Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Doable

But are we wired to have those coexist? Noting that current context isn’t prepared ?

Au tuweke drawings leo but start implementing it in 40 years?

Our whole culture needs to change… what we see now ni kutukuza na kuabudu easy life, we glorify the wrong people and our education system Iko watered down kabisa na events and not the up tight state

Who can break this system, to implement workable one regard our culture??

Anyone who tried to do so, they deal with him/her perpendicularly. Its long long long way, but i do believe its a process,
 
Mkuu kingine, je tatizo la hawa watu hadi maamuzi yawe hivyo ni nini hasa?

Je kuwa mrengo tofauti ni uhaini ndani ya Nyikani?

Kwa nini wasiwapeleke kwenye vyombo vya kisheria kama wana makosa?

Kama ni hatari kwa maslahi ya taifa si wafute usajili wa kampuni tu yao?

Si tatizo actually kama inavyowekwa ila ni kikwazo kwao, kwa nini ni ki vipi ni kikwazo???,

Yanayofanywa gizani wao wanayaleta NURUNI, na unajua yanayofanyika gizani huwa hayana heri na watu wa kampuni yoyote hii huwa ya wachache.

Kuwafutia ni ngumu kwa sababu za kimataifa zaidi, ndio maana late CEO aliwatafuta covid-19 kwa nguvu ili kukidhi mahitaji ya sheria.
 
Who can break this system, to implement workable one regard our culture??

Anyone who tried to do so, they deal with him/her perpendicularly. Its long long long way, but i do believe its a process,
Should be mama herself
 
Si tatizo actually kama inavyowekwa ila ni kikwazo kwao, kwa nini ni ki vipi ni kikwazo???,

Yanayofanywa gizani wao wanayaleta NURUNI, na unajua yanayofanyika gizani huwa hayana heri na watu wa kampuni yoyote hii huwa ya wachache.

Kuwafutia ni ngumu kwa sababu za kimataifa zaidi, ndio maana late CEO aliwatafuta covid-19 kwa nguvu ili kukidhi mahitaji ya sheria.
Wise man The MoNA 🙏🙏
1. yanayofanywa gizani mkuu ni yapi?

2. Wenye kufanya gizani ni akina nani mkuu?
3. Mkuu kwa nini Ds hawajataka kuwa na chama mbadala chenye sera tofauti ambacho kitakuwa kinapokeza madaraka na Green ili kuwe na kuwekana bench japo miaka 10 kinaingia kingine hata miaka 5 iwapo hawajafanya vizuri km ilivyo USA ingawa wao ni miaka 8 au 4, bila shaka ina faida kwa taifa,

Kuliko siku zote wako wao tuuuuu kwa gharama zozote zile, na hii hutengeneza hali ya kiburi, kutokujali wala kuwathamini wana wa kampuni walio wengi.
 
Wise man The MoNA [emoji120][emoji120]

Ni mengi sana yanayofanyika gizani huko,

Hivi unaamini chama kilichopo hakikutoka 2015 na 2020? Foul zilizochezwa hiyo miaka hapakuwa na refa neutral wa kuamua ni foul au lah.! Kwani wote wana maslahi na foul hiyo. Refa ameweka mkeka, wachezaji wameweka mkeka, unatarajia refa akatae foul yenye kumnufaisha yeye na wachezaji wa timu tawala ? Unalo jibu tayari.

Kuna mengi sana hufanyika huko ila nuruni panaonekana ni yafaayo japo kuna muda nuruni pia hawaoni kama yafaayo. Kidnappings and assassination ni baadhi yanayofanywa gizani, kuhama chama kwenda chama kikuu ni miongoni mwa ya gizani. Matukio yanapangwa kuhamisha mijadala mikubwa ya kampuni kama ya kitabu na DP, ni miongoni mwa yanayofanyika gizani”,.

Prof ASD alitenguliwa na kupewa barua ya kustaafu kwa hiyari, na kulipwa kila kitu akiwa na 58yrs, kinyume na utaratibu wa kitabu kwa cheo chake, alitolewa kwa nguvu kwani kuna mengi alikuwa anaambiwa ayapindishe ila hakutaka hata kidogo, wakamla kichwa. Tengua tengua za wakuu wa mabaraza na kitengo nyeti haya ni ya gizani” sio kwamba wameshindwa kazi kama wanuruni tunavyoaminishwa, ni wengi kutokuunga juhudi kwenye mambo nyeti.

Wenye kufanya ya gizani ni watu wa gizani, wenye maslahi binafsi na keki ya kampuni.
Ds ni ngumu kuuvunja kwa sababu itikadi imesambaa kwa wengi na huwezi ku sacrifice wengi kwa ajili ya wengi, ni lazima iwe mmoja kwa wengi au wachache kwa wengi.

