Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Nimesoma riwaya Hii mpaka kipande kile cha mwisho kabla ya hik cha Leo na nikapata kuelewa harakati zote za Mr born town na mipango yake na jins anavyoindesha hii kampuni lakin sikufurahishwa na mipango yake yote nikasema vyovyote itakavyokuwa ni sawa kama jamaa wameamua wamtangulize basi hakuna shida .Lakin niloposoma kipande hiki cha Leo na kuonekana PAkA naye anaharakati za kumtanguliza Mr B town nikapatwa na hasira japo ni riwaya hii.Hvi huyu PAKA akifanikisha hii mission sasa hii kampuni itkuwa kama yake maana hakutkuwa na mtu wa kumdhibiti kwa hapo mbele au nyie wadau mnaonaje na je hakuna harakat zozote za kumtanguliza huyu jamaa?
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila KAMPUNI duniani lazima iwe na watu wao kuleta taarifa, KAZI Yao ni taarifa tu, taarifa hizo ni kusaidia wakati wa vita nk.

Nchi hii Iko mbali zaidi ya hapo, inahusika Hadi kuweka ma CEO ktk KAMPUNI nyingi tu Afrika.

Huyo paka ni Mwizi tu, pale Kwa m7 na cngo wanaenda kuiba Kwa kupata msaada wa KAMPUNI za nje na kugawana nao na kubadilishana technology.

Matendo wafanyayo yanajulikana na hayajavuka limits za kiusalama kuwa threat Kwa KAMPUNI yetu.

Hujawahi kujiuliza kwann KAMPUNI yetu inaweka CEO KAMPUNI ingine na haijihusishi kuiba raslimali za huko kama PAKA afanyavyo na kuleta hapa kutatua matatizo ya umaskini wa watu wa kwetu?

Nchi hii ni Police wa Africa nzima kuhakikisha amani inatawala. Kuna muda huyo PAKA alivuka limits pale cngo, anapewa silaha nzito bt alipigwa kama mtoto wanaume waliingia Hadi chumbani kwake na akapewa onyo.

Paka ni mtoto mdogo sana kwetu tukiamua hata kesho tunaweka mtu wetu, Afrika nzima Kwa masuala ya ulinzi na USALAMA yanaanzia na kuthibitishwa hapa.

Nchi hii tuna UPENDO Kwa wengine hatuna TAMAA na ndio chanzo Cha AMANI uionayo. Niamini Nchi hii ni zaidi ya uijuavyo. Mungu wa Mbinguni anapaangalia hapa ndomana viongozi wafanyapo mabaya tunasema tu na mabadiliko yanafanyika Si kama pengine Hadi maandamano na kumwaga Damu.
Mh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.............

Let me introduce to you our new CEO, huyu ni moja wa watu waliohudumu in the company kwa muda mrefu sana!! Aliyemleta kwenye kampuni hii ni mr born town mwenyewe!! Huyu alimtoa pasipo "julikana" na kumuweka kwenye ramani!

Alimtumia kwenye vitengo tofauti tofauti ndani ya kampuni kwa kipindi chake chote cha uongozi!!

Kitu pekee wengi hawakujua, nikuwa huyu CEO under the wing of the old CEO ametumika sana kama agent na informal kwenye zile department zote alizokuwa kapangiwa!!

Alikuwa sent kwenye maeneo hayo simply kuobserve changamoto zilizopo na kusuggest njia za kusolve changamoto zile! So ni mwanafunzi na mhitimu smart aliye aminika sana na the old CEO!

Network yote aliyoijenga mr old CEO huko nyuma ndani ya kampuni, huyu CEO wa sasa anaijua vizuri since yeye mwenyewe alishiriki katika kuijenga!!

She knew the strenght and wekness of the old CEO and she respected how smart he is! Hata yeye kuwa assistant wa the late CEO haikuwa bahati mbaya! The old CEO, alicheza karatazake very smart in a way the late CEO alijikuta anamteua kuwa kama assistant wake!


So anamjua na kumuheshimu sana mr mind on how smart he is! Aliyaelewa VIZURI sana majukumu yake yote toka mwanzo alipoteuliwa kuwa assistant CEO! Alijua kuifanya kazi kama assistant! She never outshine the master! She was a good informer!


