Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
chairman wa kampuni pinzani aliyefutiwa mashtakaNaomba code ya Mr new culture
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chairman wa kampuni pinzani aliyefutiwa mashtakaNaomba code ya Mr new culture
Dahhkuna kimbunga cha juba kishapepea na page muhimu sana pole umezichelewa.
Hayo ni mazishi ya machifu,na wasukuma walimfanya jamaa kama chief wao Mkuu,so ni kawaida kwa chief kuzikwa hivyo.Mtoa mada kuna ishu niliisikia kuwa the late CEO mazishi yake yalikuwa na utata kidogo
Kwamba pale walipomaliza kuaga kabla jeneza lake halijashushwa kaburini alivishwa ngozi ya mnyama na inasemekana alizikwa na mkuki ndani ya jeneza lake
Kimila ikiwa na maana kwamba kama alifariki unnatural death yaani aliuwawa na watu basi kiroho huo mkuki utakuwa kama ishara ya revenge kwa wote waliohusika kumuua lazima yatawarudia kwa namna moja ama nyingine
Na ndiyo maana tukio la jeneza lake kushushwa kwenye kaburi halikuoneshwa live camera zikawa zinawaonesha tu waombolezaji
Je ni kweli hilo mtoa mada
Sema wewe ndio umepumua, wenzio hali imekuwa siyo hali, unafuu uko wapi?Pole sana mkuu ulimwengu huu hakutakiwi visasi kabisa, ukitawala kwa upanga utakufa kwa upanga.
Kwa maovu aliyoyafanya yalimtosha kuondolewa kwani sanduku la kura alishalibana akikimbilia atawale maisha yake yote.
Kwa hiyo kwa uhuni wake alikutana na wenzake wahuni zaidi. ambao kwetu Sasa tunapumua
Yeah nasikia ni utamaduni ambao upo kwenye baadhi ya nchi za africa. Watu huzikwa na silaha tofauti tofauti wengine mkuki wengine panga nk lengo likiwa ni hilo hilo.Hayo ni mazishi ya machifu,na wasukuma walimfanya jamaa kama chief wao Mkuu,so ni kawaida kwa chief kuzikwa hivyo.
Kiongozi ogopa sana vipepeo weusi, usijekuta hata uzi huu ni wa kwao tumelishwa kwa lengo maalumMkuu malizia hii stori mapema maana vipepeo weusi washaanza kuuzengea uzi huu soon unawezwa ukafungwa au kufutwa
Apart from that!Code zinakuchanganya? Mimi nasoma sana simulizi kwenye vitabu lazima hizi mambo nizijue.
Vyeti feki mwingine on the beat, jamaa kafa ila bado anawatesa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mamaeeeWewe yatima tulia. Ameshadedi.. born town on the beat...
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
yaani yoga sijui atamwaga saa ngapi jumamosi, maana nimeshaona vipepeo vyeusi /wasiojulikana wameshauvamia uzi hawataki ukweli wanaona ni ndoto ya mchana mshumaa ulivyoteketea kwenye kampuni na hautakumbukwa asilani.Leo ijumaa ujue? Beba chaja yako na vaa vizuri mkuu. Tukutane viwanja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ndio maana posts zangu za nyuma sizionikuna kimbunga cha juba kishapepea na page muhimu sana pole umezichelewa.
Chanzo chako cha taarifa kipo vizuri mkuu Hongera.Mtoa mada kuna ishu niliisikia kuwa the late CEO mazishi yake yalikuwa na utata kidogo
Kwamba pale walipomaliza kuaga kabla jeneza lake halijashushwa kaburini alivishwa ngozi ya mnyama na inasemekana alizikwa na mkuki ndani ya jeneza lake
Kimila ikiwa na maana kwamba kama alifariki unnatural death yaani aliuwawa na watu basi kiroho huo mkuki utakuwa kama ishara ya revenge kwa wote waliohusika kumuua lazima yatawarudia kwa namna moja ama nyingine
Na ndiyo maana tukio la jeneza lake kushushwa kwenye kaburi halikuoneshwa live camera zikawa zinawaonesha tu waombolezaji
Je ni kweli hilo mtoa mada
Asante sana mkuu!chairman wa kampuni pinzani aliyefutiwa mashtaka
Ukute wameamua kutoa ukweli wa kilichotokea kwa mdhamini wao.Kiongozi ogopa sana vipepeo weusi, usijekuta hata uzi huu ni wa kwao tumelishwa kwa lengo maalum
pia kapo kakikundi kanavamia mitandao yote, na kanachafua kwelikweli mbona humu JF wanaoonekana tuUkute wameamua kutoa ukweli wa kilichotokea kwa mdhamini wao.
Si unaona kuna uzi mwingine humu wa yule Dkt anayelindwa kuliko Makamu wa Rais
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂saa hii tungekuwa page ya 90 km sikosei.
Nguvu bado zinakinzana, hakuna aliejuu moja kwa moja.pia kapo kakikundi kanavamia mitandao yote, na kanachafua kwelikweli mbona humu JF wanaoonekana tu
Ukiingia YouTube wamefufua vitu vya ajabu sema tunalinda sheria zetu za JF kutokuweka link
ingia YouTube hata lafudhi haijifichi View attachment 2180725
Labda, zilikuwa na maneno yasiohitajika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]saa hii tungekuwa page ya 90 km sikosei.
Wewe mkojo kweli. Unafikiri kila mtu anakinga mkono kama wewe?Vyeti feki mwingine on the beat, jamaa kafa ila bado anawatesa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mamaeee