Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mkuu wewe ndio hujui Freedom huyu sio huyu wetu wa Saccos ya kaskazini yeye anaitwa Mr Culture, huyu ni Freedom kutoka kwa akina nyang'au ambaye ni CEO amayemaliza muda wake nchi ya jirani, ambao walichomewa vifaranga pale mpakani,hope sasa ushaelewa. Huyu Freedom baba yake nae alikuwa CEO wa kwanza wa nchi jirani. Kuna swali?
Anyway hii ni simulizi hizi code mimi hazinipagi shida maana nafatiia mambo mengi. Huyo freedom soon anaachia ngazi iweje ahusishwe kwenye mambo yajayo? Na unajua anapoachia ngazi wenda new CEO akawa ni yule rafiki wa the late CEO bado what do you think?

Freedom najua nae ni mtoto wa mjini hizi ishu hazimpi shida lakini!!!!!

Anyway i love the story thanks yoga

Nasisitiza hii ni story tu msiweke hisia zenu.
 
Huyu Freedom hana tofauti na Born town wetu shida kule wananchi wake sio makondoo kama sisi, kwa hiyo kiremote chake hakitakuwa na muda mrefu wa kuonja asali tofauti na akina Borntown na remote yao
 
Anyway hii ni simulizi hizi code mimi hazinipagi shida maana nafatiia mambo mengi. Huyo freedom soon anaachia ngazi iweje ahusishwe kwenye mambo yajayo? Na unajua anapoachia ngazi wenda new CEO akawa ni yule rafiki wa the late CEO bado what do you think?

Freedom najua nae ni mtoto wa mjini hizi ishu hazimpi shida lakini!!!!!

Anyway i love the story thanks yoga

Nasisitiza hii ni story tu msiweke hisia zenu.
Maraisi wafanyabiashara huwa hawaondoki madarakani. Wakiwa madarakani hufnaya juu chini kupanda watu kila sehemu ili waendelee kufanya biashara, freedom ni mmoja wao. Na hapa kwetu pia tunae
 
Haibadili chochote... funza wapo wanajinafasi huko.

Mlizani mtatawala milele?

Nothing last forever.
Yaani unavyoandika utafikiri we utaishi milele, watu mbona mnahifadhi sana chuki? Mtu ameshakufa bado mnateseka nae wanini sasa! Yaani awamu ya 5 mnaichukia mnatamani muifute kabisa kwenye historia ya nchi hii!
 
Hawa jamaa wangekuwa wamepakana na Tarime kwanza wakaibiwa ng'ombe zao nadhani wangeijua namba kidogo kuisoma
Achana na akina muraa mzee tungeshasikia habari nyingine za kihistoria. Hawa majirani hawapendi watu soft soft watakufanya kama mdoli. Ukiangalia kitu wanachoringia huoni chochote,ila kiburi chao wasipokiacha kitawacost siku moja.
 
Ukienda wizara ya Maliasili na Utalii kuna jamaa anaitwa Kalamaga pale Dodoma ni Mnyarwanda kamili lakini Boss wa Kitengo Tanzania,Akipata likizo anarudi zake Rwanda anajifanya ni muhangaza toka Ngara.

Huko tandika wamejaa kibao,achilia mbali Jeshini na sehemu Nyingine nyeti.
Kitunda kuna Kanisa la kilokole mchungaji wao anafuga wahamiaji haramu toka Kenya na wanaishi fresh tu hawana hata vibali vya Siku 2 lakini wana miaka na miaka hapa Bongo.
Tandika sehem gani mkuu...!! nipo tandika hapa
 
Ukienda wizara ya Maliasili na Utalii kuna jamaa anaitwa Kalamaga pale Dodoma ni Mnyarwanda kamili lakini Boss wa Kitengo Tanzania,Akipata likizo anarudi zake Rwanda anajifanya ni muhangaza toka Ngara.

Huko tandika wamejaa kibao,achilia mbali Jeshini na sehemu Nyingine nyeti.
Kitunda kuna Kanisa la kilokole mchungaji wao anafuga wahamiaji haramu toka Kenya na wanaishi fresh tu hawana hata vibali vya Siku 2 lakini wana miaka na miaka hapa Bongo.
Kwahyo serikal yetu haiujui au nin mpaka wapo kimya
 
Back
Top Bottom