Siwezi kuvumilia upumbavu, mimi nimejiuliza tu kwanini wapumbavu ni wengi kiasi hiki, ila nimepata jibu wanaomkubali Jiwe ni watu kama wewe ambao pia mko wengi.mkuu kama wewe si mfuasi wake si unabana matakle a kuutuliza tu kwani kuna tatizo???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kuvumilia upumbavu, mimi nimejiuliza tu kwanini wapumbavu ni wengi kiasi hiki, ila nimepata jibu wanaomkubali Jiwe ni watu kama wewe ambao pia mko wengi.mkuu kama wewe si mfuasi wake si unabana matakle a kuutuliza tu kwani kuna tatizo???
kwa ujinga huu ulionao halafu unalalamika wanaume wakikushika matako.Hivi Jiwe anakuwaje anapata wafuasi? Kuna watu ni wapumbavu aisee
Kwani kima cha chini ni bei gani huko nyie mnaochukulia NMB?Mama Samia mitano tena.
Sisi wafanyakazi wa kima cha chini tumekuelewa sana.
au hata aanze kumsifia samia akione cha motoPole sana. Dkt Magufuli anapendwa mno kwa taarifa yako. Ukitaka kuona umaarufu wa Dkt Magufuli nakushauri nenda pale kariakoo halafu anza kumkashifu au panda daladala uanze kumkashfu Dkt Magufuli, kitakachokutokea tujulishe
Ndiyo maana kuna uzi humu jamvini the old CEO aka vasco anatajwa kama ni suala la muda tu,maana ameshameza ndoano..............
Let me introduce to you our new CEO, huyu ni moja wa watu waliohudumu in the company kwa muda mrefu sana!! Aliyemleta kwenye kampuni hii ni mr born town mwenyewe!! Huyu alimtoa pasipo "julikana" na kumuweka kwenye ramani!
Alimtumia kwenye vitengo tofauti tofauti ndani ya kampuni kwa kipindi chake chote cha uongozi!!
Kitu pekee wengi hawakujua, nikuwa huyu CEO under the wing of the old CEO ametumika sana kama agent na informal kwenye zile department zote alizokuwa kapangiwa!!
Alikuwa sent kwenye maeneo hayo simply kuobserve changamoto zilizopo na kusuggest njia za kusolve changamoto zile! So ni mwanafunzi na mhitimu smart aliye aminika sana na the old CEO!
Network yote aliyoijenga mr old CEO huko nyuma ndani ya kampuni, huyu CEO wa sasa anaijua vizuri since yeye mwenyewe alishiriki katika kuijenga!!
She knew the strenght and wekness of the old CEO and she respected how smart he is! Hata yeye kuwa assistant wa the late CEO haikuwa bahati mbaya! The old CEO, alicheza karatazake very smart in a way the late CEO alijikuta anamteua kuwa kama assistant wake!
So anamjua na kumuheshimu sana mr mind on how smart he is! Aliyaelewa VIZURI sana majukumu yake yote toka mwanzo alipoteuliwa kuwa assistant CEO! Alijua kuifanya kazi kama assistant! She never outshine the master! She was a good informer!
Akiwa pale mezani anasoma zile notification, kumbe kuna some members kwenye lile group la "deep company observers" wamechoka na uongozi wa the old CEO!
Why wamechoka? Simply Becouse the old CEO nikama anawatumia tu. investment nyingi ni mali ya familia yaani watoto wake na mkewe !! Wao wanakuwa kama nembo tu! So they want freedom, they want also to be recognised nakupewa heshima kama ambavyo watoto wake wanakuwa recognized na kupewa heshima!!
One of the notification ilitoka kwa mmoja wa hao members!
Just imagin...., haya yote yanaendelea the late CEO hajazikwa! The notification ilikuwa ni kum allet new CEO kuwa one of the members wants to meet her! Na briefly ilieleza areson why! He provided his secret Phone number when she is ready she can call that number!
New CEO Saw that as an opportunity to what she was thinking! So mazishi yakafanyika, the late CEO kazikwa baada ya almost three weeks since he died!
The old team of the late CEO wallikuwa na hasira kali sana moyoni wengi walihisi kilicho kuwa kimetokea lakini walikuwa hawana proof! So they were in hunt for the truth secretly!! And their target is Mr Born town!!
Its like baada ya mazishi na the new CEO kutake position as a CEO the old CEO was much concetrated with securing his projects That were taken by the late CEO
The new CEO Akaanza kufanya mabadiliko in the company according to the old CEO proposal, hii ilimfanya mr born town kuwa happy tena but very carefull! Tenguzi na teuzi zikaanza kuonekana,
wale wa kuu wa idara icons waliosifika sana wakati wa the late CEO wakapigwa chini, meetings na taarifa zikawa zinapokelewa! Under the monitoring of the old CEO!
After two monthes since in power, the new CEO Alianza safari za outside the country in the name of "rebranding the company name" and "calling out for investors"!
This was one of the smartest idea she came with! Why sababu hapa nchini conection za bwana mkubwa zilikuwa hazikwepeki!
Anawatu wake kila kona! Huwezi fanya kitu asijue he is well organized in information collection!!
Lakini kwa nje ya nchi hakuwa na nguvu na connections kubwa kama nyumbani! So the new CEO saw that opportunity, yaani Kulikuwa na kauhuru flani hivi akiwa nje kuliko anapokuwa ndani ya nchi!! So alianza kuplan outside trips ili aweze kupata oportunity ya kujiorganise well for what is comming!
Wafanyakazi wa ndani ya kampuni walipinga sna safari hiz nakuona hazina manufaa, nakuona zitaipelekea kampuni kupata hasara!! kumbe deep down they didnt know what was goin on!!
So trip yake ya pili ya nje ya nchi, alimnotfy kijana wake wakutane huko nje apate updates za kile alicho mwambia afanye!!
kabla ya kuondoka alipokea maelekezo kuhusu branch manager mmoja wakampuni aliyeaminiwa sana na the old CEO kuwa aliwa harass sana investors wa the old CEO kwenye Company branch! Members wanataka hawa held responsible for what he has done!
So maelekezo nikuwa anapaswa kutenguliwa haraka as a branch manager, na kampuni imshtaki kwa matumizi mabaya ya madaraka! Kwa kuisababishia kampuni hasara ya bilions of money! She called the head security and told him to deal with the matter!!
Baada ya maelekezo hayo CEO kachukua flight up to DUBAI, kijana alishatangulia kuhakikisha their meeting is safe and succesfull
Huku nyumbani mr old CEO hakuwa na time ya kufollow up trips za new CEO aliamua kujikita zaid kurudisha investment zake, nakushughulikia all the people who did him dirty during the late CEO!
At the same time the late CEO gang wakiwa na huzuni, hasira na chuki walikula kiapo iwe jua iwe mvua one day watalipiza kisasi, na kwakuwa washamju wanaye pambana naye ni the god father himself mr old CEO waliitaji kuwa smart and carefully!
[emoji23][emoji23]
[emoji117]Haya haya new CEO target wake amekuwa the old CEO, mtu ambae amemfanya awe hapo alipo, mipango inafanyikia nje ya nchi atamuweza?....
[emoji117]Kundi la the late CEO nawao hawako nyuma, target wao ni the old CEO[emoji23] mipango inasukiwa ndani ya nchi watamuweza????
Je MR OLD CEO Atahimili mishale toka nje na dani ya nchi inayokuja??? .....
Je hilo kundi la wafanya biashara linalo lalamika ni akina nanani??
Wanasema umoja ni nguvu utengano ni dhaifu!! [emoji108][emoji108][emoji108][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1739][emoji1739]
----
Muendelezo soma Dark days 17/03/20...
Aisee hii hapana, mbona mwendazake 2020 alitumia dola kutisha sana uchafuzi mkuu wa 2020?Anapendwa kuliko hata wewe ulie hai.
Ukitaku kujua anapendwa kiasi gani, waweke picha yake igombee urais afu hiyo picha igombee na kiongozi yeyote aliye hai ambae wewe unampenda kuliko jpm siku hiyo utajificha shimoni.
