Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Ni hivyo tu. Lakini kusema sijui ukanda wenye wapiga kura wengi sijui kimepoteza mvuto ni miluzi mingi tu kwenye kumpoteza mbwa.

She elected him for her own benefit. Kwan CEO anajua fika kugumu ni humo ndani ukipaweza baaasi huko nje ni kiwepesi tu unateleza.
Yeah na si umeona jana malyamungu kaanza na diblo mzee WA afro. Mmoja mmoja wanaonekana tishio wataguswa wakereke ili waachie ngazi wenyewe au waogope..... Bado upepo ndio kwanza unavuma. Wanaotafutwa soon wote utawajua
 
1. Vipi majukumu ya Malyamungu ni yapi?

3. Kwa mjibu wa nafasi yake mipaka yake kwenye kiti chake ni ipi?

4. Kumtaka diblo afute migogoro kimajukumu yuko sahihi?
5. Malyamungu na Diblo si ni kambi moja? Hawaoni kuwa Mkojani Morden Taarab inawadhoofidha nguvu SG kwa kuwatumia wao kwa wao?
Ee watu wameteka kifaru kisha kinatumika kuwashambulia wamiliki wa awali.

6. Kwa miaka 60+ zikiwa zimepita serikali 5 zimeshindwa kufuta migogoro ya ardhi, miezi 6 inatosha kuondolewa na PM?
 
Ni swala la kumeza mate na kuyakubali maumivu ya kujikwaa,, hebu tuvute kiti na funda la maji baridi kivulini tukisubir jua lizame au kuchomoza!
 
Ni usiku but ni tyme nzuri kufikisha ujumbe mzuri nlionao: dark days ni story ambayo ni imaginary tu..... Yaani inazungumzia imaginary company! It is Not a trueMstory [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] it's not real just fictional!

Nlitamani Sana kuiendeleza kwa kuweka last episodes kabla ya kuintroduce the new one but naona tuishie hapo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] since hata flow yake imepotea kutokana na beautiful comments za woote mlioifatilia🥱[emoji2960]

With this statement let's put an end to this story ...... Ingawa discussion zitaendelea but pleeeeeeeease without naming people🥱[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125]

Sema sasa............

Hivi mnajua new CEO kapata backup ya maaana that imempa confidence she can win this war????

Na je Hivi mnajua for the first time, born town side for a bit thought the were loosing the war???

kuna jambo laja ................... sema nini......... Ndugu wakigombana ...................

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Nawa love sanaaaaaaa: ACHA ..............IENDELEE

Tukutane December kunajambo letu[emoji102]

"Tukutane December kunajambo letu"
yoga December ya 2023 au 2024?
Jambo ambalo lipo ni kumtoa kiraja mkuu au?
 
Tukutane December kunajambo letu
emoji102.png
Kwa nini nilikuwa Nawaza Novemba!!!?

Kumbe ni December.
 
Three weeks to gooo!!!

Title: The last empress 19/03/2021

LET ............THE.........STORY........... BEGIN.........[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom