Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kuna watu humu Kwa uelewa finyu wanadai Eti jiwe alichukua walinzi wa PK Eti wamlinde!!!!!! Huwa nacheka sn.

Mwaka 2014 nilikwenda kumtembelea Babu yangu DSM, mwaka Ule palikuwa na TETESI kuwa PK angeweza kutuvamia anytime, Jioni moja Si nikatoka kwenda kunyoosha miguu, ushamba mzigo, Si nikapotea njia, naangalia mbele naona ubalozi wa Aust...,

Si nikakunja kushoto, nimetembea weeee, naangalia mbele ghafula nikaanza kuona WAZEE wananipita Kila mmoja Yuko busy na mambo Yao, Cha kushangaza mabaka ktk mavazi Yao sikuwahi kuyaona tangu Kuzaliwa, nikahisi maybe nimeingia ubalozi wa us, uniform zao zilikuwa na mabaka kama Yale yanayovaliwa na wajeda wa us wawapo jangwani, ni khak hv niliogopa sana.

Nilipohisi naelekea eneo la hatari Zaid Si nikapiga u turn nianze kurudi nilikotoka, jamaa mmoja akaniuliza vp unaenda wap?? Au umetumwa na PK uje kutupeleleza? Nikamjibu nimepotea njia.
Siku hiyo nilipigishwa kwata za hatari, kilichonisaidia ni pale nilipomtaja Babu yangu wakastuka kidogo maana alikuwa mmoja wa majuddge kipindi Cha JKN. Wakanitema nikarudi hoi!!

Watu hao niliowaona zamani ktk uniform zile ndo nmekuja kuwaona wakimlinda JPM na watu wasivojua wakahisi amewachukua Kwa PK.
Mbona hizo jezi zinafahamika mkuu?

Ukipita kwenye mageti fulani kule makumbusho utawakuta watu wamevaa hizo jezi.
 
Binafsi nilifurahi sana baada ya kusikia magu kafa. Mwaka huu ilipofika tarehe ya kifo chake nilisherekea pia na mwakani nitasherehekea.

Alikuwa muovu sana na tunazidi kumuombea mungu aongeze moto ili aungue vizuri.
Kuna news huko clubhouse ya mwana kajimwaga jinsi nchi inavyoibiwa, kama unemsikia na bado una laumu uzalendo wa Dkt Magufuli basi una laana
 
By the way our new CEO is now busy. few days ago, level two of the mission "checks and balance" was deployed! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stage one on that level inatekelezwa kwa kasi, and the next stage, is stage two!! [emoji23][emoji23][emoji23] The top head in one of the securty agency is about to be taken down!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lets wait for another episode ....,[emoji23][emoji23][emoji23]
Does it has anything to do with Mr. General
 
Hellow guys and Sorry pia!! Kuna kiubz flan kilipita but mambo yako vizuri sasa!! Dont miss the last two epsode next week!! Aisee hamtojutia!! .....tchaooo!
Next episode katika tamthiliya yako wadau wengi tuna hamu kubwa ya kusikia utayari wa Mr. Born Town katika kukabiliana na makundi hasimu dhidi yake. Maana huyu ndiye muhusika mkuu katika uendeshaji wa masuala muhimu ya kampuni.

Endapi kuna baya lolote litakuja kumkumba na kudhoofisha nguvu zake, basi hapo itakuwa ni mwanzo wa vita vipya vya kimaslahi vya wenyewe kwa wenyewe kwa hao mahasimu wake ndani ya kampuni. Hapo Yoga sijui utatuchezesha kwa "buttons" zipi!?

Ngoja tuzidi kusikilizia, yetu macho na masikio.
 
Labda nikusaidie kitu kimoja.
Uhai wa born town kuna mtu kaushikilia

Huyo mtu akiamua hata sasa hivi huyo mtu wako afe anakufa tu.

2026 mbali Sana,wakati hata mwezi ujao born town hawezi kutoboa.

Turudi kwa currently CEO.
umejitahidi kumpamba aonekane hana hatia, lakini mfikishie ujumbe, Makamba ndiye anaye muhujumu na yote hayo kwa sababu anataka KWA udi na uvumba kiti.

Na Ikiwa ataendelea kumkumbatia yule msambaa atapoteza KILA kitu.
Unazungumzia February ? Mwenye title ya mzee ni baba yake February?
 
Wewe ulikuwa na maono kama yangu.Ila tangu zamani huwa ninamuona Mr.Born town ni mtu makini sana kwenye suala la Kampuni na huwa anamuweza sana huyu Paka, kwahiyo pamoja na mambo yake ila kiukweli namkubali ile advertise aliyomfanyia kule kanda ziwa hasa Kagera na Kigoma ilitosha kusema jamaa yuko vizuri. Hii riwaya mpaka ifike mwisho Fanani atakuwa ametupatia mwisho mzuri na picha halisi ya nini kinaendelea. Tuendelee kuchambua pasipo mihemko maana huko mbele hatujui nini kinakuja.
Mr born town ni nini alichomfanyia KP huko kanda ya ziwa ?
 
Hivi tuna uhakika Yoga aliyeanza na hii stori ndio huyu huyu anayeendelea? Mbona kama kuna touch tofauti? Ila stori inafikirisha sana
Hata kama watamdukua, huyu binti kawaharibia sana wanasiasa wapigaji, binafsi sioni shida kwa Msoga gangs, ama sukuma gangs + wainua vidole viwili juu wakidukua kwa huu uzi, wameshavulishwa nguo hao Shenzi zao
 
Ila Jiwe pamoja na mazuri yake baadhi hasa kuboresha Miundombinu nchini ila alikua na ROHO mbaya sana .
Alikua na ile nile mimi tu na wanaonisifia ,wengi walimuweza kwa kumsifia kinafiki walinde ugali.
Yule bwana tungekua na Tanzania huru yenye mikakati ilifaa awe Waziri wa Ujenzi kama alivyokua ila sio mbeba maono .
Uko sawa kabisa Baba Kibonge.
 
Mkuu hii game ili mradi inawahusu wao kama wao, waendelee tu kusepeshana.

Alianza faza ov ze company, soko akasepeshwaaa, ceo wa nguvu zetu ndio mtaji wetu akapita na faza, Mr born town ameona maslahi yake ndani ya kampuni yapo mashakani akaona ceo wa nguvu zetu ndio mtaji wetu akasepeshwaa, akasepeshwa late ceo...sasa naona mashungi asipokuwa makini Mr born town anasepa nae.

Ila mwamba anaendeshaje kampuni remotely amekaa zake huko gasom anaiendesha kampuni anavyotaka..hatari hii.
Ninavyojua mtaji wa maskini A.K.A Mr Ben ten alipigwa tafu na faza of the kampuni kuwa CEO. Kipindi hicho born town alikuwa moto balaa ila faza akamatuliza akamwambia we bado dogo muache braza Wako Mr Ben 10 then you will be the next. Sasa iweje Ben 10 amuRIP faza of the kampuni wakati ndio alimbeba? Iweje born town amuRIP Ben 10? Ninavyojua mimi the late CEO ndio alimuRIP Ben 10 na sio born town.
 
Back
Top Bottom