais akifia madarakani, Makamu akaimu kwa muda japo miezi miwili au mitatu.
Lakini hili la 1977 ovyo kabisa kipengele kile.
hapo kwa “BM sold madini” ni debatable, ukiangalia kwa muda mrefu dhahabu iliongoza kama chanzo kikuu cha mapato ilishinda utalii, ilileta high paying and quality jobs nyingi kwa wazawa nina marafiki waliokuwa wakifanya kazi kwenye mining ( na hawakuwa watoto wa wakubwa) hivyo pmj na yote unaweza kusema mining ilikuwa ni success story kulipaswa kuwa na maboresho? of course na yalifanyika kwenye kuongeza kutoka 3% mpaka nafikiri 10% sina uhakika sana hapo, barrick walikubali kuinvest TZ hata kiwanda process kilikuwa njiani kujengwa, leo hii tz ni namba 3/4 afrika kwa dhahabu kabla ya BM hatuku exist kwenye hiyo orodha, kwangu mimi uraisi wa BM ulikuwa ni win win win sana tu kwetu, hata uwekezaji na ubinafsishaji ulikuwa wa akili kubwa angalia kampuni zilzotoka TBL, Sigara, Banking industry NMB, CRDB, the list goes on, BM was the best pres. ever …
Inahitaji akili nyingi kutoka kwenye hii mitego. Nashangaa hawa wakuu wa nchi wanavyofeli hapo ikulu huku wakiwa na kila kitu.
Kwenye kitabu chake yeye aliona hakufanya sawa kwenye madini”,.
Ila kwingine big Yes BIG BEN did alot which satisfied majority.
Ni rais bora sana kwenye mapinduzi nchini, hakutaka utukufu