Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Wanadhani wamejipanga na safu zao kuhujumu members wa kampuni wakidhani kwamba hayupo wa kuwazuia lakini,

Kwa yanayoendelea hivi sasa CEO ajaye itabidi awe wa mkono wa chuma kupondaponda waovu wote Hilo HALIKWEPEKI.

Njia Gani itatumika hayo yatimie, Mungu ajua na hajawahi shindwa.

Kwa Mungu Pana majibu yote, wakitubu na kubadilika yaeza badilika pia.

Amen.
Kwani sisi ni Israel
 
Late CEO hakuwa mwenye mkono WA chuma!? CEO ajae ataweza kuwaponda mafisadi WA kampuni na wafadhili wao!?
 
Kama kawaida wale wa mbali GIZANI walichungulia ktk Ulimwengu wa ROHO wakaona linakuja,

Walichofanya wakatanguliza uongo, wakazusha mtt ameongea ch...t...o...w, Ili ukija ujumbe wa Kweli watu waupuuze.

Ujumbe wa Mungu umekuja vile vile bt Si Kutokea ch....a...t... W, bt Kutokea m...b...y Ili watu wasijehusisha na siasa,

Mungu Huwa hatoi adhabu bila kutanguliza onyo kupitia manabii Ili walengwa wageuke na kutubu.

Amen
 
A
Mkuu
Nyumba ya Ahabu itakayopigwa ni ipi!!? MAFISADI na chama chao kilichodumu madarakani muda mrefu au!!?
Ahabu ndo alikuwa CEO, mshauri alikuwa Yezebeli.

Kiti alikalia mwingine bt aliyefanya KAZI na kutenda UOVU alikuwa queen,

Manabii ni members wote waliopotea wakitetea HAKI Kusimama ktk KAMPUNI.

Mmoja wa manabii anateuliwa akae nafasi ya Ahazi,

so kampuni yetu imekuwa vice versa.
 
Ina Maana Bt na CEO aliepo wanapaswa kushughulikiwa nabii akishika hatamu!!!
Ngoja TUONE!!
 
Yoga mi nna shida serious juzi kati nilifanyiwa upasuaji wa mishipa ya moyo hivyo kwa hali yangu ya kiafya na changamoto iliyonikumba nimeshautiwa nihame Rufiji nije Dar karibu na jkci lkn nimenza kukumbana na changamoto toka kwa mkuu wa idara inshort urasimu mkubwa mnoo hawataki nihame bila sababu wala kuhudhuria Clinic naomba ongea na maza nipate uhamisho tu kutoka Rufiji kuja Dar jamani wanataka nife niwaache wanangu bado wadogo wa kwanza Imma miaka 3 na nusu na wapili Gracious mwaka 1 na nusu.
Yoganisaidie hili plz
Huna UGONJWA wowote. Mission Yako inajulikana.

Unajaribu kuzuia HAKI na KWELI kusimama ktk Nchi.

Nchi hii Mungu wa Mbinguni ana KAZI nayo. Hamtaweza.
Amen
 
Kila NENO usomalo ktk BIBLE ni CODED.
Kila NENO moja usomalo Lina maana au tafsiri SABA,
Mungu hutujalia kufungua tafsiri 1-4 pekee, tatu zilizobaki zinabaki Siri zake.
Biblia Ina majibu YOTE yaliyopita, ya sasa na Yajayo.
Tusubiri.
Amen
Jamaa yangu wewe humu kuna post unamponda aliyeleta picha ya BT akiwa na bingwa wa magonjwa ya moyo kua anajaza saver na kuchelewesha yoga kurudi humu jamvini.
sasa unapoleta mambo ya Dini hujui unawakweza wengi km vile huko Jehanamu au mbinguni unapajua sana.
Biblia yako inafuatwa na asilimia ngapi ya watu wote Duniani (tafiti kwanza hapo)
Biblia yako inasema Dunia yetu itatawaliwa na koo 12 za Israel (Ndoto hizo)
nakushangaa unavyoponda Kampuni km na wewe tungekuachia huo uCEO hata saa moja ungeweza
Mambo ya kutuwekea Dini ungeacha ili tumsubiri mleta Mada
 
Kwa faida ya Nchi Born Town lazima apumzike. Atake asitake. Hakuna kiongozi atafanikiwa kama huyu Bwana yuko hai.
ACHA UJINGA bila BT hii Nchi ilitaka kua ya kishamba sana, Mwendazake angetawala Milele
Ni nani angemnyamazisha yule Dikteta aliyeko Jehanamu, kawatanguliza kna Ben saa8, Akwilina, Azory,
kazalisha wake za watanzania wenzake.
wewe ndio utatangulia Jehanamu na Borntown Peponi tunamuombea
 
Kwa hiyo Born town anahaki ya kutoa uhai wa mtu?alafu hata enzi zake watu wengi Tu waliuawa.ataondoka atake asitake.damu ya kiongozi wa kampuni ni nzito Sana.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa yangu wewe humu kuna post unamponda aliyeleta picha ya BT akiwa na bingwa wa magonjwa ya moyo kua anajaza saver na kuchelewesha yoga kurudi humu jamvini.
sasa unapoleta mambo ya Dini hujui unawakweza wengi km vile huko Jehanamu au mbinguni unapajua sana.
Biblia yako inafuatwa na asilimia ngapi ya watu wote Duniani (tafiti kwanza hapo)
Biblia yako inasema Dunia yetu itatawaliwa na koo 12 za Israel (Ndoto hizo)
nakushangaa unavyoponda Kampuni km na wewe tungekuachia huo uCEO hata saa moja ungeweza
Mambo ya kutuwekea Dini ungeacha ili tumsubiri mleta Mada
Kuna tofauti kubwa kati ya DINI na IMANI. Hizo story hazihusiani na DINI.

Nakushauri unapoongelea masuala ya KAMPUNI epuka kuegemea upande Fulani Ili kuepuka bias.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya DINI na IMANI. Hizo story hazihusiani na DINI.

Nakushauri unapoongelea masuala ya nchi epuka kuegemea upande Fulani Ili kuepuka bias.
Mkuu Vp nimeona umeelezea kiroho zaidi hasa kuhusu vitu vilivyomo tz ambavyo tunavichukulia vya kawaida

Vipi kuhusu Mt Kilimanjaro.??
Kuna ishara Yoyote kuuhusu na uwepo wake Tanzania?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Huna UGONJWA wowote. Mission Yako inajulikana.

Unajaribu kuzuia HAKI na KWELI kusimama ktk Nchi.

Nchi hii Mungu wa Mbinguni ana KAZI nayo. Hamtaweza.
Amen

Huna UGONJWA wowote. Mission Yako inajulikana.

Unajaribu kuzuia HAKI na KWELI kusimama ktk Nchi.

Nchi hii Mungu wa Mbinguni ana KAZI nayo. Hamtaweza.
Amen
Daaah ndugu yangu yaani umeamua kunipaka damu nisiyostahili ili zimwi na mazombie wanimeze bila kosa lolote kweli? Una roho mbaya sana mpaka mda huu nipo clinic hapa JKCI kwa Khuzema napigania uhai wangu af na wewe unaomba nitolewe uhai kweli? mi siyo hao watu wenu ushindwe kwa damu ya Wazee na mizimu ya kwetu🙏 AF hii ni riwaya punguzeni ujuaji wote humu tuko uchi,usiniombee mabaya wewe Nabii wa Wafarisayo.
 
Back
Top Bottom