Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Watakujibu

Kifupi ni zamu.yao!

Na zamu wameipata kwa msemo uitwao mapenzi ya Mungu!!

Je kama mikopo yote ilikua wanaigawa nusu kwa nusu who knows!!?

Yote KHERI !ngoja tuone hatma!
Daaaah mikopo kungawa nusu kwa nusu?
Daaah ndiyo sheria za kuungana zinaelekeza hivyo kwa wenye kujua?
Inamaana tukipata mkopo wa shilingi trilioni moja, bilioni 500 zinaenda kisiwani?
Iko wapi fair ya huu muungano kwa upande wa nyikani?
Ka nchi kenyewe ni kama wilaya ya Magu na wakaazi wake ni kama milioni 2 na usheee nyikani wakaazi milioni 58 daaaaah
 
Broo Pascal Mayalla asante kwa jibu, mimi ni mtu wa kijinini huku Ikungulyabashashi, na shule sijaenda, 4.5% pato la taifa ni sawa na trilioni gapi kwa mwaka?
Haya sasa ni mambo ya numbers, sio mambo ya Ikungulyabashashi wala wapi!, kiwango halisi kiko kwenye bajeti, naweza kukupa estimates za 42 trillion nimeiround 40 trillion na hivyo 4.5% nimeround 5%
hivyo 40 x5 ÷100= 2 hivyo Zanzibar ni trillion 2!.
P
 
S

Naomba kuuliza kuhusu Kule kisiwani,

1. Hivi bajeti yao kwa mwaka ni kiasi gani?
2. Makusanyo yao kwa mwaka ni kiasi gani?
3. Mgao wao wa muungano kwa mwaka ni kiasi gani?
Maana yanayofanyika hivi sasa kisiwani unajiuliza hizi ni hela za makusanyo yao ya kodi, mgao wa muungano na mikopo kutoka kwa wahisani pekee au kuna hela nyingine wabara tunapigwa na Mkojani fc?
1. Barabara za ndani ndani mitaani asilimia kubwa za Unguja zimewekewa lami,
2. Barabara ya Mnazi mmoja hadi Airport imefumuliwa na kujengwa upya,
3. Barabara ya Mtoni - Darajabovu hadi airport nayo hivyo hivyo imefumuliwa na inajengwa upya.
4. Fryover Kwerekwe na Amaan,
5. Uwanja wa mpira wa Abeid Karume umepanuliwa ili uwe mkubwa na wa kufunika.
6. Soko la kwerekwe limepigwa chini linasimamishwa jingine,
7. Soko la Mombasa nalo hivyo hivyo jipya linajengwa.
8. Soko la chuini la kimataifa lenye supermarket na yard za magari linajengwa.
9. Soko la Jumbi la kimataifa litakalokuwa na kumbi za mikutano nalo hivyo hivyo linajengwa.
10 Mkwajuni nako soko jipya.
11. Bandari mpya ya boat za abiria kujengwa Kizimkazi.
12. Bandari mpya ya meli za mizigo inajengwa Mangapwani.
13. Chuo cha kimataifa maeneo ya Fuoni kunajengwa.
Bado huko Pemba na miradi mingine chungu zima inayoendelea kufanyika.
[emoji1621] Ni muda mfupi sana yaani huu ni mwaka tatu tangu jamaa akae madarakani haya yote yote anayoyafanya, wakati mambo haya yakikamilika hata Amaan Karume na Shein waliokaa miaka 10 madarakani hamfikii huyu kwa wingi wa miundombinu anayoifanya.
[emoji1621] Mkojani Fc aliwahi kujidai kusema kwa wateule wake pasipo kuwakemea wala kuchukua hatua za " kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake, mna kula sana na kuvimbewa"
Je amewaacha wateule wake wa bara wale wawezavyo ili yeye awe anachepusha hela zetu za bara kwenda kisiwani pasipo kuhojiwa na wateule kwa sababu na wao si wasafi?
[emoji1621] Kama si hivyo mdogo wake kisiwani anatoa wapi hela zote hizo za miradi mikubwa mikubwa hivyo?
Bara utasikia miradi inaenda slow slow lkn Kisiwani miradi inaenda kwa kasi ya 5G
Pascal Mayalla, TumainiEl
Mkuu una hoja ya kufikirisha,juzi wakati Jamaa anasheherekea kutimiza miaka mitatu madarakani;kuna Mwandishi sijui ni wa Mwananchi aliuliza kuwa jamaa anatoa wapi pesa za kuendesha miradi;jamaa akajibu kuwa eti kaimarisha mifumo ya makusanyo kwa kuhakikisha mapatao yalikuwa yamavuja zamani yanadhibitiwa na pia mikopo ya wahisani.Dah,bado haingii akilini arguments zake!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mgao wa Zanzibar ni 4.5% ya pato la taifa. Kwa muda mrefu sana wamekuwa hawapewi sasa wanapewa.
P
Lakini Kaka Pascal bado ata kama wanapewa mgao sasa,siyo rahisi kwa nchi yenye Uchumi mdogo kama Zanzibar kuendesha projects kubwakubwa kwa ukupuo kama vile!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu una hoja ya kufikirisha,juzi wakati Jamaa anasheherekea kutimiza miaka mitatu madarakani;kuna Mwandishi sijui ni wa Mwananchi aliuliza kuwa jamaa anatoa wapi pesa za kuendesha miradi;jamaa akajibu kuwa eti kaimarisha mifumo ya makusanyo kwa kuhakikisha mapatao yalikuwa yamavuja zamani yanadhibitiwa na pia mikopo ya wahisani.Dah,bado haingii akilini arguments zake!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kwamba watangulizi wake walikuwa vilaza hawakuweza kudhibiti mianya ya kupotea kwa mapato!? Au kwamba jamaa walikuwa wapigaji sana!?
 
