Pre GE2025 Dark days are coming before the election of 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Moja kati ya maombi yangu kwa Mwenyeenzi Mungu ni kuniacha niendelea kuishi mpaka siku ccm inakuwa chama cha upinzani.. Yaani ni shuhudie kwa macho yangu na nisikie kwa masikio yangu.

Amen na itakuwa hivyo soon.
 
Nani msafi tumpe kiti? Wote ni walewale ndugu, sijaona msafi wa nia na matendo bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…