Ndugu Ngarob, neno VIBWENGO na GIZA linatumika vibaya, labda halieleweki maana yake.
Mimi Si KIBWENGO, nakataa, Mimi ni Mwana wa Mungu Alie hai. Maana umechangia hoja ukitumia Jina vibwengo ukimaanisha raia.
Pia GIZA linatumika vibaya. Security personnel working undercover au VIPEPEO'' na taasisi zote ni Kwa Maslah ya nchi, hivyo matendo Yao Si ya Giza. Hata Mungu Mbinguni ana Malaika walinzi.
Matendo Yao yanabadilika na kuwa ya GIZA ikiwa tu yatakiuka HAKI kunufaisha wadhalimu, au kulinda wakubwa waovu.
Giza nilijualo mm ni Ule Ulimwengu wa ROHO unaofanya KAZI chini ya SHETANI mwenyewe kupitia agents wao nlowataja before.
Vita yangu kubwa ni Katika Ulimwengu wa ROHO kuhakikisha mifumo ya utawala ktk Nchi yangu TZ haitokani na SHETANI kupitia agents wake,vibwengo,Illuminati, wachawi,mizimu,mapepo nk.
Hayo madude hutaka Damu kama sadaka, Ajali za moto, matetemeko, kuzamisha meli, treni nk ni KAZI zao.
Watawala wakipata kumiliki kupitia Kwa Mungu alieumba mbingu na Nchi, hapatakuwa na RUSHWA, mauwaji, wizi, fitna, dawa za kulevya nk.
La MUNGU limekuwa, Amen