Mkuu una hoja ya kufikirisha,juzi wakati Jamaa anasheherekea kutimiza miaka mitatu madarakani;kuna Mwandishi sijui ni wa Mwananchi aliuliza kuwa jamaa anatoa wapi pesa za kuendesha miradi;jamaa akajibu kuwa eti kaimarisha mifumo ya makusanyo kwa kuhakikisha mapatao yalikuwa yamavuja zamani yanadhibitiwa na pia mikopo ya wahisani.Dah,bado haingii akilini arguments zake!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Umeona?
Miradi anayofanya kwa kipindi hiki ni ya matrioni ya hela,
Makusanyo ya kodi Zanzibar hayafiki trilioni 2 kwa mwaka.
Tanzania bara kama bado wazalendo wapo kwenye system wafanye uchunguzi juu ya hili.
Inauma watu wa Zanzibar ni watu wasio na shukurani hata uwabembe vipi.
 
Lakini Kaka Pascal bado ata kama wanapewa mgao sasa,siyo rahisi kwa nchi yenye Uchumi mdogo kama Zanzibar kuendesha projects kubwakubwa kwa ukupuo kama vile!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Mkuu mwambie aende Zanzibar akafanye research ya mamiradi mikubwa mikubwa inayojengwa huko, halafu aoanishe, mapato ya Zanzibar, mgao wa mapato ya muungano, mikopo ya wahisani, sijui na hela za kubinafsisha visiwa vyao kama hela hizo zinaweza kujenga miradi mikubwa mikubwa kwa muda mfupi aliokaa madarakani.
 
Nguruvi3 anauliza wao wanachangia kiasi gani kwenye akaunti ya pamoja?
Zanzibar hawachangii hata senti tano katika uendeshaji wa muungano kwasababu ya serikali mbili, gharama zote za uendeshaji wa muungano zinabebwa na bara pekee kwasababu account ya pamoja is just established but not yet operational.

Hold on is this fair? Sio kwamba sisi ni Kama ng'ombe na wao ni kupe?
 
