Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Niliidharau hii Hekaya mwanzoni ila hapo makamu mwenyekiti kutaka kuzuiwa kupewa uCEO na Bashi boy pana kaukweli kiaina pia wizi wa hela na penyewe pana kauweli Yes kosa kubwa walilolifanya kina Katibu ni kutomshirikisha Beyo boy kumtenga manyota lilikua kosa sana angewasaisia kubeba hii kampuni...alafu deep informal kuwa ni yule bibie hapo mmemuonea sana huyo mama...jamaa alikua hamshirikishi kabisa she was too ceremonial....Pia mtunzi kasahau kuhadithia kuwa waliandaa ka kijipande cha kigazeti cha mchongo kujustify jamaa eti alikua na pesimeka na aliumwa kuanzia akiwa yudizenga ila hii dunia ina mambo jameni anyways

Robo tatu conspiracy robo ukweli
Ndo maana ndugu mwandishi akasema; 'Mambo ni mengi ila mda ni mchache'.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah hiki kichwa kibovu. Kwamba unataka za born town mwenyewe...
Hivi upo serious kabisa? Vp born town akikutongoza leo so utamtegea mimba??[emoji23]
[emoji23][emoji23] nitamtegea ama ndo makubaliano. Nani hataki mtoto smart kama babake hivyo?
 
[emoji2][emoji2][emoji2] ila ni jamaa fighter sana shida kauli za kuudhi
Hajapata chizi fresh tu. Niblwasababu system yetu iko weak. Ila me simkubali wala nn. Huyu January simpendi ila namkubali he is smart. He is. Mimi hata uwe bilionea halaf akili sizioni achana na mm.
 
Hajapata chizi fresh tu. Niblwasababu system yetu iko weak. Ila me simkubali wala nn. Huyu January simpendi ila namkubali he is smart. He is. Mimi hata uwe bilionea halaf akili sizioni achana na mm.
Aisee marope simkubali heri ya mwigulu mara elfu marope anaweza kutuuza direct, pia ana tuhuma nyingi za maadili ya Sodom Sasa sijui ni kweli au kumchafua tu
 
Angalau hata za mariedo basi. Si ndio? Asigawe bodaboda tu wakati hapendezi. Mawigi havai wala kushonea. Wala hasuki. Basi apendeze na viwalo walau daraja la kati jamani.
[emoji2][emoji2][emoji2] dada yetu kajichoka sana jamani hata ka lipstick Kwa mbali huwa hapaki ujue yeye ni kiongozi wa muhili mkubwa mjengoni ajifunze hata Kwa Jojo bana, maana Kuna siku Huwa anavaa t-shirt na tight eti mashindano woooi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mama gwajima anamshinda bana. Chombo mama makinda bana. Anajipenda hata kama age imeenda. Anunue hata shushi by Nandy basi[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mama gwajima anamshinda bana. Chombo mama makinda bana. Anajipenda hata kama age imeenda. Anunue hata shushi by Nandy basi[emoji23]
Mama gwajima sikuhizi anajitahidi Kwa kweli Anna makinda yeye hutupiaga kawigi kake kauka nivae na kuvaa vizuri, Sasa madame speaker wetu kajichoka sana
 
Namsemea in the aspect of brightness. Sema yuko aggressive sana na kuutaka huo uraisi. Ni mkatili pia siku hizi
Mimi hao wote hamna afadhali Kwa kweli watakuwa tu ka lowasa na membe?
Hivi mbona nape yeye haonyeshi tamaa za uRais au kasharidhika na maisha maana kutwa kuchambana na wanazengo mtandaoni[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom