Dark days 17/03/20...

Huyo mtu kafa kwa corona bana,wacheni kusingizia mzee wa watu.yani mtu anajijua umri wake ni mkubwa na ana malazi yake mwilini anashauriwa kuvaa hata barakoa hataki.leo anafariki wanasingiziwa wengine?
 
Hadithi njoo uwongo....kolea...Na mimi na yangu, ila mimi niliota njozi mchana kabisa baada ya kula ugali nikashiba... niliona ndege yao ikiungua angani....Daah eti mimi nikawa nipo group fulani hivi kisha hilo grupu langu ndilo likaja kuwa na CEO....Hizi ndoto hizi, daah!
 
CEO yupi new au?
 
Khaaq bado unasoma hizi hekaya....
Iko shida kwa hii dunia...hizi mbaya ooh sio tamu mara zinanuka sana....mbona huachi kula
 
Dah code ya huyu kijana ndo imenipita ata kwa kutumia four figure msaada
 
Guys, kwanza am very sorry kwa late replies!! kwa mliofuatilia this story I am really disappointed na baadhi chapter or pages kutoweka!!

Zilibaki page mbili kwenye the lost pages in the late CEO diary na chapter moja ya mwisho kumaliza the whole story!!

Kuna mambo kadha wa kadha yali iingiliana sana hapa kati!! Kuanzia last thursday mpaka jana, mambo yalikuwa mambo kidogo!!

[emoji847][emoji847] But thanks to God bado tunapumua!! Tusicatch feelings sana, this is just a story[emoji41][emoji847]


Ila na confirm mwenyewe kuwa ntabandika all pages zoote zilizobaki hapa na kufunga this story siku ya jumatano!! Hope tulianza pamoja tunaliza pamoja

From behind the scene, Your lovely friend Yoga!!

Bado nipo nipo sanaaa yaani!!

[emoji12][emoji3526][emoji23][emoji23][emoji23]



Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Yoga wananchi 2025 tunataka tukupe uCEO wa hii kampuni ya Tanzagiza.
 
Na unavyojua kuturusha roho ww kamama ,,,tulifikir boko haramu washakudaka[emoji1787]
 
Itakuwa jumatano saa ngapi?
 
Wametishia kuku-,kolimba nini mkuu!?[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…