Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

View attachment 2187659
umechanganyikiwa (Inferior complex) ndio maana umekula za meno
The late CEO angeendelea hata mwaka mmoja angetumaliza, chonee yote aliikwapua bila jamvi kuijadili, aliiweka nyumbani na nyumba ya kampuni, watoto walifunguliwa mibanda mikubwa ya simu na kuosha magari na sasa wanayashindwa
acha tu malipo ni hapahapa duniani Ngosha wewe
Acha akili za kimasikini wewe,sasa car wash na duka la simu mpaka uwe fisadi kuwapa wanao!!!!

Mbona msela wa msoga kaharibu uwezo wenu wa kufikiria!!!
 
Late CEO aliwaumiza sana watu aisee pole sana kiongozi imagine umekaa ngome miaka mitatu harafu DPP anakuja kukuachia eti serikali haina nia ya kuendelea na kesi yaani umeteseka miaka mitatu jela bila kosa la msingi!!
Ni kweli watu waliumizwa, lakini bado najiuliza ni kweli watu walikua hawafanyi makosa yaliyostahili kupelekwa gerezani?
Maana hapa sasa tunaweza kunasa Kati ya walioumizwa na Kati ya wanaostahili kweli kuwa huko
Kwa nini?
Kwa sababu kabla ya mwendazake bado watu walipelekwa magerezani kwa makosa mbalimbali, na hata Sasa wapo ambao wanakamatwa na kupelekwa huko.
Si kila aliyeenda gerezani alionewa. Tukiamini kila mtu alionewa basi tunaamini watu hawakufanya makosa. WRONG
 
Huyo kama ni kufa atakufaa mzee saanaaa tena akiwa anatabasamu halafu peponi straight coz aliifanya kazi ya Mungu kwa uaminifu.
Kuliko kupoteza kondoo 100 sababu ya mmoja bora ufukie huyo mmoja 99 wapone.
Hakuna mwaka uliowahi kuwa mchungu kama 2018. Sababu ya yule kichaa, mengi yaliharibika I lost two good friends walioona there's no future ahead wakajitanguliza wenyewe.
Wanoko walipoanza kumwimbia atake asitake nikahisi kiama kinakuja, nikaenda hadi kwa kina Papaaa kuona kama wanaweza kunisajili. Kabla ya kukamilisha taratibu jitu chali!
Peponi? Kwa mwanasiasa? Tuwe na mahaba ila huku kwingine ni kuzidisha tu chumvi.
Masuala ya kufa na kwenda peponi kwa binadamu wa Sasa ni fumbo.
 
Ni kweli watu waliumizwa, lakini bado najiuliza ni kweli watu walikua hawafanyi makosa yaliyostahili kupelekwa gerezani?
Maana hapa sasa tunaweza kunasa Kati ya walioumizwa na Kati ya wanaostahili kweli kuwa huko
Kwa nini?
Kwa sababu kabla ya mwendazake bado watu walipelekwa magerezani kwa makosa mbalimbali, na hata Sasa wapo ambao wanakamatwa na kupelekwa huko.
Si kila aliyeenda gerezani alionewa. Tukiamini kila mtu alionewa basi tunaamini watu hawakufanya makosa. WRONG
Unadhani kuna mtu alikamatwa kimakosa!!!

Hayo matuhumiwa yote yalikuwa na kesi ya kujibu,fikiria yule jamaa na mkewe wa madawa ya kulevya nao nje,kisha watakuja hapa kusema walionewa😁😁.

Jpm alijua kula sahani moja na hawa wajinga wajinga,amekufa ila bado hawaamini kama amekufa,wanatapika mimba alizowapa.
 
Late CEO aliwaumiza sana watu aisee pole sana kiongozi imagine umekaa ngome miaka mitatu harafu DPP anakuja kukuachia eti serikali haina nia ya kuendelea na kesi yaani umeteseka miaka mitatu jela bila kosa la msingi!!
Hivi haiwezekani kuwashitaki wakulipe fidia?
 
Acha kunifuatafuata kila post namaanisha wameshafilisika na mwaka kesho hawatakuwepo katika Uzi biashara, km ni mmojawapo imeingia humu kunifuata badaka ya Mada ya Mwendazake karibu
Acha akili za kimasikini wewe,sasa car wash na duka la simu mpaka uwe fisadi kuwapa wanao!!!!

Mbona msela wa msoga kaharibu uwezo wenu wa kufikiria!!!
 
Mtu akiwa apeche anadhani ni hali ya kila mtu.
kuosha vyombo, choo na bustani kwa Mwendazake basi unaona wenzako wote humu group NI alosto, tunazungumzia upigaji wa kijinga usio na uzoefu, wewe kuwa maskini hata hujashika cent tukupe uCEO wa Kampuni hatutarudia tena, hata michango yako kwenye hii Mada inaonesha inakuuma km ni riwaya ya kweli, kwanini usiende chit chat
 
Huyo kama ni kufa atakufaa mzee saanaaa tena akiwa anatabasamu halafu peponi straight coz aliifanya kazi ya Mungu kwa uaminifu.
Kuliko kupoteza kondoo 100 sababu ya mmoja bora ufukie huyo mmoja 99 wapone.
Hakuna mwaka uliowahi kuwa mchungu kama 2018. Sababu ya yule kichaa, mengi yaliharibika I lost two good friends walioona there's no future ahead wakajitanguliza wenyewe.
Wanoko walipoanza kumwimbia atake asitake nikahisi kiama kinakuja, nikaenda hadi kwa kina Papaaa kuona kama wanaweza kunisajili. Kabla ya kukamilisha taratibu jitu chali!
Mkuu watu hawaelewi tofauti za upigaji wa yule Late CEO na tulichomlalamikia, alifukuza wafanyakazi wa Serikali zaidi ya 20% wakati mwenzake Old CEO na wale hewa mishahara ilikuwepo na hata mitaani.
Ukimpinga ni lazima akuue, ukimzidi kipesa lazima afunge biashara zako Foreign exchange zote alikomba, mahotel km Bilicanas halafu yeye anmfungulia nyumba ndogo bado na kwao kaweka.
SGR awamu ya 4 walisema iwekwe yeye Reli ya kati kaongeza Isaka - Mwanza anaacha Tabora Bukene Isaka
 
Mkuu watu hawaelewi tofauti za upigaji wa yule Late CEO na tulichomlalamikia, alifukuza wafanyakazi wa Serikali zaidi ya 20% wakati mwenzake Old CEO na wale hewa mishahara ilikuwepo na hata mitaani.
Ukimpinga ni lazima akuue, ukimzidi kipesa lazima afunge biashara zako Foreig exchange zote alikomba, mahotel km Bilicanas halafu yeye anmfungulia nyumba ndogo bado na kwao kaweka.

sasa leo wamepiga mpaka CAG kashtuka
hatusemi yeye alikua malaika bali SHETANI aliyevuta miradi kwake Clobetroter
Mje ya Mada yetu Nchi inapigwa
Asilimia 20 ya wafanyakazi walifukuzwa? Uongo uwe unaendana na uhalisia
Wafanyakazi ni 500000+, asilimia 20 ni zaidi ya 100000.

Chuki isizidi uhalisia
 
Mkuu watu hawaelewi tofauti za upigaji wa yule Late CEO na tulichomlalamikia, alifukuza wafanyakazi wa Serikali zaidi ya 20% wakati mwenzake Old CEO na wale hewa mishahara ilikuwepo na hata mitaani.
Ukimpinga ni lazima akuue, ukimzidi kipesa lazima afunge biashara zako Foreig exchange zote alikomba, mahotel km Bilicanas halafu yeye anmfungulia nyumba ndogo bado na kwao kaweka.
SGR awamu ya 4 walisema iwekwe yeye Reli ya kati kaongeza Isaka - Mwanza anaacha Tabora Bukene Isaka
sasa leo wamepiga mpaka CAG kashtuka
hatusemi yeye alikua malaika bali SHETANI aliyevuta miradi kwake Clobetroter
Mje ya Mada yetu Nchi inapigwa
Too good to be true
 
Back
Top Bottom