Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kipi kinakupa uhakika kuwa hawahusiani?Kule X kluna mjomba anahamisha hizi thread bila credit
Mama Rudi jamvini huku!Kuna post nimejibu hope utapata majib yako🙏
Ameshaimeza ndoano!!?Hiyo ndoano ukiimeza tu, 7/45 ni mbali sana.
halagu lile bigi bwana. sema watu wamelipiga spana twita huko live wamemuambia umeiba content ya watu.ila hii ishu ya illan mask kulipa content creator watauana wabongoYOGA UMEPOTEA SANA,,,,KUNA JAMAA ANAPITA NA UZI WAKO HUKO MJINI X,NA WALA HATOI CREDIT. HEBU FANYA UVUNJE HATA ILE MIWANI YAKE,,,,ANAKULA ALFU TATU TATU ZA WADANGANYIKA BILA HURUMA KWA JASHO LAKO.
Wengine huwa tunarudi tunachungulia.Dah niliondoka hapa 2022 !
Good Point in Bad timeNadhani, kama it is a good idea, TISS ivunjwe:
Iundwe:
1) Tanzania Intelligence and Security Agency.
2) Tanzania Secret Service.
Zote mbili zihusike na mambo ya ndani pamoja na mambo ya nje.
Ila TSS inaweza kuwa maalumu zaidi kwenye eneo la ulinzi wa viongozi. Presidential Protection Unit, na VIP Protection Unit, zinakuwa ndani ya TSS.
Nadhani Takukuru ibadilishwe iitwe: Tanzania Bureau of Investigation, kwa kiswahili: Taasisi ya Uchunguzi (au Upelelezi). Kazi yake iwe kuzuia na kupambana na economic crimes (including corruption).
Kwingine kubaki kama kulivyo, Millitary Intelligence, Millitary Police, Police Intelligence, CID, FIU, DCEA, zote zibaki kama zilivyo.
Kuwe na 'polisi wa polisi' ndani ya jeshi la polisi. Ambao kazi yao itakuwa kusimamia nidhamu ya polisi wenzao, kama vile millitary police wanavyosimamia nidhamu ya wanajeshi wenzao.
Halafu kuwe na maximum security prison(s), ambapo watu waliokamatwa kwa mujibu wa sheria na kwa sababu za msingi kabisa (Using an improved Preventive Detention Act etc) na TISA au TSS, watakaa, hadi watakapo achiwa au kushtakiwa kwa mujibu wa sheria.
Watu hao pia wanaweza kutembelewa na ndugu zao au na wanasheria wao. Pia, haki za binadamu za watu hao ziheshimiwe.
Magereza yaboreshwe ili kupunguza msongamano wa wafungwa, na ili kuboresha haki za binadamu za wafungwa wote.
I missed this opportunity!Mwenye swali namkaribisha leo, niulizie chochote, nataka kufunguka leo 🤣🤣🤣 bila codes kabisa, anyways vyovyote vile!!!
Itakuwa vurugu. Zishirikiane lakini zisifanye kazi moja (inayofanana).Zote mbili zihusike na mambo ya ndani pamoja na mambo ya nje.