Akiwa pale mezani anasoma zile notification, kumbe kuna some members kwenye lile group la "deep company observers" wamechoka na uongozi wa the old CEO!

Why wamechoka? Simply Becouse the old CEO nikama anawatumia tu. investment nyingi ni mali ya familia yaani watoto wake na mkewe !! Wao wanakuwa kama nembo tu! So they want freedom, they want also to be recognised nakupewa heshima kama ambavyo watoto wake wanakuwa recognized na kupewa heshima!!

One of the notification ilitoka kwa mmoja wa hao members!

Just imagin...., haya yote yanaendelea the late CEO hajazikwa! The notification ilikuwa ni kum allet new CEO kuwa one of the members wants to meet her! Na briefly ilieleza areson why! He provided his secret Phone number when she is ready she can call that number!

New CEO Saw that as an opportunity to what she was thinking! So mazishi yakafanyika, the late CEO kazikwa baada ya almost three weeks since he died!

The old team of the late CEO wallikuwa na hasira kali sana moyoni wengi walihisi kilicho kuwa kimetokea lakini walikuwa hawana proof! So they were in hunt for the truth secretly!! And their target is Mr Born town!!

Its like baada ya mazishi na the new CEO kutake position as a CEO the old CEO was much concetrated with securing his projects That were taken by the late CEO

The new CEO Akaanza kufanya mabadiliko in the company according to the old CEO proposal, hii ilimfanya mr born town kuwa happy tena but very carefull! Tenguzi na teuzi zikaanza kuonekana,

wale wa kuu wa idara icons waliosifika sana wakati wa the late CEO wakapigwa chini, meetings na taarifa zikawa zinapokelewa! Under the monitoring of the old CEO!

After two monthes since in power, the new CEO Alianza safari za outside the country in the name of "rebranding the company name" and "calling out for investors"!

This was one of the smartest idea she came with! Why sababu hapa nchini conection za bwana mkubwa zilikuwa hazikwepeki!

Anawatu wake kila kona! Huwezi fanya kitu asijue he is well organized in information collection!!

Lakini kwa nje ya nchi hakuwa na nguvu na connections kubwa kama nyumbani! So the new CEO saw that opportunity, yaani Kulikuwa na kauhuru flani hivi akiwa nje kuliko anapokuwa ndani ya nchi!! So alianza kuplan outside trips ili aweze kupata oportunity ya kujiorganise well for what is comming!


Wafanyakazi wa ndani ya kampuni walipinga sna safari hiz nakuona hazina manufaa, nakuona zitaipelekea kampuni kupata hasara!! kumbe deep down they didnt know what was goin on!!


So trip yake ya pili ya nje ya nchi, alimnotfy kijana wake wakutane huko nje apate updates za kile alicho mwambia afanye!!

kabla ya kuondoka alipokea maelekezo kuhusu branch manager mmoja wakampuni aliyeaminiwa sana na the old CEO kuwa aliwa harass sana investors wa the old CEO kwenye Company branch! Members wanataka hawa held responsible for what he has done!

So maelekezo nikuwa anapaswa kutenguliwa haraka as a branch manager, na kampuni imshtaki kwa matumizi mabaya ya madaraka! Kwa kuisababishia kampuni hasara ya bilions of money! She called the head security and told him to deal with the matter!!

Baada ya maelekezo hayo CEO kachukua flight up to DUBAI, kijana alishatangulia kuhakikisha their meeting is safe and succesfull


Huku nyumbani mr old CEO hakuwa na time ya kufollow up trips za new CEO aliamua kujikita zaid kurudisha investment zake, nakushughulikia all the people who did him dirty during the late CEO!

At the same time the late CEO gang wakiwa na huzuni, hasira na chuki walikula kiapo iwe jua iwe mvua one day watalipiza kisasi, na kwakuwa washamju wanaye pambana naye ni the god father himself mr old CEO waliitaji kuwa smart and carefully!

[emoji23][emoji23]


[emoji117]Haya haya new CEO target wake amekuwa the old CEO, mtu ambae amemfanya awe hapo alipo, mipango inafanyikia nje ya nchi atamuweza?....

