Dark days 17/03/20...

Hayo ni mazishi ya machifu,na wasukuma walimfanya jamaa kama chief wao Mkuu,so ni kawaida kwa chief kuzikwa hivyo.
 
Sema wewe ndio umepumua, wenzio hali imekuwa siyo hali, unafuu uko wapi?
 
Leo ijumaa ujue? Beba chaja yako na vaa vizuri mkuu. Tukutane viwanja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
yaani yoga sijui atamwaga saa ngapi jumamosi, maana nimeshaona vipepeo vyeusi /wasiojulikana wameshauvamia uzi hawataki ukweli wanaona ni ndoto ya mchana mshumaa ulivyoteketea kwenye kampuni na hautakumbukwa asilani.
nimeandaa box la popcorn
 
Chanzo chako cha taarifa kipo vizuri mkuu Hongera.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Ukute wameamua kutoa ukweli wa kilichotokea kwa mdhamini wao.

Si unaona kuna uzi mwingine humu wa yule Dkt anayelindwa kuliko Makamu wa Rais

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
pia kapo kakikundi kanavamia mitandao yote, na kanachafua kwelikweli mbona humu JF wanaoonekana tu
Ukiingia YouTube wamefufua vitu vya ajabu sema tunalinda sheria zetu za JF kutokuweka link
ingia YouTube hata lafudhi haijifichi
 
Nguvu bado zinakinzana, hakuna aliejuu moja kwa moja.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…