Moja ya kitu kigumu ni kuvunja itikadi iliyokaa miaka mingi sana mioyoni mwa watu, sio rahisi na sio haiwezekani. Huu ni mchakato mrefu utachukua muda mrefu kuvunja mfumo uliopo na kuwekwa mwingine. Na ili kuweka mwingine lazima wanakampuniz wapoteza uhai wa kutosha ndipo mabadiliko yatokee.

Wenye akili wote mfumo huwatema, ukiwa mwenye akili zako timamu ukiingizwa kwenye mfumo sharti ufwate mfumo wao you like it or not. Na vichwa vigumu dawa ni kuwaondoa kwenye miili yao no better option.

Wengi wanaopotezwa ni watu ambao wanajaribu kuuvunja mfumo uliopo na wenye mfumo unaowanufaisha hawapo tayari kwa hilo. Miaka inavyozidi kwenda itikadi inazidi kusambaa ya kutaka kuuvunja mfumo, kwa kuthibitisha hilo, angali idadi ya wanaopotezwa, jaribu kuangalia wanaharakati wanavyozidi kuongezeka wa kuuvunja mfumo angalia chaguzi mbili za mwisho zilivyoenda utagundua
mfumo umeanza kuzidiwa pole pole.

Kuna gharama kubwa kufanya chaguzi za muda mfupi, kwa wenzetu wenye kujiweza ni rahisi kwao, tofauti na kwetu.

Mfumo kukaa muda mrefu au mfupi sio tija, kinachopaswa kuwepo ni mfumo wezeshi kwa wengi na zalishi kwa wengi.
 
Aiseee hatari sana.
Mm ninaamini hata 1995 kipipa hakushinda, 2000 na 2005, sijui ila 2010 bila shaka Padri alishinda na 2015 nakubali Manywele alishinda.
 
Mpo hapa?? Wa Zima nyie🥳🥳🥳🥳

Nimewamisss sana jamani😄🤣🤣

Mwenye swali namkaribisha leo, niulizie chochote, nataka kufunguka leo 🤣🤣🤣 bila codes kabisa, anyways vyovyote vile!!!

But usiniulize personal things, 🤣😀 I got time today............
 
Saa ngapi unaanza kushusha nondo
 
Mpo hapa?? Wa Zima nyie🥳🥳🥳🥳

Nimewamisss sana jamani😄🤣🤣

Mwenye swali namkaribisha leo, niulizie chochote, nataka kufunguka leo 🤣🤣🤣 bila codes kabisa, anyways vyovyote vile!!!

But usiniulize personal things, 🤣😀 I got time today............
Kwanini watu wanalaumu Mamlaka ya Urais wakati Mfumo ndo Unanguvu kuliko Mamlaka ya Urais?
 
Mpo hapa?? Wa Zima nyie🥳🥳🥳🥳

Nimewamisss sana jamani😄🤣🤣

Mwenye swali namkaribisha leo, niulizie chochote, nataka kufunguka leo 🤣🤣🤣 bila codes kabisa, anyways vyovyote vile!!!

But usiniulize personal things, 🤣😀 I got time today............
Kwa hali ilivyo unadhani vipi atatoboa?
 
Mpo hapa?? Wa Zima nyie🥳🥳🥳🥳

Nimewamisss sana jamani😄🤣🤣

Mwenye swali namkaribisha leo, niulizie chochote, nataka kufunguka leo 🤣🤣🤣 bila codes kabisa, anyways vyovyote vile!!!

But usiniulize personal things, 🤣😀 I got time today............
Sie Tupo na wazima kabisa kalibu uwanjani umwage nondo
 
niulizie chochote, nataka kufunguka leo
1) Huu utekaji nani ni mhusika mkuu??

2) Mama anahujumiwa??

3) Mama anakubalika na mfumo??

4) Born town vipi?? Amekaa sana kimya.Vipi ameelekea kibra??

5) Mtoto pendwa na wenzake wanarudishwa kwa nguvu, kuna kitu kizito kinaandaliwa??

6) Maandamano yana mkono wa nani??

7) Msiba mzito upo??

8) Mama leo kawagusa wenye dunia yao, atatoboa??

9) Ila safisha safisha ikulu ililenga nini??

10) Nani ajaye baada ya mama??

11) Tupe sababu ya kutokea leo jukwaani mara baada ya mama kuongea!

12) Unaonekana kama kuna kundi una maslahi nalo na unatumika kuchafua kundi lingine.Je, ni kweli??
 
Back
Top Bottom