kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Outsider ni mbemeDah code nyepesi hivi imekushindaje? Freedom hawezi husishwa kwenye hayo mambo. Ila ninahisi kuna mambo yanaanza kupindishwa lolote lawezekana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Outsider ni mbemeDah code nyepesi hivi imekushindaje? Freedom hawezi husishwa kwenye hayo mambo. Ila ninahisi kuna mambo yanaanza kupindishwa lolote lawezekana.
Kwani membe ni CEO wa wapi,Outsider ni Freedom na ni CEO wa nchi jirani,baba yake nae alikuwa CEO wa kwanza wa majirani haoOutsider ni membe
Anyway hii ni simulizi hizi code mimi hazinipagi shida maana nafatiia mambo mengi. Huyo freedom soon anaachia ngazi iweje ahusishwe kwenye mambo yajayo? Na unajua anapoachia ngazi wenda new CEO akawa ni yule rafiki wa the late CEO bado what do you think?Mkuu wewe ndio hujui Freedom huyu sio huyu wetu wa Saccos ya kaskazini yeye anaitwa Mr Culture, huyu ni Freedom kutoka kwa akina nyang'au ambaye ni CEO amayemaliza muda wake nchi ya jirani, ambao walichomewa vifaranga pale mpakani,hope sasa ushaelewa. Huyu Freedom baba yake nae alikuwa CEO wa kwanza wa nchi jirani. Kuna swali?
Huyu Freedom hana tofauti na Born town wetu shida kule wananchi wake sio makondoo kama sisi, kwa hiyo kiremote chake hakitakuwa na muda mrefu wa kuonja asali tofauti na akina Borntown na remote yaoAnyway hii ni simulizi hizi code mimi hazinipagi shida maana nafatiia mambo mengi. Huyo freedom soon anaachia ngazi iweje ahusishwe kwenye mambo yajayo? Na unajua anapoachia ngazi wenda new CEO akawa ni yule rafiki wa the late CEO bado what do you think?
Freedom najua nae ni mtoto wa mjini hizi ishu hazimpi shida lakini!!!!!
Anyway i love the story thanks yoga
Nasisitiza hii ni story tu msiweke hisia zenu.
Maraisi wafanyabiashara huwa hawaondoki madarakani. Wakiwa madarakani hufnaya juu chini kupanda watu kila sehemu ili waendelee kufanya biashara, freedom ni mmoja wao. Na hapa kwetu pia tunaeAnyway hii ni simulizi hizi code mimi hazinipagi shida maana nafatiia mambo mengi. Huyo freedom soon anaachia ngazi iweje ahusishwe kwenye mambo yajayo? Na unajua anapoachia ngazi wenda new CEO akawa ni yule rafiki wa the late CEO bado what do you think?
Freedom najua nae ni mtoto wa mjini hizi ishu hazimpi shida lakini!!!!!
Anyway i love the story thanks yoga
Nasisitiza hii ni story tu msiweke hisia zenu.
Kijana upo? Kazi inaendaje?Outsider ni Mr 1961 but huyu insider sijamjua bado!
Mr Born Town anaoneka kazidiwa.ila ana vijana wengi kwenye KAMPUNI.
Tufungulie code hiyo basi mkuuDah code nyepesi hivi imekushindaje? Freedom hawezi husishwa kwenye hayo mambo. Ila ninahisi kuna mambo yanaanza kupindishwa lolote lawezekana.
Usitaje watu majina, hakuna mahali Yoga kataja mtu jina lake.Outsider ni membe
Yaani unavyoandika utafikiri we utaishi milele, watu mbona mnahifadhi sana chuki? Mtu ameshakufa bado mnateseka nae wanini sasa! Yaani awamu ya 5 mnaichukia mnatamani muifute kabisa kwenye historia ya nchi hii!Haibadili chochote... funza wapo wanajinafasi huko.
Mlizani mtatawala milele?
Nothing last forever.
Hawa jamaa wangekuwa wamepakana na Tarime kwanza wakaibiwa ng'ombe zao nadhani wangeijua namba kidogo kuisomaMtu anayehitaji kujua unyama uliokuwa ukifanyika kwenye mapori haya aulize wazawa wa mkoa wa Kagera na Kigoma kuna habari za kutisha na kusimumua kwa wakati huo huo.
Sawa mkuuUsitaje watu majina, hakuna mahali Yoga kataja mtu jina lake.
Achana na akina muraa mzee tungeshasikia habari nyingine za kihistoria. Hawa majirani hawapendi watu soft soft watakufanya kama mdoli. Ukiangalia kitu wanachoringia huoni chochote,ila kiburi chao wasipokiacha kitawacost siku moja.Hawa jamaa wangekuwa wamepakana na Tarime kwanza wakaibiwa ng'ombe zao nadhani wangeijua namba kidogo kuisoma
Siku nikiona connection ya Covid na kifo Cha the late CEO, Nitamwamini yoga katika story hii
Tandika sehem gani mkuu...!! nipo tandika hapaUkienda wizara ya Maliasili na Utalii kuna jamaa anaitwa Kalamaga pale Dodoma ni Mnyarwanda kamili lakini Boss wa Kitengo Tanzania,Akipata likizo anarudi zake Rwanda anajifanya ni muhangaza toka Ngara.
Huko tandika wamejaa kibao,achilia mbali Jeshini na sehemu Nyingine nyeti.
Kitunda kuna Kanisa la kilokole mchungaji wao anafuga wahamiaji haramu toka Kenya na wanaishi fresh tu hawana hata vibali vya Siku 2 lakini wana miaka na miaka hapa Bongo.
Vifaranga vilikuwa vya freedom au m7No! Outsider ni Mu7! Rejea issue ya vifaranga vya kuku
Kwahyo serikal yetu haiujui au nin mpaka wapo kimyaUkienda wizara ya Maliasili na Utalii kuna jamaa anaitwa Kalamaga pale Dodoma ni Mnyarwanda kamili lakini Boss wa Kitengo Tanzania,Akipata likizo anarudi zake Rwanda anajifanya ni muhangaza toka Ngara.
Huko tandika wamejaa kibao,achilia mbali Jeshini na sehemu Nyingine nyeti.
Kitunda kuna Kanisa la kilokole mchungaji wao anafuga wahamiaji haramu toka Kenya na wanaishi fresh tu hawana hata vibali vya Siku 2 lakini wana miaka na miaka hapa Bongo.