Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mtoa mada kuna ishu niliisikia kuwa the late CEO mazishi yake yalikuwa na utata kidogo

Kwamba pale walipomaliza kuaga kabla jeneza lake halijashushwa kaburini alivishwa ngozi ya mnyama na inasemekana alizikwa na mkuki ndani ya jeneza lake

Kimila ikiwa na maana kwamba kama alifariki unnatural death yaani aliuwawa na watu basi kiroho huo mkuki utakuwa kama ishara ya revenge kwa wote waliohusika kumuua lazima yatawarudia kwa namna moja ama nyingine

Na ndiyo maana tukio la jeneza lake kushushwa kwenye kaburi halikuoneshwa live camera zikawa zinawaonesha tu waombolezaji

Je ni kweli hilo mtoa mada
Hayo ni mazishi ya machifu,na wasukuma walimfanya jamaa kama chief wao Mkuu,so ni kawaida kwa chief kuzikwa hivyo.
 
Pole sana mkuu ulimwengu huu hakutakiwi visasi kabisa, ukitawala kwa upanga utakufa kwa upanga.
Kwa maovu aliyoyafanya yalimtosha kuondolewa kwani sanduku la kura alishalibana akikimbilia atawale maisha yake yote.
Kwa hiyo kwa uhuni wake alikutana na wenzake wahuni zaidi. ambao kwetu Sasa tunapumua
Sema wewe ndio umepumua, wenzio hali imekuwa siyo hali, unafuu uko wapi?
 
Leo ijumaa ujue? Beba chaja yako na vaa vizuri mkuu. Tukutane viwanja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
yaani yoga sijui atamwaga saa ngapi jumamosi, maana nimeshaona vipepeo vyeusi /wasiojulikana wameshauvamia uzi hawataki ukweli wanaona ni ndoto ya mchana mshumaa ulivyoteketea kwenye kampuni na hautakumbukwa asilani.
nimeandaa box la popcorn
 
Mtoa mada kuna ishu niliisikia kuwa the late CEO mazishi yake yalikuwa na utata kidogo

Kwamba pale walipomaliza kuaga kabla jeneza lake halijashushwa kaburini alivishwa ngozi ya mnyama na inasemekana alizikwa na mkuki ndani ya jeneza lake

Kimila ikiwa na maana kwamba kama alifariki unnatural death yaani aliuwawa na watu basi kiroho huo mkuki utakuwa kama ishara ya revenge kwa wote waliohusika kumuua lazima yatawarudia kwa namna moja ama nyingine

Na ndiyo maana tukio la jeneza lake kushushwa kwenye kaburi halikuoneshwa live camera zikawa zinawaonesha tu waombolezaji

Je ni kweli hilo mtoa mada
Chanzo chako cha taarifa kipo vizuri mkuu Hongera.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Ukute wameamua kutoa ukweli wa kilichotokea kwa mdhamini wao.

Si unaona kuna uzi mwingine humu wa yule Dkt anayelindwa kuliko Makamu wa Rais

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
pia kapo kakikundi kanavamia mitandao yote, na kanachafua kwelikweli mbona humu JF wanaoonekana tu
Ukiingia YouTube wamefufua vitu vya ajabu sema tunalinda sheria zetu za JF kutokuweka link
ingia YouTube hata lafudhi haijifichi
Screenshot_20220408-173600.png
 
pia kapo kakikundi kanavamia mitandao yote, na kanachafua kwelikweli mbona humu JF wanaoonekana tu
Ukiingia YouTube wamefufua vitu vya ajabu sema tunalinda sheria zetu za JF kutokuweka link
ingia YouTube hata lafudhi haijifichi View attachment 2180725
Nguvu bado zinakinzana, hakuna aliejuu moja kwa moja.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom