Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Sisi tusio majasusi, tusio TISS, sisi raia wa kawaida kwa moyo wa unyenyekevu tuna uliza ni kete zipi hizo zilizosukumwa leo? ili tuunganishe dot.
Mpina kapata wapi zile verified infos za Sukari? Nani yupo nyuma yake? Unadhani target ni Bashe? Kwanini Kuna Watu wanatupwa nje ya ukuta pale ikulu? Unadhani ni bahati mbaya marehemu kuteuliwa au barua zao kuwa na makosa kila siku Kama mwandiko wa chekechea? Kuna mtu hatakiwi kurudi mahala na kama unahisi naongopa subiri wajichanganye kumuhukumu Mpina kimehemko hakika Kuna Siri zitavuja ambazo hazitawaacha Watu salama.
Nakupenda Tanzania kwa Moyo wote.🇹🇿
 
Mpina kapata wapi zile verified infos za Sukari? Nani yupo nyuma yake? Unadhani target ni Bashe? Kwanini Kuna Watu wanatupwa nje ya ukuta pale ikulu? Unadhani ni bahati mbaya marehemu kuteuliwa au barua zao kuwa na makosa kila siku Kama mwandiko wa chekechea? Kuna mtu hatakiwi kurudi mahala na kama unahisi naongopa subiri wajichanganye kumuhukumu Mpina kimehemko hakika Kuna Siri zitavuja ambazo hazitawaacha Watu salama.
Nakupenda Tanzania kwa Moyo wote.🇹🇿
Aiseee asante sana, yaani mambo yananipita utadhani kama sipo nchi hii.
Na ndio maana yule mzee wa Ungaibuni Kule Usikochi alipost post ya kufurahia kwamba kuna viongozi kadhaa wa kadhaa wa TISS kutumbuliwa ile majuzi.
 
Mpina kapata wapi zile verified infos za Sukari? Nani yupo nyuma yake? Unadhani target ni Bashe? Kwanini Kuna Watu wanatupwa nje ya ukuta pale ikulu? Unadhani ni bahati mbaya marehemu kuteuliwa au barua zao kuwa na makosa kila siku Kama mwandiko wa chekechea? Kuna mtu hatakiwi kurudi mahala na kama unahisi naongopa subiri wajichanganye kumuhukumu Mpina kimehemko hakika Kuna Siri zitavuja ambazo hazitawaacha Watu salama.
Nakupenda Tanzania kwa Moyo wote.🇹🇿
Comment yako imenipa matumaini makubwa sana mkuu!!
 


Hiyo ni link ya critics wa egw.

Wanatoa taarifa muhimu, kuhusu baadhi ya visions za egw, hususan za huko mwanzoni.

Alikuwa anasema anaona vision, kumbe alikuwa anatoa maoni yake, kutokana na uelewa wake, wa jinsi alivyojifunza kuhusu jambo fulani.

Ila hawa critics, kuna mahali pengine wanaharibu, kwa kukataa mafundisho ya kweli ya kibiblia (kama sabato ya siku ya saba). Ingawa kuna mahali pengine wanapatia, kwa kuunga mkono mafundisho ya kweli ya kibiblia (kama Utatu Mtakatifu).

Hawa critics pia inaonekana walikuwa ni opportunists.

Mapungufu ya mafundisho ya kanisa la sda ni haya:

1) Shetani na malaika zake hawa kuanguka kabla ya wiki ya uumbaji. Kwa sababu malaika wote (including Lucifer, ambae baadae ali muasi Mungu) waliumbwa siku ya pili ya wiki ya uumbaji.

2) Hakuna viumbe wengine kama binadamu kwenye sayari nyingine (kama sda wengi wanavyo fundisha).

3) "The Day of Atonement" ni tofauti na "the Day of Judgment". New tastement fulfilment of the Day of Atonement inaanza baada ya kufufuka na kupaa kwa Bwana Yesu, na inaisha at the end of probation period (karibia kabisa na ujio wake wapili).

Sanctuary linalokuwa cleansed in 1844, ni kanisa huku duniani. Mafundisho ya kweli (including the 10 commandments, and the seventh day sabbath) yanarudi kanisani, na mafundisho ya uongo yanaondolewa.

