Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mkuu wewe!!

Sidhani kama nitakujibu!

Mawazo yangu ya kinadharia:-

Deep state imeanza kabla hata ya uhuru yaani enzi za ukoloni!

Wakati wanaachia nchi wakoloni waliiachia chini ya uongozi wa kanisa kubwa!huko ndipo chimbuko la ujasusi wote Duniani!

Why!!?kwasababu kanisa ndio mamlaka pekee ilioaminika kuandaa watawala kielimu na maadili ndipo tulipowapata kina Nyerere na co!

Maafisa was kwanza was idara nyeti walifunzwa vilivyo na seminary kielimu,na kupata mafunzo wa kijeshi ndani na nje ya nchi!kama kina Emilio mzena,kina Augustine mahiga,Benard membe na wengine wengi sana!!genesis ya deep state no hara kabla ya ukoloni Baada ya uhuru utaratibu uliendelea kuandaa vijana Hadi leo wanaandaliwa!

Tiss ni taasisi visible yenye ofisi zake ambazo zipo kuanzia st.peters na nyinginezo na hao wapo Kila sehem nchini!

Toss na Ds ni taasisi mbili tofauti DS sio visible kama Tiss lakini Kuna uwezekano member was toss akawa member was D's ndani ya Ross Kwa kujua au kutojua!!

Kiongozi was Ds ni insible yaani haonekani kabisa kiutendaji lakini D's inafanya kazi Hadi kimataifa ikishirikiana ki operation na Taasisi za nje kama CIA,NIC,M16,MOSSAD n.k!

Tumia akili kwenye Uzi was kitabu anasema "zibaki serikali mbili sio tatu kama mashirika ya kimataifa ya kijasusi yalivyo fanya utafiti!!

Tiss wao ni visible ambao kiongozi wao ni Rais,katibu mkuu kiongozi,Mkurugenzi was usalama wataifa na waziri was utumishi na operation zake zinaratibiwa chini ya office ya Rais lakini DS operation zake hata Rais hawezi kujua na anawajibika kwao Kwa kufuata maelekezo yao!!

D's Kwa Tanzania Boss wake no mashirika ya kijasusi ya marekani CIA,MOSAD,NIC,M16n.k!

D's Ina nguvu kuliko Tiss,coz operation za D's ni ujasusi wa kidola ambao haufuati amri ya Rais wa TZ,Bali Mashirika makunwa ya kijasusi ya kimataifa hasa Russia na USA na Uingereza!!

De Levi's na samurai Wana sema kila depertment ya D's Ina watu zaidi ya 200!

Nimeandika ninavoelewa!
Mkuu ahsante sana kwa elimu adimu tunayoipata
 
Mkuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Bwm inasemekana alikua ni member wa Ds, kosa lake lilikuwa ni nini hadi akatangulizwa?
Nadharia mbili au tatu;-

1.Mapenzi ya Mungu muda ulifika wa kuitwa kama ilivyo ada ya Kila mja!

2.Ni member wa wajenzi huru Muda wa kwenda kutumika ulimwengu wa pili ulifika hivyo akalipe fadhila ya kukaa kiti Cha juu,tetesi eti aliwahi kuwa mwenyekiti was hiyo taasisi!

Inasemekana Bado Hadi sasa ulimwengu was pili ndio unaamua kiti kikaliwe na nani,Huku tunapiga kura kuhalalisha maamuzi ya huko chini,trend inaonekana mambo yata change kuanzia hapo mbele ikiwa unabii was Dar kuangamia ukitimia ni rasmi kit kitakua chini ya Mamlaka ya juu sio ya chini tena!!

3.kwenye Ile sequence and series ya kama inavyoaminika kuhusu late CEO ilikua lazima Shina liondolewe ndio matawi ya yafate !yaani kipipa aende kwanza halafu Simba wa yuda afate ki protokali,late CEO angeenda halafu kipipa awepo aiseh Hali sijui ingekuaje!!

Pia yule jasusi was kihehe was Tosa maganga nae ilibidi aende coz angeshtukia mchongo au alikua kipenzi Kwa late CEO!!!

Nadhani ,uelewa huru huu!!
 
Shukurani mkuu, kipipa inaonyesha alikuwa na degree za kutosha za wajenzi huru, kwa hiyo Kipipa alikuwa mwenyekiti wao Tz, duuuuuuuh watu wana siri.

Maana niliwahi kusikia Sir Andy Chande ni boss wa wajenzi huru Afrika mashariki.

Ila Simba wa Yuda sijui kwa nini kile ki Dr alitokea kukiamini sana.
Nakumbuka niliwahi kuwaza siku za uhai wa Late CEO kwamba siku akiumwa, bora akatibiwe Israel au Urusi au China, huku Tz, Afrika na ulaya u mafia mwingi.
Vipi kuhusu TA na uzi wake ni kama aliaga hatarudi tena mpaka aliyokuwa ameyasema yatimie na kweli since then sijawahi kuona bandiko lake lolote tena lakini pia kuna huyu TE naye ni kama nyuzi zake zinashabihiana fulani na za TA je huenda hawa watu nao ni sehemu ya DS au wao ni whistle browers tu.
Mm naona kama vile operation hamna tena maana mwaka huu unaisha.
 
Tiss inawajibika Kwa Rais ndio maana viongozi wake wanateuliwa na Rais!

Deep state ni collaboration na mashirika ya kijasusi ya nje wengine wapo nje ya nchi kama diaspora s kumbe ni member was Ds na hata mkurugenzi wa Tiss hawajui na hata Rais anaweza asiwajue na hata wanapo report hawajui!!

Ipo hivyo!

Ds ni dubwana ambalo mzizi wake unaenda hadi kwenye mambo ya kiroho zaidi. Ds kuna ds ndani yake na ndani ya ds kuna ds, na kuendelea kwan lengo lao kuu ni kulindana kimaslahi ya kisiasa kiuchumi na kidini.

Kwa ishu ya raisi kuwajua, atawajua baadhi tu kwa sababu maalumu.

Atawajua labda ni mkuregenzi mahali, katibu mahali, kwa ufupi atawajua kwa vyeo vya uraiani. Ila deep inside kuwa hawa ni ds ngumu.
 
Nadharia mbili au tatu;-

1.Mapenzi ya Mungu muda ulifika wa kuitwa kama ilivyo ada ya Kila mja!

2.Ni member wa wajenzi huru Muda wa kwenda kutumika ulimwengu wa pili ulifika hivyo akalipe fadhila ya kukaa kiti Cha juu,tetesi eti aliwahi kuwa mwenyekiti was hiyo taasisi!

Inasemekana Bado Hadi sasa ulimwengu was pili ndio unaamua kiti kikaliwe na nani,Huku tunapiga kura kuhalalisha maamuzi ya huko chini,trend inaonekana mambo yata change kuanzia hapo mbele ikiwa unabii was Dar kuangamia ukitimia ni rasmi kit kitakua chini ya Mamlaka ya juu sio ya chini tena!!

3.kwenye Ile sequence and series ya kama inavyoaminika kuhusu late CEO ilikua lazima Shina liondolewe ndio matawi ya yafate !yaani kipipa aende kwanza halafu Simba wa yuda afate ki protokali,late CEO angeenda halafu kipipa awepo aiseh Hali sijui ingekuaje!!

Pia yule jasusi was kihehe was Tosa maganga nae ilibidi aende coz angeshtukia mchongo au alikua kipenzi Kwa late CEO!!!

Nadhani ,uelewa huru huu!!
Mkuu hapo namba mbili sidhani kama itatimia. Dar haiwezi kuangamia kwasababu moja tu,Dar ni lango la nchi. Dar inao watu wa rohoni ambao pia nao wana kibali,wana macho ya kuona vitu vya rohoni na kuvizuia.

Dar ikiangamia maana yake uchumi wa nchi utayumba. Nchi itatikisika.

Sipingi unabii. Lengo la unabii huwa ni kuwatayarisha watu wawe makini na kutubu.Watu wakitubu Mungu huwa anaghairisha yale mapigo ambayo alikuwa ayatoe.

Wakati watu wanatubu huwa hawaji hadharani bali kila mtu au kila aliyeandaliwa huwa anatimiza wajibu wake. Hata kama ni mmoja katika nchi huwa anasikilizwa ilimradi awe ni mwenye haki na amepata kibali machoni pake.

Kuna watu wao kazi yao ni kutoa tahadhari, halafu kuna watu wao ni kuchukua hatua juu ya hiyo tahadhari, na kuna watu ambao huwa wanazuia hilo jambo ambalo lingetokea. Na kila mmoja huwa anaongea kwa nafasi yake.

Ila tu mambo ni moto,kuna yanayopangwa lakini yanashindikana kupangika kwasababu wapo wanaoyazuia ambao hawaonekani wala kujulikana mpaka hapo itakapoamriwa.

Na pia huku hawa DS wapo na wanapeleka habari zote kwenye vikao vyao. Uzuri huwa hawapuuzii taarifa zozote zile zinazotolewa ambazo huwa zinahusiana na uhai wa Kampuni. Wanazifanyia kazi na kuzitafutia majibu yake.

Kwahiyo tuombe Uzima hadithi ifike mwisho na kwa amani.
 
Hebu mtafute Boniface victor na unabii wake was mwezi wa Tano mwakani!you tube unyakuo TV!amechapisha na vitabu vya kuangamia Dar mwezi was Tano mwakani!

Nataka nione hiyo kama muhuri wa hicho kiti kama kweli kimetwaliwa na universe huko alipo masihi!
 
Ahsante.Nitakitafuta ili nione. Ni kweli kiti kinaweza kutwaliwa lakini si kwa kuharibu mji. Kumbuka kisa cha Ninawi na nabii Yona.
 
Nadharia mbili au tatu;-

1.Mapenzi ya Mungu muda ulifika wa kuitwa kama ilivyo ada ya Kila mja!

2.Ni member wa wajenzi huru Muda wa kwenda kutumika ulimwengu wa pili ulifika hivyo akalipe fadhila ya kukaa kiti Cha juu,tetesi eti aliwahi kuwa mwenyekiti was hiyo taasisi!

Inasemekana Bado Hadi sasa ulimwengu was pili ndio unaamua kiti kikaliwe na nani,Huku tunapiga kura kuhalalisha maamuzi ya huko chini,trend inaonekana mambo yata change kuanzia hapo mbele ikiwa unabii was Dar kuangamia ukitimia ni rasmi kit kitakua chini ya Mamlaka ya juu sio ya chini tena!!

3.kwenye Ile sequence and series ya kama inavyoaminika kuhusu late CEO ilikua lazima Shina liondolewe ndio matawi ya yafate !yaani kipipa aende kwanza halafu Simba wa yuda afate ki protokali,late CEO angeenda halafu kipipa awepo aiseh Hali sijui ingekuaje!!

Pia yule jasusi was kihehe was Tosa maganga nae ilibidi aende coz angeshtukia mchongo au alikua kipenzi Kwa late CEO!!!

Nadhani ,uelewa huru huu!!
Mkuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
"unaposema kwamba ulimwengu wa pili unaamua nani kiti akalie"
Huu ulimwengu wa pili unamanisha Ds au au ule wa kiroho? Kama ni wa kiroho wa upande upi wa nuru au wa Lucifer?
 
Ds ni dubwana ambalo mzizi wake unaenda hadi kwenye mambo ya kiroho zaidi. Ds kuna ds ndani yake na ndani ya ds kuna ds, na kuendelea kwan lengo lao kuu ni kulindana kimaslahi ya kisiasa kiuchumi na kidini.

Kwa ishu ya raisi kuwajua, atawajua baadhi tu kwa sababu maalumu.

Atawajua labda ni mkuregenzi mahali, katibu mahali, kwa ufupi atawajua kwa vyeo vya uraiani. Ila deep inside kuwa hawa ni ds ngumu.
Kiongozi The MoNA kwenye hii Ds ndani ya Ds layer ipi yenye nguvu kushinda layer nyingine?
 
Mkuu NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
"unaposema kwamba ulimwengu wa pili unaamua nani kiti akalie"
Huu ulimwengu wa pili unamanisha Ds au au ule wa kiroho? Kama ni wa kiroho wa upande upi wa nuru au wa Lucifer?
Kuzimu ni sehem ya D's mkuu ndio ulimwengu wa pili lucifer!wajenzi huru!
 
Ni seme ukweli sijaona.
Kipengele hicho kipo, alienda kwa kijana wake kwa ajili ya kukutana na mwekezaji kutoka Afrika magharibi, akiwa kwa kijana wake alipewa coffee kumbe ile coffee iliwekewa kitu na mtoa huduma wa pale ambaye ni undercover wa old CEO,

Alipoondoka baada ya siku kadhaa akawa hajisikii vizuri, alimpigia simu kijana wake kwamba kwa nini tangu aondoke pale hajisikii vizuri?

Kijana wake alikuwa anapaamini sana hakuwa na mashaka na pale,
Alimpeleka hospital, Dr aliyemhudumia kumbe naye ni undercover wa BT kilichotokea anajua yoga
 
Area51 Kule america ikiwa na aliens inasemekana ndio DS Yao,kwasasa ni karibu nchi zote Duniani zina hiyo DS ya upande was pili!ni hapa kwetu TU ndio zipo dalili Fulani za kuwa na DS ya juu ya universe alipo masihi!ndipo patakua kimbilio la mataifa yote Duniani ambao hawatotaka kuwa chini ya utawala was mnyama joka Lucifer!

Kibiblia Nchi ya ziwa nyanza ni Hii ambayo itakua kimbilio la mataifa yote!!
Duuuuuuuh, mambo mazito sana haya.

Vipi mkuu kuna mataifa yenye Ds ambayo ipo ulimwengu wa pili wa Nuru au Ds zote duniani zipo chini ya wajenzi huru?
 
Area51 Kule america ikiwa na aliens inasemekana ndio DS Yao,kwasasa ni karibu nchi zote Duniani zina hiyo DS ya upande was pili!ni hapa kwetu TU ndio zipo dalili Fulani za kuwa na DS ya juu ya universe alipo masihi!ndipo patakua kimbilio la mataifa yote Duniani ambao hawatotaka kuwa chini ya utawala was mnyama joka Lucifer!

Kibiblia Nchi ya ziwa nyanza ni Hii ambayo itakua kimbilio la mataifa yote!
Sawa mkuu shukurani sana
 
Back
Top Bottom