[emoji117]Kundi la the late CEO nawao hawako nyuma, target wao ni the old CEO[emoji23] mipango inasukiwa ndani ya nchi watamuweza????

Je MR OLD CEO Atahimili mishale toka nje na dani ya nchi inayokuja??? .....

Je hilo kundi la wafanya biashara linalo lalamika ni akina nanani??


Wanasema umoja ni nguvu utengano ni dhaifu!! [emoji108][emoji108][emoji108][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1739][emoji1739]

----
Muendelezo soma Dark days 17/03/20...
😄😄😄 Kumbe kuna mengi sana hatuyajui katika hii nchi
 
Naam...
Umesema kwa kiasi flani... unajua hii simulizi ya Yoga haipo direct kuna mambo anayajua anayakwepesha au hayajui kabisa..
Kampuni yetu moja ya majukumu makubwa ni usalama wetu..
Kuna usalama huu wa kawaida tunauona kila siku ..
Kuna usalama wa mipaka na kijeshi..
Pia kuna usalama wa ndani ambao hatuujui..

USALAMA WA NDANI
Usalama huu kwa kampuni yetu wengi hatuujui...
Kiongozi wa kampuni anapochaguliwa hupewa info za hapa na pale na baadhi ya majukumu ya siri sana wanayofanya humo ndani...
Usalama huu pia humlinda Kiongozi wa Juu wa Kampuni pamoja na kumpa baadhi ya masharti katika uongozi wake..
Huko kwenye usalama kuna watu wa information na action to be taken basi.

Sasa kwa uongozi wa late CEO alichezea hii system ya usalama wa ndani pamoja na operations zake...
Late CEO alijaribu pia kuweka watu wa PAKA humo ndani na hilo lilileta balaa sana mpaka LEO HII wanajaribu kuclear ..

PAKA aliweka system flani ya kulinda late CEO pamoja na mambo mengine ya siri za kampuni...

Kilichotokea March 2021 mpaka leo PAKA na watu wake hawaamini kilichotokea na hawajui late CEO alichomokaje kwenye huu mzunguko wa sayari ya tatu kutoka juani... Kwa ulinzi waliokuwa wanampa

Baadhi ya watu wa PAKA wapo sehemu salama.. Just tuu kuhakikisha wanajua nini na hawajui nini.. Na extent ya info walizotuma kwa PAKA..
Lengo ni kuhakikisha kampuni inabaki salama.. Kwa kiasi flani..
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua binafs nlikua simuamin sana born town,lkn kuna kipindi nlifuatilia history kidogo nlimuona born town akiwa anampokea kwenye ziara za our late muanzilishi wa kampuni yetu,kipindi hiko born town alikua nadhan na umr wa 30 au below hapo,sasa kama mtu yupo kwenye system kuanzia miaka ya mwenye kampun mpaka kipindi hiki inapaswa tujue anajua mbivu na mbichi anaijua nje ndani system yetu,so tumsimchukulie poa huyu mzee wa tabasam,
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yoga please njoo umalizie muendelezo wa hadithi hii

Isije nawe wakakulambisha asali ukaitelekeza hadithi yetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna vichekesho vya mizengwe
Mkwere kaibiwa simu stendi Dar akaamua kujiongeza auze karanga huku akijifanya bubu

Sasa na mimi niliwahi kumuona Mrundi kaja na staili hiyo hiyo ila yeye anatembea na fimbo huku anaomba hela madukani na haongei anatoa macho mpaka unaogopa na usipompa anakutishia kukupiga

Vijana wamachinga alikuwa anawavunjia bidhaa zao mpaka siku moja wakaandaa fimbo wote
Kilichofuata aliongea kikwao kwa sauti
[emoji1360]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss wamemchukua kijana as we thought

Okey so it realy KP?

yes!! Its him indeed!! Tume scan na laptop, Hii software waliyoweka humu kwenye hii laptop ndio ile ile!

Mnaweza kutrack kijana anaonekana kapelekwa wapi?

Yes! Hatuja switch on ile tracker maaana watamscan kuona kama ana anytracking device!

Good! Enedeleni kunijulisha kila hatua!

Sawa boss!!

This guy!!! He always admire my company!! This time tunakula sahani moja

Boss anachukua simu na kumpigia curent CEO, i need to talk to you nakuja hapo!! Then anakata simu!

