Kuna watu wanaamini kuwa ndani ya mfumo ndo kuna msuguano, akina Polepole wametangulizwa tu na kundi flani ndani ya mfumo.Mkuu no one can beat the system this is the harsh reality ambayo hata wapinzani wame-realise. So Polepole,Kabudi,Bashiru, and the likes are heading to the political oblivion come 2025.
Funzo ni kwamba ukiingia kwenye system tengeneza mazingira mazuri yaani golden parachute Ili siku uking'olewa uwe na uwezo wa kutua mahali salama. Till then hakuna atakayeweza kupambana na system na akashinda.