Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahisi walikula sio!!?Umenikumbusha wale majasusi 12 walioenda kuichunguza kanani 🤣
Biblia inasema hao majasusi waliingia kwa kahaba kama wateja japo hawakumkula ila walipewa hifadhi wakapiga kazi ya kijasusi pasipo mashaka 😁
Sina hisia hizo mkuu 😂Unahisi walikula sio!!?
Mzee wa dokezo sijui alikuwa anapokea maelekezo ya yupi kati ya Ds au BtKwa mantiki hiyo mzee wa dokezo alitukosea sana,na kwa kawaida shukrani ya punda ni mateke.Omba Mungu teke lake lisikukute aneo hatarishi,vinginevyo atakupeleka paradiso wakati hafai hata kuchinjwa ili waombolezaji wapate kitoweleo.
TA anasema DS wapo trained enough kutomwingilia kiongozi kikatiba,hata kuvunja katiba!ilikua ni lazima aapishwe kikatiba apewe maelekezo nini afanye pia!!Mzee wa dokezo sijui alikuwa anapokea maelekezo ya yupi kati ya Ds au Bt
Jibu swali mtumishiNdo nasema Kwa watumishi tulio na Roho mtakatifu,Roho wa Yesu,tuna uwezo wa kuuliza tukajibiwa au kuomba uthibitisho wa unabii.
Hivyo, uliza Kisha njoo na majibu sahihi.
Bt kusema hudhani ilhali Kuna watu wanaoishi mji huo na hawajui wafanye nini,bila wewe kupata uhakika utakaowasaidia hiyo Si sawa kumwambia hudhani.
Sawa mkuu.TA anasema DS wapo trained enough kutomwingilia kiongozi kikatiba,hata kuvunja katiba!ilikua ni lazima aapishwe kikatiba apewe maelekezo nini afanye pia!!
Maembe alienda mei uzi was usaliti was jenerali was marekani ukatoka Juni kama sio july!Sawa mkuu.
Na huyu TA saa nyingine huwa nawaza huenda ni BT au alikuwa ni Maembe?
Labda alidhani analinda kitabu.Mzee wa dokezo sijui alikuwa anapokea maelekezo ya yupi kati ya Ds au Bt
Umewaza kama mimi mkuu hata mimi ninonavyo Bt hana uwezo na akili kubwa ya kuandika madini kama ya TA yeye ni mtaalam tu wa mikakati na hasa kuifadhili ifanywe na vijana mahiliMaembe alienda mei uzi was usaliti was jenerali was marekani ukatoka Juni kama sio july!
BT Kwa muonekano na haiba take hawezi andika vile!
Akili kubwa inayoweza labda mkuchika kwa utulivu wake!au kijana wake was karibu halafu yeye akawa Boss!
[emoji135]Kosa la dead CEO ni kukubali kupewa msaidizi na Old CEO yaani hapo ni kama alijibanika kwenye wavu kusubili kubanikwa.
Lakini pia yeye binafsi aliwahi kutamka hadharani akielezea SABABU za kumteua Maza na kumuacha Hussein Mwinyi ambaye kwa kauli yake alisema ndyo lilikuwa pendekezo lakeMi nadhani JPM kukubali Maza awe msaidizi wake halikuwa kosa. Kumbuka hata huo u CEO kaupata kimazabe so haikuwa rahisi namna hiyo kumkataa yeyote ambaye ungeletewa maadam wewe ushajijua ni NAMBA MOJA AJAYE NCHINI hahaha so yeyote tu aliyepata kitu kwa bahati hawezi kufikiria huyu atakuwa threat sana kwangu.
Mi nadhani kosa lilifanywa na system kutomlinda ipasavyo au kuzidiwa ujanja na wapinzani wao au DS kubariki execution yake maana nakumbuka pia TA alishawahi kuandika before juu ya to be excuted!!
Aaaaa sawa, vipi labda yule aliyelishwa sumu kipindi kile cha Late CEO?Maembe alienda mei uzi was usaliti was jenerali was marekani ukatoka Juni kama sio july!
BT Kwa muonekano na haiba take hawezi andika vile!
Akili kubwa inayoweza labda mkuchika kwa utulivu wake!au kijana wake was karibu halafu yeye akawa Boss!
Mimi pia huwa nawaza hivyo, alifanya kosa mara ya kwanza 2015, halafu akarudia tena 2020 kosa hilo hilo wakati awamu ya pili alikuwa ana uwezo wa kuamua kupendekeza yoyote,[emoji135]
Duuuuuh, kwa hivi sasa huko aliko sijui anaona fahari kufanya vile au anaumia moyoni.Labda alidhani analinda kitabu.