Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mkuu no one can beat the system this is the harsh reality ambayo hata wapinzani wame-realise. So Polepole,Kabudi,Bashiru, and the likes are heading to the political oblivion come 2025.

Funzo ni kwamba ukiingia kwenye system tengeneza mazingira mazuri yaani golden parachute Ili siku uking'olewa uwe na uwezo wa kutua mahali salama. Till then hakuna atakayeweza kupambana na system na akashinda.
Kuna watu wanaamini kuwa ndani ya mfumo ndo kuna msuguano, akina Polepole wametangulizwa tu na kundi flani ndani ya mfumo.
 
Kuna watu wanaamini kuwa ndani ya mfumo ndo kuna msuguano, akina Polepole wametangulizwa tu na kundi flani ndani ya mfumo.
Hii nchi hakuna mwenye nguvu kuliko mwenyekiti wa CCM so hakuna wa kumpinga labda wamuue ila kisiasa hakuna anayewaza pambana na mmiliki wa jeshi utafanyiwa surveillance na ujasusi mpaka upotezwe kisiasa.
 
Sio kuamini tu kuna uhalisia pia. Mfumo huzalisha mfumo na mfumo huufisha mfumo
Kwa Jk si tuliambiwa hivi hivi Hadi ccj ikaanzishwa ila ikawaje? Same to enzi za JPM tukaambiwa CCM imepasuka ila mwishowe Kinana na January wakaomba msamaha kwa goti.

Narudia Tena ndani ya CCM na so called deep state hakuna wa kum-challenge mwenyekiti wa CCM chini ya hii katiba.
 
Hii nchi hakuna mwenye nguvu kuliko mwenyekiti wa CCM so hakuna wa kumpinga labda wamuue ila kisiasa hakuna anayewaza pambana na mmiliki wa jeshi utafanyiwa surveillance na ujasusi mpaka upotezwe kisiasa.
Currently JK anayo hiyo nguvu., huko nyuma (wakati wa Mwinyi na Mkapa) alikuwepo Nyerere.
 
Nyie humu ndani acha kupeana story za vijiweni hiv kweli hii tooic yenu iwanyime usingizini na wao wanawaangalien wanashindwa kumbana max aifute hiv mnajua ishu za kuketa taharuki au usalama wa nchi mnadhani mtachekewa na hiz story zenu nyie hamuijui tanzania
Kuandika unapuyanga hivi
Akili za kuchangia unazitoa wapi!
 
Currently JK anayo hiyo nguvu., huko nyuma (wakati wa Mwinyi na Mkapa) alikuwepo Nyerere.
Na wakati wa Bt na Chuma, mkapa ndio alikuwa na HIYO NGUVU pia!

Now ni Bt!!

Mi Bt namkubali kiasi chake japo na mapungufu yake, LAKINI ninaposikia KWA thread kama hii eti wanapanga kesho ya kampuni KWA kupanga VIONGOZI wa kampuni wanaowataka napata shaka Sana KWA SISI tusio na connection Ndio tushazikwa hatuna pa kupenyea KABISA!!?
 
Matamanio ya wanadamu si ya M/Mungu. Hakuna mtu wa kumsogeza Dr. Chief. Na mwenyekiti wa kampuni kwenye kiti.
Up to the day anahitajika na katiba kupumzika.
Yeyote anayechukua lolote lililotokea b4 kama reference, asisahau kwamba CEO late alikuwa ameanzisha mkakati na hatua za kutengua katiba ili atawale miaka 20.
Ila Current CEO hana mpango huo. So sio tuu Mungu wala jua na vyote vinamlinda na kumtetea Day and 9it. Hata akienda kulala stand ya bus ya.. .....!
Mark these words. Till the end of the time.
 
Back
Top Bottom