Born town haraka sana na convoy yake wanaanza safari kuelekea makao makuu ya kampuni, baada ya saa mbili hivi anafanikiwa kufika mpaka makao makuu ya kampuni bila tabu maanaa pale nikama kwake


Anakwenda moja kwamoja kwa mwenyeji wake anaingia ofisini kwake nakukaa kumsubiri! Akiwa pale anaendelea kuzitizama picha za other CEO waliopita ikiwemo ya kwake zilivyo pangwa kwa mpangilio kuanzia CEO wa kwanza mpaka wa sasa! Macho yake yanapofika kwa late CEO, anasmile kidogo!! Anajisemea this guy........

Then five minutes curent CEO anaingia nakuketi!!

Shkamoo boss!!

Marhaba!! Naona ume update furniture last time nimekuja sio hizi!

Hahaha, Nikweli Mkuu! Mtu wa decoration alinishauri tuzibadili and i thought it was a good idea!!

Ohoo! Okey!!

Sawa, Karibu boss! Simu yako imenishtua!

Yes! Nimekuja tena this is the second time na kuja hapa un-ivated so samhani kwa hilo! Ntakwenda moja kwa moja kwenye hoja maaana najua una bizy schedule

Usjali hapa kwako mkuu!!

Hivi Ulipopitia mafile ya kampuni yetu baada ya kupewa hii ofisi, ulipata nafasi ya kupitia file la KP ?

Sorry? Who? (Ceo anashtuka na blood pesure inaanza kuwa juu)

Dont act like ujanielewa, umesha pata kujua what KP wanted from us and how nilimshughulikia?


Boss, hapana sijapitia chochote kinacho husu KP

Sasa nimefunga hii safari mwenyewe kuja kukujuza tu kuwa you need to task your people wakupe file la K.P there issues in there you need to know kabla yakuendelea na ujinga wako na mzee kuunda umoja wa kudeal na mimi!!

And by the way tell mzee namheshimu sana he is still my guy!! Mwambie i can smell an enemy as far as i can!! Na kama huna ilo file bas take this flash!

Born town anampa flash CEO yenye details about what KP did!

Then akiwa anatoka anamwambia, msalime sana KP mwambie this time niko free zaid as he thinks! CEO anaitazam ile flash akiwa anatetemeka

Then born town anarudi kidogo!!

Nilikua nataka kusahau, kule mbugani ile pesa imeshaingia tuna hitaji ilo eneo as soon as possible!! Na nnakukumbusha unapaswa kwenda kule ulikonichafua ukanisafishe tena kama tulivyo kubaliana last time nikiwa hapa I need my investors back, especially from USA! Anasmile kidogo as usual antoka

Current CEO alipo pata taarifa ya born town kuwa ana kuja, alimjulisha mzee then mzee akaplant audio divices kwenye ofisi ya CEO ready to listen to why born time alikuwa pale!

Baada yakusikia kilichosemwa pale evryone was in shock ....

Ceo alirudi haraka ndani and opened her laptop na kuweka ile flsh!!

Then a small folder with 26 GB kwenye flash inajidispaly usoni kwake!!

Ana oppen ile folder anakutana folder lenye title "Oparation +250 Bingo "

pdf files , picture na audio clip na video clip zenye title mbalibali ......


So what happen between KP and born town??



Hope tuta maliza two last epsode soon!!



Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakuwa sio mpendwa wao tena.
Ni mpendwa wa taifa zima
Uliponijibu wiki chache zilizopita sikukuelewa nilitaka kukuuliza swali tena lkn niliamua kukaa kimya,

Ila kwenye maelezo ya CDF kuhusu kupewa taarifa mkewe na mama yake late CEO kuhusu kifo,

hakika sasa nakubaliana na wewe kwa sehemu fulani kwamba "anakuwa si mpendwa wao tena ni mpendwa wa taifa zima"
Ingawa kwa huyu wakati wa kuumwa kwake na hata kifo alikuwa mpendwa wa kikundi kidogo.
 
Time came, new CEO akapokea ugeni wake kutoka DOHA, ndani ya ile presidetial suite kuna room nyingine ndogo, so kijana na CEO wakapata time ya kupeana updates!

