Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Kama ni hivyo shumbulizi la akauta attack linaloweza kufanyika ima litaenda kwa Mkojani fc au Bush stars
Mimi siijui story vizuri, lakini majuzi niliota team ya tatu imeshinda na mhusika alikuwa na furaha sanaaaa....Kisha nikaona mwisho wa siku pamoja na vurugu mechi zooote Tanzania njema inaenda kuzaliwa...Sasa ukiniuliza story na ndoto zinahusianaje, wala sina jibu!
 
BT he is very Smart kwenye mission zake. Na mara nyingi huwa mtulivu kujibu mashambulizi kwa akili kubwa huku aki target mzizi wa timu husika.Ngoja tuone atajibu nini au ataendelea kuulizwa maswali magumu.
 
Sawa kiongozi, kingine kwani huko kwenye team yake anaulizwa maswali magumu sana?
 
RingaRinga hii team ya 4 ya DS kwani inajitegemea?
Siyo kwamba inazitumia baadhi ya team
Mimi siijui story vizuri, lakini majuzi niliota team ya tatu imeshinda na mhusika alikuwa na furaha sanaaaa....Kisha nikaona mwisho wa siku pamoja na vurugu mechi zooote Tanzania njema inaenda kuzaliwa...Sasa ukiniuliza story na ndoto zinahusianaje, wala sina jibu!
Ame timu ziko 4, hiyo unayosema itashinda ni ipi, Mkojoni fc, au Bush Stars?
 
Narudia tena this is a story haiusiani na chochote please [emoji16][emoji16][emoji16] tusome tu!! Nothing sereous!!
Ila unajua pia kuruka viunzi isee[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The MoNA wewe ni mwl wangu mzuri unanipa nuru fulani, mkuu hivi Team Edo bado ipo na kama ipo kwa sasa ipo upande upi? Upande wa BT, Bush Stars au Mkojani Fc?
Kingine vipi R Azizi yuko timu ipi?
Rost tamu nadhani yuko team BT maana timu Edo nadhani haina nguvu sana kwa sasa baada ya muasisi wake kuwa mgonjwa kwa muda mrefu maana ni kama team hizi zinajisahau sana zinakuwa na main character tu anapoondoka kundi linabaki kama halina mtu. Fikiria kwa mfano leo BT atoweke unadhani kuna mtu strong wa kusimamia hiyo gang, ni kama hayupo mpaka wajipange upya tena kumuweka wa kuiongoza.
 
Aaaaaa sawa mkuu Mnanguliti maana enzi za Team Edo hatari, ilikuwa na yule mkurugenzi mkuu mstaafu wa Tizi, Kingunge... Idd Zung, Husseni B, Emmanwela Chi.... "Tuna imani na Edo oya oya×2 Edo kweli, kweli, kweli....'

Yeah alikuwa anaitwa JZ yule tie mkubwa wa kipindi kile, hata hivyo timu White Haired ilishakuwa dhoofu sana japo bado ina mizizi ila kutoonekana kwa muda mrefu ring leader ni kama walisambaratika na kujiweka aidha kwa MG au SG au hata kwa the current CEO.

Sijajua yule jamaa wa kata fulani akipelekwa wapi up to now na huenda ni issue ya kugawa rasilimali za taifa kwa wale jamaa waliowahi kutufunga minyororo kipindi cha mababu zetu.
 
Karma shogaangu madamme kajitahidi sana[emoji28][emoji28][emoji2088][emoji2088][emoji2088] i love her shoes
FB_IMG_1687807728276.jpg
 
Mara nyingi watu design hii wanakuwa smart sana , bahati mbaya siasa zinawatoa kwenye reli.
I so much agree with u. Unajua hata hawa tunaowaona wajinga si kweli. Ni siasa tu za kiafrica. Ni kama mawakili wa serikali. Yes. Inawezekana kbs hawa wa upinzani wanawaoutshine wa serikali lkn si kwamba wa serikali ni wajinga kama wengi wafikiriavyo. Kibatala always says TO BE THE BEST BE THE OPPONENT. So huwa inawajenga zaidi. Ni vile serikalini wako flexible. Siasa zinatuharibia sana watu wetu jamani. Speaker is very smart. Watu wa calibre yake achana nao kbs. Wako naturally beauty. Ila kikavazi nina pesa ningetungua magauni kama 20 hv ama 30 ya uturuki basi. Apendeze zaidi ya hapa jamani
 
Nakubaliana nawe kuhusu Appearance and visualization ya mtu unatokana na makuzi, believe me malezi na makuzi yamekua na athari kubwa sana kwetu, kuna mahali ukifika hata iweje hauwezi kubadilika na kuwa na mtindo mpya unaolingana na makuzi yako.

By the way political ni ishu nyingine haswa kwetu ambapo bado umaskini unatusumbua, kweli kabisa huko serikalini kuna vichwa sana ila inabidi vitembee kwenye mdundo wa mamlaka ya uteuzi kwa sababu wanamtegemea mwenye mamlaka ya kuteua awape kula yao!

Hapo inabidi waiweke taaluma pembeni ili kunusuru hatima yao, lakini kama ingekuwa sivyo kama taifa tungekuwa mbali mno, tungekuwa mbali sana kama siasa isingekuwa kipao mbele kwa wana taama wetu.
 
Back
Top Bottom