Sasa wapumbavu, majizi mafisadi majambazi na vyeti feki mnaanzaje mpenda jpm? KwendraaaaaJiwe anapendwa na wapumbavu pamoja na masikini ambao hawajielewi wala kujua nini kinaendelea duniani. Nipe mfano wa mtu wenye weredi na akili ambaye anamkubali Jiwe
Hizo ni habari za kujiliwaza kutoka kwa Mataga,kuna Uzi kule unahitaji kwenda kutaja hata kiwanda kimoja kilichojengwa kwenye Tanzania ya Viwanda hewa ya Kayafa.Pole sana. Dkt Magufuli anapendwa mno kwa taarifa yako. Ukitaka kuona umaarufu wa Dkt Magufuli nakushauri nenda pale kariakoo halafu anza kumkashifu au panda daladala uanze kumkashfu Dkt Magufuli, kitakachokutokea tujulishe
Kweli Nyani haoni kundule aisee,cheti fake na PhD fake ya maganda ya korosho wanatupiana vijembe.Sasa wewe na cheti feki chako hicho utaanzaje kuwa mfuasi wa JPM?
JPM Bin Fascist alishinda uchaguzi gani tangu azaliwe?Anapendwa kuliko hata wewe ulie hai.
Ukitaku kujua anapendwa kiasi gani, waweke picha yake igombee urais afu hiyo picha igombee na kiongozi yeyote aliye hai ambae wewe unampenda kuliko jpm siku hiyo utajificha shimoni.
Ule ni laana na mkosi kwa Taifa ndio maana Mungu aliamua kumuondoa kwa corona.Heee.... Pamoja na hayo JPM ni zawadi ya kipekee Mungu alitubariki tanzania, watu wa aina yake hawazaliwi kila siku, jamaa aliipenda nchi kutoka moyoni na sio kama hawa wasaliti na waigizaji walamba asali
Teh teh Mataga mnafurahisha sana mnajua sana kujilisha mavi kujiliwaza. Mzee wa Msoga yupo sana na ataendelea kuwakera.Ndiyo maana kuna uzi humu jamvini the old CEO aka vasco anatajwa kama ni suala la muda tu,maana ameshameza ndoano.
Wajinga kama nyinyi ndio mnapenda watu wa PhD fake. By the way tangu nchi ipate Uhuru kuna Rais mwizi,fisadi na muuaji kuzidi Kayafa mungu mfu wa chato?Sasa wapumbavu, majizi mafisadi majambazi na vyeti feki mnaanzaje mpenda jpm? Kwendraaaaa
Kwa hiyo yoga ni dume na anatupoteza maboya na huu uzi wake kwa lengo maalum?Mkuu
Uzi huu ni wa kijasusi na Wana jambo lao wanataka kutufikishia!
Wanatuchora na kutucheka huko pm!
Nimewahi onywa kisa kuchangia huu uzi!
Pia muonyaji akaniambia nikumbuke natumia public internet kuingia humu!
Nikajua we aren't alone with this!!
Ulitukana au?Mkuu
Uzi huu ni wa kijasusi na Wana jambo lao wanataka kutufikishia!
Wanatuchora na kutucheka huko pm!
Nimewahi onywa kisa kuchangia huu uzi!
Pia muonyaji akaniambia nikumbuke natumia public internet kuingia humu!
Nikajua we aren't alone with this!!
Hata kwangu pia alikuwa zawadi.Funga mdomo wako wewe sukuma gang, alikuwa zawadi kwako na familia yako ambao hamjielewi
Namjibia, nami nipe vigezo vya mtu mwenye weledi na akili.!Jiwe anapendwa na wapumbavu pamoja na masikini ambao hawajielewi wala kujua nini kinaendelea duniani. Nipe mfano wa mtu wenye weredi na akili ambaye anamkubali Jiwe
Kwa hiyo wewe sio masikini na sio mpumbavu? Masikini ni mtu wa aina gani?Hicho ndiyo kichaka chenu? Wapumbavu na masikini ni rahisi zaidi kudanganywa. Watu kama wewe eti ndiyo wafuasi wa jiwe.