Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

YOGA UMEPOTEA SANA,,,,KUNA JAMAA ANAPITA NA UZI WAKO HUKO MJINI X,NA WALA HATOI CREDIT. HEBU FANYA UVUNJE HATA ILE MIWANI YAKE,,,,ANAKULA ALFU TATU TATU ZA WADANGANYIKA BILA HURUMA KWA JASHO LAKO.
halagu lile bigi bwana. sema watu wamelipiga spana twita huko live wamemuambia umeiba content ya watu.ila hii ishu ya illan mask kulipa content creator watauana wabongo
 
Nadhani, kama it is a good idea, TISS ivunjwe:

Iundwe:

1) Tanzania Intelligence and Security Agency.

2) Tanzania Secret Service.

Zote mbili zihusike na mambo ya ndani pamoja na mambo ya nje.

Ila TSS inaweza kuwa maalumu zaidi kwenye eneo la ulinzi wa viongozi. Presidential Protection Unit, na VIP Protection Unit, zinakuwa ndani ya TSS.

Nadhani Takukuru ibadilishwe iitwe: Tanzania Bureau of Investigation, kwa kiswahili: Taasisi ya Uchunguzi (au Upelelezi). Kazi yake iwe kuzuia na kupambana na economic crimes (including corruption).

Kwingine kubaki kama kulivyo, Millitary Intelligence, Millitary Police, Police Intelligence, CID, FIU, DCEA, zote zibaki kama zilivyo.

Kuwe na 'polisi wa polisi' ndani ya jeshi la polisi. Ambao kazi yao itakuwa kusimamia nidhamu ya polisi wenzao, kama vile millitary police wanavyosimamia nidhamu ya wanajeshi wenzao.

Halafu kuwe na maximum security prison(s), ambapo watu waliokamatwa kwa mujibu wa sheria na kwa sababu za msingi kabisa (Using an improved Preventive Detention Act etc) na TISA au TSS, watakaa, hadi watakapo achiwa au kushtakiwa kwa mujibu wa sheria.

Watu hao pia wanaweza kutembelewa na ndugu zao au na wanasheria wao. Pia, haki za binadamu za watu hao ziheshimiwe.

Magereza yaboreshwe ili kupunguza msongamano wa wafungwa, na ili kuboresha haki za binadamu za wafungwa wote.
Good Point in Bad time
 
Back
Top Bottom