4) Wabatize kwa staili waliyoitumia mitume wa Yesu, mtu ana inama kidogo kwa mbele, huku amesimama, huku akidumbukia kabisa kwenye maji. Wasibatize kwa staili ya mtu kalala kwa mgongo, wana mshika na kumdumbukiza kwenye maji.

5) Wasi wapinge sda wenzao, wanao sema kwamba Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles. Kwa sababu kiukweli Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.

6) Wakubali kwamba hawa hodhi ukanisa wa kweli, na kwamba endapo kuna wasabato wanaofuata biblia ambao sio sda, wasabato hao hawana tatizo.

7) Waumini wa sda wawe pia na tabia nzuri kwenye maisha yao.

8) Baadhi ya mafundisho ya mama Ellen White ni maoni yake, na sio vitu alivyo viona kwenye maono (visions). Kwa hiyo baadhi ya mafundisho yake yanaweza yasiwe sahihi. Of course mama Ellen White yuko sahihi kwenye mafundisho yake mengi.

9) Ni vizuri wakristo weusi wakajua prophesies mbali mbali za kwenye Biblia, zinazo ongelea kuhusu injili kuja Afrika. Wakristo weusi, tu avoid a white/Eurocentric view of the bible, na tuwe na a true view of the Bible, which is a biblical centric view of the bible. Wakristo weusi tujaribu pia kuwa na makanisa huru yanayojitegemea (tushirikiane na watu wengine, lakini tusiwe tegemezi kwa watu wengine).

Sda wako sahihi kabisa kabisa kabisa kwamba sabato ni siku ya saba (Jumamosi), na kwamba Bwana Yesu Kristo hakubadilisha siku ya sabato. Na kwamba mpinga Kristo ndiye aliebadilisha siku ya sabato kutoka siku ya saba kwenda siku ya kwanza ya wiki.

Moral of the story ni: Mkristo yeyote anatakiwa kusikiliza mafundisho yanayoendana na biblia, usisikilize mafundisho ambayo hayafuati mafundisho ya biblia (hata kama ni mafundisho ya dhehebu lako).

So injili ya kweli, ni kwamba Utatu Mtakatifu upo, amri 10 zipo (hazikubadilishwa), sabato ni siku ya saba (Jumamosi), tufuate mafundisho ya Bwana Yesu Kristo kama Biblia inavyosema, na Biblia ni kitabu kitakatifu cha YAHWEH (Mungu wa Biblia). Ukristo ndio dini ya ukweli, dini nyingine zote ni za uongo.

Any way tuendelee na shughuli zetu za maisha hadi siku ya mwisho ya dunia, wakati huo huo tukiendelea kumkumbuka Bwana Yesu Kristo hadi siku hiyo atakapo rudi.

 
Sidhani kama dini ipo applicable moja kwa moja mkuu. Kama ni hivyo mibadilishano isingekuwepo mikubwa kuna nyadhifa kubwa tumeona dini ile nyingine imeshika pakubwa hasa kipi cha by gone, msaidizi wake, Mhesabu mkuu, jaji, PM n.k

Japo ukiiweka mtazamo huo unaweza kupata maana. Nafikiri ishu kubwa sio dini kwani hata ukivuka maji majority wa kule sio wa kristo na chama kimejaa wasio wa kristu kwa kule hapo uta apply vipi dini? Ishu kubwa ni kutetea maslahi ya chama kwanza kisha taifa.

Mwinyi sold mbuga
Bm sold madini
JK sold gas and other big deals kajiwekea vipasenti
By gone (may be was on process)
SSH bandari
Calculate dini hapo kisha uangalie.

Its not about dini ni kukipigania chama kwa jasho na damu, ukiwa tayari kufanya hivi umequalify.

hapo kwa “BM sold madini” ni debatable, ukiangalia kwa muda mrefu dhahabu iliongoza kama chanzo kikuu cha mapato ilishinda utalii, ilileta high paying and quality jobs nyingi kwa wazawa nina marafiki waliokuwa wakifanya kazi kwenye mining ( na hawakuwa watoto wa wakubwa) hivyo pmj na yote unaweza kusema mining ilikuwa ni success story kulipaswa kuwa na maboresho? of course na yalifanyika kwenye kuongeza kutoka 3% mpaka nafikiri 10% (sina uhakika sana hapo) barrick walikubali kuinvest TZ hata kiwanda cha processing kilikuwa njiani kujengwa, leo hii tz ni namba 3/4 afrika kwa dhahabu kabla ya BM hatuku exist kwenye hiyo orodha, kwangu mimi uraisi wa BM ulikuwa ni win win sana tu kwetu, hata uwekezaji na ubinafsishaji ulikuwa wa akili kubwa angalia kampuni zilizotoka TBL, Sigara, Banking industry NMB, CRDB, the list goes on, BM was the best pres. ever …
 
Wanaotamani aendelee ni walamba asali wanaonufaika na utawala huu.
Kwa kweli mtu kama una mapenzi mema na nchi bila kujali faida binafsi huwezi ukatamani kuendelea na kiongozi wa namna hii. Maana pamoja na yote hili taifa litaendelea kuwepo kwa muda mrefu hata ya sisi kutokuwepo na hata historia ya marais kusahaulika wote wa karne hizi za karibuni.

Inaumiza sana anapopatikana kiongozi wa kuanza kutawanya rasilimali za taifa kama kwamba dunia inaisha baada ya uongozi wake.
 
Mkuu Liwagu japo ni kweli mimi ni mtu poa sana ila simaanishi mimi ni malaika!, I'm only a human being na nina madhaifu yangu, na moja ya dhaifu langu kubwa ni kuusema ukweli no matter ukweli huu utamfurahisha nani au utamuudhi nani!, as long as ni ukweli nitausema. Sasa kama kwa kuwaambia watu ukweli nitatafsiriwa ni mkorofi, then mimi ni mkorofi.
P
Wewe ni msema kweli hakika utabaki hivyo ndio muandishi wa habari pekee uliyefanikiwa kumuuliza Hayati Magufuli swali gumu mpaka anakufa hakuna mwingine aliyethubutu!
 
hapo kwa “BM sold madini” ni debatable, ukiangalia kwa muda mrefu dhahabu iliongoza kama chanzo kikuu cha mapato ilishinda utalii, ilileta high paying and quality jobs nyingi kwa wazawa nina marafiki waliokuwa wakifanya kazi kwenye mining ( na hawakuwa watoto wa wakubwa) hivyo pmj na yote unaweza kusema mining ilikuwa ni success story kulipaswa kuwa na maboresho? of course na yalifanyika kwenye kuongeza kutoka 3% mpaka nafikiri 10% sina uhakika sana hapo, barrick walikubali kuinvest TZ hata kiwanda process kilikuwa njiani kujengwa, leo hii tz ni namba 3/4 afrika kwa dhahabu kabla ya BM hatuku exist kwenye hiyo orodha, kwangu mimi uraisi wa BM ulikuwa ni win win win sana tu kwetu, hata uwekezaji na ubinafsishaji ulikuwa wa akili kubwa angalia kampuni zilzotoka TBL, Sigara, Banking industry NMB, CRDB, the list goes on, BM was the best pres. ever …

Kwenye kitabu chake yeye aliona hakufanya sawa kwenye madini”,.

Ila kwingine big Yes BIG BEN did alot which satisfied majority.

Ni rais bora sana kwenye mapinduzi nchini, hakutaka utukufu
 
Kwenye kitabu chake yeye aliona hakufanya sawa kwenye madini”,.

Ila kwingine big Yes BIG BEN did alot which satisfied majority.

Ni rais bora sana kwenye mapinduzi nchini, hakutaka utukufu

ni kweli sababu ya ile 3% na mapungufu mengineyo lkn still ukilinganisha na wengine waliotupiga blah blah za sijui uchumi wa gesi leo hii sioni popote kwenye data za kiuchumi ulioitwa uchumi wa gesi unachangia asilimia ngapi kwenye pato la taifa, dhahabu mpaka leo inashindana na utalii kwa miaka mingi dhahabu ilikuwa namba moja kwenye mapato hivyo kwangu mimi bado ni success story hata kama ulivyosema yeye mwenyewe hakuona hivyo, the fact that dhahabu inaongoza kwenye pato la taifa inatosha sana kumpa sifa zake …
 
Back
Top Bottom