Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda tusipate kile tunachokitakaYoga ataambiwa cha kuandika [emoji846]
Born Town anawanyoosha ma bushmen 😂😂😂Boss wamemchukua kijana as we thought
Okey so it realy KP?
yes!! Its him indeed!! Tume scan na laptop, Hii software waliyoweka humu kwenye hii laptop ndio ile ile!
Mnaweza kutrack kijana anaonekana kapelekwa wapi?
Yes! Hatuja switch on ile tracker maaana watamscan kuona kama ana anytracking device!
Good! Enedeleni kunijulisha kila hatua!
Sawa boss!!
This guy!!! He always admire my company!! This time tunakula sahani moja
Boss anachukua simu na kumpigia curent CEO, i need to talk to you nakuja hapo!! Then anakata simu!
Born town haraka sana na convoy yake wanaanza safari kuelekea makao makuu ya kampuni, baada ya saa mbili hivi anafanikiwa kufika mpaka makao makuu ya kampuni bila tabu maanaa pale nikama kwake
Anakwenda moja kwamoja kwa mwenyeji wake anaingia ofisini kwake nakukaa kumsubiri! Akiwa pale anaendelea kuzitizama picha za other CEO waliopita ikiwemo ya kwake zilivyo pangwa kwa mpangilio kuanzia CEO wa kwanza mpaka wa sasa! Macho yake yanapofika kwa late CEO, anasmile kidogo!! Anajisemea this guy........
Then five minutes curent CEO anaingia nakuketi!!
Shkamoo boss!!
Marhaba!! Naona ume update furniture last time nimekuja sio hizi!
Hahaha, Nikweli Mkuu! Mtu wa decoration alinishauri tuzibadili and i thought it was a good idea!!
Ohoo! Okey!!
Sawa, Karibu boss! Simu yako imenishtua!
Yes! Nimekuja tena this is the second time na kuja hapa un-ivated so samhani kwa hilo! Ntakwenda moja kwa moja kwenye hoja maaana najua una bizy schedule
Usjali hapa kwako mkuu!!
Hivi Ulipopitia mafile ya kampuni yetu baada ya kupewa hii ofisi, ulipata nafasi ya kupitia file la KP ?
Sorry? Who? (Ceo anashtuka na blood pesure inaanza kuwa juu)
Dont act like ujanielewa, umesha pata kujua what KP wanted from us and how nilimshughulikia?
Boss, hapana sijapitia chochote kinacho husu KP
Sasa nimefunga hii safari mwenyewe kuja kukujuza tu kuwa you need to task your people wakupe file la K.P there issues in there you need to know kabla yakuendelea na ujinga wako na mzee kuunda umoja wa kudeal na mimi!!
And by the way tell mzee namheshimu sana he is still my guy!! Mwambie i can smell an enemy as far as i can!! Na kama huna ilo file bas take this flash!
Born town anampa flash CEO yenye details about what KP did!
Then akiwa anatoka anamwambia, msalime sana KP mwambie this time niko free zaid as he thinks! CEO anaitazam ile flash akiwa anatetemeka
Then born town anarudi kidogo!!
Nilikua nataka kusahau, kule mbugani ile pesa imeshaingia tuna hitaji ilo eneo as soon as possible!! Na nnakukumbusha unapaswa kwenda kule ulikonichafua ukanisafishe tena kama tulivyo kubaliana last time nikiwa hapa I need my investors back, especially from USA! Anasmile kidogo as usual antoka
Current CEO alipo pata taarifa ya born town kuwa ana kuja, alimjulisha mzee then mzee akaplant audio divices kwenye ofisi ya CEO ready to listen to why born time alikuwa pale!
Baada yakusikia kilichosemwa pale evryone was in shock ....
Ceo alirudi haraka ndani and opened her laptop na kuweka ile flsh!!
Then a small folder with 26 GB kwenye flash inajidispaly usoni kwake!!
Ana oppen ile folder anakutana folder lenye title "Oparation +250 Bingo "
pdf files , picture na audio clip na video clip zenye title mbalibali ......
So what happen between KP and born town??
Hope tuta maliza two last epsode soon!!
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Umeulizwa na nani kuwa huu uzi ni tishio? Nini kimekuleta kwa huu uzi usio tishio?Nina ID mbili tu boss na zote jina ni moja nazitumia kwenye simu mbili tofauti
Alafu huu UZI hauna maajabu kivile na wala sio tishio
Kuna chawa hawajui kuwa Yoga ni mtu wa siku mingi hapa 😂Yoga amejiunga jamii forum 17/01/2013
Ni legendary
Yoga amejiunga jamii forum 17/01/2013
Ni legendary
hahahahaha,mkuu kn kitu ulikua unataka? Kipi hichoHuenda tusipate kile tunachokitaka
Na Ndio màana ya vugu vugu linaloanzia magharibi Sio!!la Hapo Mwakani linalotabiriwa na watabiri mbali mbali Sio!Hao CIA agent's si Mu7 na The cat Sio!!Nimenusa vitu vingi sana kwenye hii kitu ambayo lengo kuu ni kuwaandaa watanzania kisaikolojia....Na watakaokuja na hizi topic ni watu kutoka angle mbalimbali na mitandao mbali mbali
Hii ni project ya muda mrefu na kama unaubongo wa kuku huwezi kuielewa ila Watanzania tuwe makini sana sana na tusipokuwa makini tunaenda kuvurugwa..
Kuna force ambayo iko nchi moja ya jirani ndio iko behind hii kitu na lengo ni kumplant mtu kutoka nchi jirani kuongoza hii nchi wakilichukulia advantage ya upepo wa kisiasa..
Nchi mbili jirani ni CIA agents na hii plan inakwenda kuwa excuted from head office hapo jirani...
Kama kweli the Late CEO (kama alivyokuwa blanded humu) alikuwa eliminated basi the one behind the show, ni hao hao with their long term plan, at the end of the day nchi itatekwa na wote tutakuwa mateka...TUWE MAKINI KUSHABIKIA HIVI VITU.....
huyu anayeitwa "Born town" tunaandaliwa tu kisaikolojia na huyu anayeitwa Mzee ambao wengi mmebland kama Mzee wa kusini wanaweza kuwa wahanga ili kuaminisha hizi hekaya kwa watu na watu muanini the mission done..
SKM gang watatumika hapa ila watakuwa overrun maana akili hamna wengi mang'ombe wanaowaza kuishi vizuri tu na jamaa wamepandikiza watu tele miongoni mwao, its long term plan wakichukulia advantage ya ukanda na mfanano wa makabila...
Tuwe makini Tanzania isije kugeuzwa mkoa wa nchi fulani and will be leading from headquater, watu wetu waamke sasa au labda ndio wameshatekwa nao maana wengi wanawaza kula bata na kuishi vizuri mjini tu ila userious na umakini zero....
Huyu anayeitwa "Born town" naye analijua hili si ajabu ndio muokozi wa hii nchi kutoka kwenye hesabu za wale jamaa chini ya yule jamaa "black cat".... Watch out...