Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Deep state au inner circle ndio system au mfumo wenye watu ambao wako behind the scene, wanaendesha nchi kutokea chimbo kabisa na Wana control na manipulation ya mwenendo wote wa mustakabali wa taifa, ni vigumu sana kuwajua hata Viongoz wakubwa wengine hawanaga ufahamu na Hawa inner circle au deep state
Yaani kama vile unahisi ni bonge la dubwasha fulani hivi la kutisha. Lipo kama halipo. Nchi ina siri nyingi.
 
Page 2

Dad, i think we need to take this boy sereous! He is talking about your education, convinsing people that you dnt have experience and bad enough he is saying that your reserach is a fraud dad! Just let me do something!

Ok! Yes nimemsikia, i dnt think it will be right for you to be envolved in this matter, there are people dealing with him!

That was like mara ya nne mr branch manger was calling his (dad) late CEO demanding go ahead to discipline this boy anaye onekana kama ana mhumiliate baba ake!!

Huyu kijana..........

Tuendelee au??

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Hii ni kweli kuna sehemu nilienda kwenye ofis moja. Watu wakawa wanaongea lugha ya nchi jirani, maskini hiyo lugha mimi naijua vizuri, niliwasikia kabisa wakisema huu ulikuwa mpango kumchafua eti hajui kiingereza na phd yake na ujinga ujinga mwingine.

Mr born in town. Umefanya zambi nyingi sana as if utaishi milele.
 
Yaani kama vile unahisi ni bonge la dubwasha fulani hivi la kutisha. Lipo kama halipo. Nchi ina siri nyingi.
Yap, Kuna mambo bora usijue, ukijua Yan maisha ya kawaida yanapoteza maana kabisa, Kuna some kind of ignorance inatupa furaha na matumaini ya kuishi wenyew wanaiita naivety, ni bora kuwa nayo hiyo kuliko reality na knowledge ambayo Ina destruct life appetite na enthusiasm kwa ujumla.
 
Kuna kipande kingine hajakisimulia, kinaumiza kuliko hiki, hicho kipande ni cha old CEO alivyoenda kumuona. Akazuiliwa akauliza hata mimi? Akajibuwa ndio hata wewe huruhusiwi kuingia. Na kweli hakuingia. Kati ya watu waliondoka duniani na maumuvu makali ni the late CEO.
Kilichokuwa kikimuumiza zaidi sio alichofanyiwa, ni jinsi mchezo ulivyochezwa bila yeye kujua kajakujua ashachelewa.
Hadithi nzuri
 
Hatimaye leo ndio nmemaliza kusoma comments zote..hakika riwaya hii ni tamu na inavutia.

Mkuu yoga naomba utupe pia sehemu ya nini lilimfanya later CEO kumsusia branch manager wa makao makuu.

Pia kama uko na riwaya ya aliyekuwa junior branch manager wa kule kwenye jimbo la mr new culture tupatie pia.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye maisha kuna wakati unalazimika mtoto mmoja kumpoteza. Ndio branch manager alikuwa kijana wa late CEO ila hapo kati alianza kunusa harufu za usalit +kifel mission.

Kumbuka old ceo ndo alimleta kwenye kampuni branch manager akiwa ndogo.

Hapa ilibidi acheze karata achukuwe mwenye faida. Akalazimika kumchukuwa yule muinjirist, mwenye stail yake mjini kwenye 6x6 "the death of cockroach " yaan stail elekezi kwenye biblia, aliekana mkono sio wake😂
Alimchukuwa kwa sababu 5 tu.

1,Ana ushawishi wa watu
2, he is too talkative
3: elimu anayo so anajua kubalance wasomi na wasokuwa na elimu.
4: anaweza kuwaaminisha watu kuwa 2×
2=5 na wote wajakubali .
5: aliogopa mr born in town kumchukuwa huyu kijana muinjiristi.
 
Leo nimesikia aliye wai kuwa rais wa burkinafaso bwan bless compaure jana alihukumiwa maisha gerezani kwa tuhuma za kumuua aliye kuwa rais wa taifa lile ambaye pia aliwahi kufika Tanzania bwan Thomas Sankara
Bless na washirika wake kumi na mbili wote wamehukumiwa kunyongwa

Ctaki hii kitu ije itokee tz tutagawanyika vipande vipande

Ingawa huwa wanasema jinai huwa haifi

R.i.p CEO !Sasa HV new CEO anajaribu kuzika legacy yako kwa namna yoyote ile inavyowezekana pmj na mamb yako late CEO ya kuogofya ila pia Kuna mazuri mengi umeyafanya kosa lako kubwa pia baya kwangu ni kutaka kugawa kampuni hii kwa minajili ya ukanda na ukabila na pia kusuka mipango ya kutawala milele haya Ni mabaya Sanaa late ulitaka kufanya
 
Hii ni kweli kuna sehemu nilienda kwenye ofis moja. Watu wakawa wanaongea lugha ya nchi jirani, maskini hiyo lugha mimi naijua vizuri, niliwasikia kabisa wakisema huu ulikuwa mpango kumchafua eti hajui kiingereza na phd yake na ujinga ujinga mwingine.

Mr born in town. Umefanya zambi nyingi sana as if utaishi milele.
Inasikitisha na kuumiza kwa wakati mwingine. Unajaribu kuvaa viatu vyake unamuona kabisa mwishoni baada ya kujua wasaliti alisikitika sana.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Kwenye maisha kuna wakati unalazimika mtoto mmoja kumpoteza. Ndio branch manager alikuwa kijana wa late CEO ila hapo kati alianza kunusa harufu za usalit +kifel mission.

Kumbuka old ceo ndo alimleta kwenye kampuni branch manager akiwa ndogo.

Hapa ilibidi acheze karata achukuwe mwenye faida. Akalazimika kumchukuwa yule muinjirist, mwenye stail yake mjini kwenye 6x6 "the death of cockroach " yaan stail elekezi kwenye biblia, aliekana mkono sio wake😂
Alimchukuwa kwa sababu 5 tu.

1,Ana ushawishi wa watu
2, he is too talkative
3: elimu anayo so anajua kubalance wasomi na wasokuwa na elimu.
4: anaweza kuwaaminisha watu kuwa 2×
2=5 na wote wajakubali .
5: aliogopa mr born in town kumchukuwa huyu kijana muinjiristi.
na hata ishu ya uvoko aliwatesaaa sijui walimhonga kumshona mdomo.

kuna yule late mama bishop mwenye mauwa waridi kichwani mengi ilikuwaje akawekwa kwenye kampuni akiwa km spesho chairs. halafu hata hakuinjoi akatwaliwa.
 
Back
Top Bottom