Hold on is this fair? Sio kwamba sisi ni Kama ng'ombe na wao ni kupe?
It's not fair ila wao hawana kosa, waliomba wapewe gharama za kuendesha muungano, imeshindikana kwasababu Wizara zote za muungano, pia ni Wizara za Bara, hivyo hakuna demarcation ni gharama zipi za muungano na zile za bara!.

Kwamba mchumi wetu wa daraja la kwanza ameshindwa kuwapa hesabu za gharama za Muungano na Tanzania bara? Tutahoji Sasa uhalali wa knowledge, skills, na competency yake kwenye masuala ya Uchumi!! Hizi hesabu hazitakiwi kumbabaisha.
 
Umeona?
Miradi anayofanya kwa kipindi hiki ni ya matrioni ya hela,
Makusanyo ya kodi Zanzibar hayafiki trilioni 2 kwa mwaka.
Tanzania bara kama bado wazalendo wapo kwenye system wafanye uchunguzi juu ya hili.
Inauma watu wa Zanzibar ni watu wasio na shukurani hata uwabembe vipi.
Hivi hakuna mwanaume mmoja anayeweza kusimama kama Maalim Seif na kusema " I see no need of Union" ?

Kwamba bara hatusikii maumivu ya kuwalea wale wajalaana mafirauni?

Ni kweli hatuna akili ya kujua tunaibiwa kuanzia umeme hadi BOT?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kwamba mchumi wetu wa daraja la kwanza ameshindwa kuwapa hesabu za gharama za Muungano na Tanzania bara? Tutahoji Sasa uhalali wa knowledge, skills, na competency yake kwenye masuala ya Uchumi!! Hizi hesabu hazitakiwi kumbabaisha.
Kiukweli ni ngumu sana, hebu chukulia polisi tuu au jeshi, angalia wanatumia kiasi gani Zanzibar, halafu ukokotoe wanatumia kiasi gani bara, then kile kiasi cha bara ni kiasi gani jeshi linatumia kwa ulinzi wa mipaka ya Tanzania bara tuu, hizo ni gharama za bara, uje kwenye kiasi gani kinatumika kulinda mipaka iliyoongezeka ya Zanzibar, inashindikana kwasababu hata bila muungano jeshi lingelinda mipaka ya Tanzania bara yote, hakuna namna ya kukokotoa gharama za ziada za ulinzi wa mipaka ya Zanzibar pekee!. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Wizara zote za muungano pia ni Wizara za bara, hakuna demarcation ya gharama za bara pekee na gharama za muungano!. Dawa ya hili ni serikali 3.
P
 
Kwahiyo Wana 4.5 + za kwao za pato lao la ndani la SMZ la uchumi wa buluu?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
hapana, 4 5% sio ya pato la ndani, ni shares ya Zanzibar katika pato la nje la mikopo na misaada yoyote ya JMT kutoka nje ila hazihusishi FDI. Tanzania ikikopa dola bilioni 100, dola Bilioni 4.5 zinapelekwa Zanzibar!.
P
 
Kiukweli ni ngumu sana, hebu chukulia polisi tuu au jeshi, angalia wanatumia kiasi gani Zanzibar, halafu ukokotoe wanatumia kiasi gani bara, then kile kiasi cha bara ni kiasi gani jeshi linatumia kwa ulinzi wa mipaka ya Tanzania bara tuu, hizo ni gharama za bara, uje kwenye kiasi gani kinatumika kulinda mipaka iliyoongezeka ya Zanzibar, inashindikana kwasababu hata bila muungano jeshi lingelinda mipaka ya Tanzania bara yote, hakuna namna ya kukokotoa gharama za ziada za ulinzi wa mipaka ya Zanzibar pekee!. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Wizara zote za muungano pia ni Wizara za bara, hakuna demarcation ya gharama za bara pekee na gharama za muungano!. Dawa ya hili ni serikali 3.
P
Why serikali tatu? How do we benefit with Zanzibar at all?

Binafsi ninafikiri ni bora tudai Tanganyika yetu.

Tishio la usalama lililokuwepo wakati wa ule halipo tena.

Tuwaache hao mbwa wajitegemee.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom