Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kuhusu mzaliwa ni story tu za kahawa hamna kitu kama hicho.
Eti, alishikwa na sembe Kwa jamaa wale wenye macho madogo
akaingia vifungoni na makaratasi yanayoi+cost kampuni[emoji1787][emoji1787]
Ni story ya uongo ilitungwa na mabeberu wapenda vita wa funded by A, baada ya uzalendo wa BT kukataa unyonyaji wa mikataba ya gas kusini na ukumbuke hawa mabeberu walikuwa wameshajihakikishia watapewa dili za gas huko kusini na mpaka walikuwa wanasomesha watanzania na a lot of CSR, ila wenye vi macho vidogo wala mende walikuja na terms nzuri na BT akabadili gia hivo mabeberu wakaeneza habari kuwa BT junior kashikwa huko kwa wenye vijicho vidogo hivyo analipa fadhila, na walienda mpaka misikitini na makanisani wakatoa hela kwa wazee na kuwaaminisha eti wagome kabisa, lakini baadaye wazee walipoambiwa ukweli na kichapo wakatulia. Kwa ujumla BT siyo mbaya kiasi ambacho watu wanamsema ni mzalendo sana na mwenye hekima na upendo. Sema yupo rather fair kidogo. Mi binafsi nampenda sana na style yake ya uongozi. He is a good leader, tumuombee afya njema.
 
Kuhusu upigaji ujilimbikiaji mali pia unapingana na wanazengwe? Anaonewa? Ni story za vijiwe vya kahawa?
 
Kuhusu upigaji ujilimbikiaji mali pia unapingana na wanazengwe? Anaonewa? Ni story za vijiwe vya kahawa?
Napingana ndiyo, BT hana hiyo tabia kabisa. Kama angekuwa na hiyo tabia basi BT junior angekuwa na ukwasi balaa. Sema ana marafiki wabaya ambao wana mg’onga mara zote, wanatumia jina lake kufanya uchafu ambao mwisho wa siku anakuja kustuka wameshafanya na yeye wameshamlambisha kidogo na anaona ni washikaji tayari anaishia kuwasemehe na hivyo wanamjua wanatafuta tena angle. BT ni muadilifu sana ila alipaswa kuongoza kwenye katiba imara ndiyo angetufaa sana.
 
It's funny unasema tusiamini media na unaamini maandiko ya JF ambayo ni media pia ikiwemo hii story.

My point is watu hawapendi facts wanapenda udaku. Ndio maana ni ngumu kukuta mtu ame subscribe page ya world Bank au IMF ila akisikia akaunti ya udaku inasema tunapewa mkopo wa IMF kwa masharti ya kukubali ushoga mtu anaamini!!.

So ni vizuri tuwe na balanced information, ujue taarifa rasmi kwanza ila tukitegemea umbea ndio kunakua na mis information. Kama tu story ya Hakimi it was all fake but ona ilivyosambaa Mitandaoni mpaka humu JF.

Tukatae misinformation na disinformation
We mjinga tu huna lolote
 
Napingana ndiyo, BT hana hiyo tabia kabisa. Kama angekuwa na hiyo tabia basi BT junior angekuwa na ukwasi balaa. Sema ana marafiki wabaya ambao wana mg’onga mara zote, wanatumia jina lake kufanya uchafu ambao mwisho wa siku anakuja kustuka wameshafanya na yeye wameshamlambisha kidogo na anaona ni washikaji tayari anaishia kuwasemehe na hivyo wanamjua wanatafuta tena angle. BT ni muadilifu sana ila alipaswa kuongoza kwenye katiba imara ndiyo angetufaa sana.
Utakuwa mshikaji wake.
 
Napingana ndiyo, BT hana hiyo tabia kabisa. Kama angekuwa na hiyo tabia basi BT junior angekuwa na ukwasi balaa.
George Bush alikuja wakati wa utawala wake, unafikiri alikuja kwa kuwa anawapenda watanzania?

Nakushauri utafute kitabu chenye title "Deadly deceits".

Kimeandikwa na Ralph W Mcgehee. Huyu mwandishi kafanya kazi CIA miaka 25.
 
Lets seee. Japo siamini sana. Huyu bana amekumbana na hiyo changamoto ya kiafya tu. Its just a coincedence. Ila kamaaa ni kuna hilo basi trust me, majibu kwa vitendo mutayaona
Hafu Kuna mahali nilisoma kuhusu huyu dodo eti alikuwa sehemu ya kujirusha na mlimbwende aliyetumwa na ndio alimpeleka hospital, in short mambo ni mengi mno
 
Ndio wanaondoshana haya mambo ya power struggle itakula vichwa vya wengi mno, kachero kaondoka kimasihara, pia wawe makini sio ku underestimate vitu loh.
Trust me, this is a natural death. None could ever wanna play with fire.
Halaf dodo na bt are very good friends. Hahusiki kbs. Niamini kwa hili. Very good. Na urafiki wao umeanza kitambo. Mashemeji hawa ujue? Tutasema ndege mjanka hunasa tunduni but who is prepares for the worst? Thubutuu... si kirahisi hivyo. Ni vile mengine twaogopa kuandika bana
 
Back
Top Bottom