Kijana alitumia miezi zaid ya mitatu kuandaa taarifa yake!! So akaanza kumbrief CEO akamwambia huyu mtu ni god father wa kampuni! Na hayuko peke yake!! external companies zote zilizo invest kwenye kampuni yetu niether ni za kwake au zinazomwamini sana mr born town!

kuanzia kwenye kampuni zetu zote ndogo ndogo zinazohusika na utalii, umeme, mafuta na ujenzi hawa watu ni share olders! Hakuna sehemu hawapo!! Branches manager wetu wote uliowarudisha kazini asilimia 70 ni watu wake!! Hivyo tumezingirwa na watchdogs wa mr born town hakuna kitu utafanya au kutena bila yeye au group lake lisijue!

Huyu mtu nguvu kubwa anaipata kwa investors wetu wa nje!! ni anaaminika sana!! Project yetu ya kampuni kuhusu ile bandari iliyokuwa crashed na the late CEO ambayo tunairudhisha ukweli nikwamba owners wa hiyo project ni most powerfull people in this world, na kuna mazingira ya mr born town kuwa among wanufaika

Akamwambia kuna mambo wanayoyafanya sasa hivi kurudisha gharama na hasara waliyopata kutokana na uongozi wa the late CEO!! unaona kampuni yetu ya umeme, sasa hivi tunauza sana jenerta badala ya solar sytems!! lakini pia kule kwenye vitalu vya uwindaji yule investor aliyetimuliwa na the late CEO, branch manager amesha ridhia arudi na awekeze! So juhudi za kuweka mazingira ya uwekezaji zinaendelea

Kijana akasisitiza hakuna mahala utagusa he is not there!! All Head of our security ni too loyal kwake, ispokuwa mmoja tu! Huyu analysis inaonyesha bado anamkubali sana late CEO!

Kampuni pinzani zoote unazoziona hapa nchini their Chairmans are his people! huyu tuliyekuwa na kesi naye juzi! Ambaye externa investors wametishia kustop investemnts kwenye kampuni yetu kama kampuni haita drop kesi, analysisi bado inafanyika kujiridhisha kama ni mtu wake au lah!!

Lengo la the late CEO kumshughulikia huyu mr new culture lilikuwa ni kuivunja kabisa kampuni yake baada ya kugundua kuwa ni hawa hawa investors wanaomsponser huyu mr born town ndio wanaomsponsa na yeye! Sasa why wanawasponser two people with different idiologis hapo ndio task force imejikita na soon tutapata majibu



Huyu mtu mr born town wealth yake ni more than 100 years! Most of his dirty money are kept in malaysia! so kupambana naye inabidi kuwa makini na smart sana!!

Akasema kuna kundi ambalo halimtaki tena mr born town kuwa kama kiongozi wao, wanataka changes na kinachoononekana hawa watu wamejipanga sana! Wako kwenye harakati za kumuweka mtu wao!! shida hili kundi ni la watu wa ndani tu sio wa nje! Nje bado anasupport kubwa sana!!


CEO alikuwa makini sana akimsikiliza kijana wake!! Hakushtuka sana sababu baadhi ya vitu anavijua sema hakuvijua indetail kama ambavyo kijana amemfafanulia!!

So CEO baada ya briefing iile akamwambia kijana kuwa her chances are very low to survive this guy!! Kulingana na alivyo jisimika! So options zake nizipi??

Kijana baada yakuulizwa hivyo akasema option zipo but ni very risk!! We have planned a mission, but what we have to do nikuwatembelea hawa external investors unnoticed, if they are getting a proffit of 20% in their investment in our company sisi tu waongezee up to 60% or more with a condition that mmoja mmoja wasaide wewe uwe chairman mpya!! Kwamba we need to atract them to be in our side!!

Lakini pia kuwahakikishia hakuna kuvunja au kukataa mradi wao wowote!! We offer them good interest they give us power!! Maana wako after money and not some one! Istoshe wewe ndio CEO sasa hivi!

Pili kwakuwa kila dipartment ina branch manager ambao ni too loyal kwa mr born town, hao hakuna kuwagusa all we need to do nikuwaacha tu, let them be free as long as we know them! hawa watu wananjaaa sana, tuwaache Wale kwa urefu wa kamba zao[emoji1787] na wakati huo moja baada ya mwingine tuwa convert secretly wawe upande wetu, wabishi tuta apply other ways [emoji1787][emoji1787]

And this is why na introduce kwako hii kitu inaitwa " checks and balances mission"

kijana akachukua red printed document akampatia akamwambia hii ina kila kitu! Take this with you! Read it carefull then TUPE GO aheard kila kitu kitakuwa Sawa!!

Baada ya ile meeting CEO alichukua ile document na kuitunza mwenyewe! Kisha wakaagana, akatoka kwenye kile chumba wakapiga picha na yule mwarabu from doha ionekane yeye ndie alikuwa anazungumza nae na sio yule kijana then CEO akaendelea na ratiba zake!!

Sasa what is "cheks and balance mission" hii ni mission planned na kijana wa the new CEO akiwa na wenzake watano!! Project hii ilikuwa na level tatu! Target wa mission ni mr born town! Lengo ni awe termineted airther friendly or hard way!!

Project hii imekuwa categorised kwa level tatu!

Level one ni Kuua makundi yoote na kuorganise kundi moja kubwa lenye nguvu nyuma ya new CEO. Ili ikamilike Level hii iliwekwa katika stage tatu!

Moja ni kuwashusha temper na hasira team late CEO, wanashushwaje temper na hasira??? nikuhakikisha miradi yoote ya the late CEO ndani ya kampuni ina kuwa implemented kama ilivyoanzishwa na the late CEO, hii itasaidia kuwarudisha kundini wawe na the new CEO karibu! [emoji41]

Lakini pia ni kuwaidentify wale wabishi wenye misimamo sanaaaaa kuwashughulikia nicely na sio in a harsh way, ila ikibid harsh way itumike!

Pili, miradi hiyo yote ya the late CEO waitwe wale outsider investors ambao ndio humpa kiburi mr born town waje wawe involved especially kwenye kuiendesha hiyo miradi itakapo kamilika With a very good interest kwao! Ilengo na wao wawe karib na huyu the new CEO

tatu,kuhakikisha wale resistant yaani lile kundi lisilo mkubali mr born town lipewe freedom na ulaji wa hali ya juu kwa kuinvesting in the company!!

Second level!

Hii ina stage mbili tu, Stage one is to ensure good publicity kwa new CEO, apendwe sana, yaani saaana! kwa kuhakikisha customers wa kampuni wanamkubali sana CEO!

Stage ya pili itawahusu all security agencies,hapa kijana aliwaza kutindua wote wenye mrengo hasi na CEO unoticed

Level ya tatu
Hii ndio yenyewe! Kama level one, two na three zikifanikiwa mr born town hana chake iwe nje na ndani so ni kumgoa kucha tu!

Wakati haya yakiendelea, mr born town homa ya jiji, nayeye alikuwa na yakwake kichwani!

Moja ya vitu alivyoviamini kutokana na uzoefu wake kwenye game ni kuwa ukiona mtu anafuata sana kila unalomwelekezatena bila kukosea ujue kunajambo analifanya na anajaribu kukuficha [emoji23][emoji23]

Baada ya tafakuri kwa kina Alichokifanya ni akampigia simu kijana wake mmoja, akamwambia huyu CEO nahisi kunakitu behind the scene kinaendelea! She is too good, yaani kila nnalotaka anafanya nothing is wrong! This isnt right!!

I have something in my mind nafikiri nikifanya itanipa jibu!! Nafkiri sasa Tutamuhitaji zadi mwenyekiti wa bodi!! Huyu ndio atakuwa karata yetu kujua what is goin on! Lakini pia akawaalet vijana wake pale makao makuu, kwamba heads up!! Wafuatilie whats goin he need updates!!

Kijana akamtafuta mwenyekiti wa bodi! Ikumbukwe mwenyekiti wa bodi alikuwa team late CEO, yeye ndio alimnyima kibali cha kutoka nje kijana msema sana baada ya kudugwa mirisasi, lakini pia, hata fidia yake alimnyima kabisaaa. kijana alipata majeraha kazini alistahili kulipwa!!

Kijana akaworganise timu yake wakamfuata Mwenyekiti wa bodi privetly, direct wakamwabia anachopaswa kufanya unless otherwise something worse would happen to him!

