Mkweli77
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,459
- 1,135
Kuna mdau kakopy huu Uzi kule Twitter,.hasa kile kipande cha brach manager kumshughulia kijana msema Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mdau kakopy huu Uzi kule Twitter,.hasa kile kipande cha brach manager kumshughulia kijana msema Sana.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064]Guys am sorry ntakuwa off line kwa muda mrefu kidogo!! Sorry!![emoji15][emoji43][emoji43][emoji43]
Take it from me, ..."JPM HAKUULIWA sasa wwe jidanganye hapa na speculation zako. Kama kufa walikuta wengi tu, mzee wangu ana 60+ kwenye taasisi aliopo yeye pamoja na senior directors wote walilazwa ICU na mitungi ya gesi n.k sasa naye angekufa ungesema kauawa kisa tu circle yake walikuwa ICU mmoja baada ya mwingine?
Kama ni Covid iliua wengi tu, pale UDSM imeondoka na ma doctor wengi sana tu sasa why iwe special kwa JPM kwamba akifariki basi kauawa??
Take it from me, defibrillator ilishaanza hitilafu toka 2017 na Alisha collapse akiwa Pemba na akiwa ametoka Lindi mbona hamkusema alikua anataka kuuawa?
Acheni speculation mnashusha hadhi ya JF
Jamni wewe ndo unaleta speculation na kuiharibu JF.Yes ni fiction na ndio nikitaka hilo liwekwe wazi ila sio kuleta speculation kuwa kauawa. Marais mpka kuuawa sio kizembe sana wanalindwa sana kimwili na pia kiroho kwa matambiko mazito.
So hta hyo polonium ingeshtukiwa ukiwa Bado kilometer 10..... Ndio maana naamini JPM au BWM kuuawa sio simple vilee.
Jamaa yangu achana na watu wa mwisho wa Reli ni wabishi huko anakoelezea sio riwaya yetu ataturudisha nyuma, bora tungeanza naye mwanzo kuwa hii ni hekaya tuJamni wewe ndo unaleta speculation na kuiharibu JF.
Umeambiwa hii ni story lakini bado unakaza shingo .
Dah
Wabongo bhaana.
Hahahhahaha kabisa.Jamaa yangu achana na watu ea mwisho wa Reli NI wabishi huko anakoelezea sio riwaya yetu ataturudisha nyuma, bora tungeanza naye mwanzo kuwa hii ni hekaya tu
Katika maisha ogopa sana mtu akiomba msamaha ww ulie ombwa lazima utaweka silaha chini kwakujua kua uyo kasanda.Nakushukuru nimemaliza ila fasihi yako in fikirisha Sana naona sehemu kubwa kwa Kila tukio baya na ovu unamuhusisha Mr born town
Siyo kweli kbsa Mr old CEO hawe kuwa Kila kitu ktk campuni Kuna maeneo hayupo kbsa
Nikifikiaria Hadi kina kinana na makamba kwenda kuomba msamaha mbel ya bashiru na aliye ngatuka leo wakt katk sauti zile hata Mr old CEO hawEzi kukozekana kwaninn Mr old CEO hajawambia kuwa msiombe msamaha Wala kujutia makosa yenu nyie tulieni nitammaluzana na hyu new chief mpya kimya kimy
Mashak napata tu kuwa ukweli Ni mdgo sna kuliko uwongo wakufikirisha
Who am I? I'm a credible source in JF you can confirm with my threads and my reputation outside JF too.Take it from me, ..."
Sasa who are you to take from???
Wewe kwa maelezo yako haya unatofauti gani na hii speculation ambayo wewe unataka kutuambia tusiisikilize??? Unalalamika tu halafu unataka tuchukue speculation yako.
Hopeless!!
Tunamsikiliza mtaalamu wa mambo , na tunasubir episode nyingine!!
Huu uzi ni hadithi tu kama hadithi zingine sio sababu ya kubishana wala kupinganaWho am I? I'm a credible source in JF you can confirm with my threads and my reputation outside JF too.
Sijawahi kuwa mtu wa speculation unless hunifuatilii kule jf intelligence.
Ni nani? Vipande vingine navyo kachukua?Kuna mdau kakopy huu Uzi kule Twitter,.hasa kile kipande cha brach manager kumshughulia kijana msema Sana.
Kiufupi analazimisha iwe kweli huku mwandishi ameshasema ni stori tu (hekaya).Mtu unaambiwa hii ni hadithi unaanza ku argue kwa jazba na kutaja majina ya watu na kumpinga mleta mada
F*ck you wote mnaotaka kuharibu hadithi muwe mnaelewa na muktadha wa kufanya ujinga wenu.
Another episode please while bodaboda analeta popcorn [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lioneeeee[emoji16][emoji1787]Nipo na yoga nmemkumbatia hapa amenisimulia yote nampeti peti uku namfanysha yoga aje awasimulie na nyie
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Baba yako pia alilazwa kwenye mitungi ya gesi pale mzena kipindi cha corona?Who am I? I'm a credible source in JF you can confirm with my threads and my reputation outside JF too.
Sijawahi kuwa mtu wa speculation unless hunifuatilii kule jf intelligence.
Hem nipe jina lake nikaoneSikuwahi kujua kuwa yoga ndio yule jamaa wa Twitter muandika makala! Maana na yeye kaanza kuandika Uzi huu kule ni copy and paste
Hahaha jamaniii[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] acha basiyoga umeanza mambo yenu ya Wanawake.... U C H O Y O
Hili nalo na kuleta simulizi ni swala la kuwanyima watu kweli,,, hadi ubembelezweeeeee.....
Mabinti mkishajua mna utamu basi kuutoa huwa ni shida tupu..