Chearman wa bodi kulingana na alivyotikiswa na wale vijana he had no choice but to implement the plan!! Akaanza kumpinga live CEO hadharani! one day akiwa kaalikwa kuwahutubia vinana wajasiliamali katika aliyo yaongea akatamka wazi kkuwa CEO anaendesha kampuni yao kwa sasa anaiendesha kwa kuchukua loans sana! Akasema kampuni yao itaweza kufilisika soon kama hatua zisipochukua haraka! Ikiwezekana atolewe!!

Hiyo kauli ya atolewe ndio ilimtoa CEO Mafichoni tena kwa hasira juu!! Hisia zilimwendesha badala ya critical analysisi ya kujiuliza kwanini huyu mtu ametamka haya sasa, na si hulo nyuma? Hiz guts na confidence za kusema haya amezitoa wapi?? badala yake CEO Alimnaga live chearman wa bodi na kudecler live kuwa yeye bado yupo yupo sana kwenye position hiyo!! Na akamtaka yeye mwenyekiti ndio atoke kwenye position hiyo!! Kimwonekano wake alimaanisha alichokuwa nakisema. Kumbe bwana, our CEO felt in Mr born town trap! [emoji1787][emoji1787][emoji1787] A Very Big mistake[emoji1787][emoji1787]

Unaruhusuje hisia kwenye jambo sereous hivi.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41]

mr born town baada ya hiyo reaction ya CEO akawa amejithibitishia kuwa CEO wa sasa atakuwa na kitu behind the scene anakifanya ili aweze kubaki madarakani!! Na hicho kitu kama hajashilikishwa so she is betraying him!!! Mr born town was very maaaaaaaaad askwambie mtu!!! Very Maaaad!!

Je kete za mr born town zitaanzia wapi ili kuila kingi kwenye draft?...........

Is the CEO able to bring late CEO team under her wing??

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mambo ni mengi muda ni mchache!!!
Vipi hali ya kampuni kwa sasa??
 
Tatizo la borntown hajali watanzania anajali maslah yake mfano utaona hali ya kuwaweka vijana wake kwenye kampuni ili maslahi yake kuendelea kulindwa.na pia mkuu wa kampuni wa sasa hivi kupokea maelekezo kutoka kwake kama tunataka kwenda mbele kama nchi Born town aondolewe hata duniani ila pia huyu pk asiruhusiwe kucheza na kampuni yetu.tukiendelea hivihivi kampuni kuwa ya watu wachache aisee kampuni haitaendelea watu wake wataendelea kuwa masikini Kwa sababu keki itaendelea kuliwa na watu wachache.tutaendelea kuwa kampuni masikini.lakini zuieni huyu pk asichezee kampuni yetu.pia kampuni ifike mahali iendeshwe Kwa model ya kiuchumi Kwa sababu Sasa kampuni inaendeshwa kisiasa zaidi.
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kwenye Kampuni nyingi Duniani kinaitwa... To Maintain Public Investment Security...
CEO wa Kampuni Mbalimbali huko mjuu hulinda hii kitu ili UKUSANYE KODI na KUMAINTAIN JOB SECURITY..
Born Town alijitahidi ndio maana angalau Govt na Private Institution ziliajiri...

Alipoingia The so called Late... Alijua Private Institution hazilipi kodi... Akazinyonya balaa... Nguvu ya kuajiri ikaisha....

Yeye alijua tuu... Kamua tuu.... Na baadhi ya watu.. Nenda Benki angalia ana salio lipi.... Kamuaaaa...

Mwisho wa siku... Kila Big Companies zikapunguza wafanyakazi... Pia Jobs zikawa shida.. Sanaaa...

Washikadau flani flani wakaondoka wakaenda njeeee kabisa... Maana wangefilisika....

Kuwa na M 500 Benki sio kosa kama unaweza kuonyesha umepataje.. Kwa kazi zipi kihalali...

...kuna watu wanaingiza 20 M kwa mwezi na kodi analipa.... Je hawezi kuwa na 500 M benki...? Basi hawa wengi waliumizwa... Huku mzilankende akijua anajenga kampuni.... Kumbe ndio anaua employment industry..

Anyway tumetoka mbali...
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom