BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Na iwe hivyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alivyoshindwa Bunda bna yule BintiMzee wangu Wasira atalia sana mwaka huu
Kweli Binti alimshinda Bwana mzee wanguKama alivyoshindwa Bunda bna yule Binti
Nimeiona nimepita kimyakimya tu shoga…
SUbiri kwanza nichekeeee....hahahahahahhahaDark days are coming before the general election 2025.
Wanaocheka watalia 2025
Wanaolia watacheka 2025
Mwaka mbaya Sana kwa mafisadi
Mwaka mgumu Sana kwa machawa.
Mungu ibariki Tanzania !!
Umehesabu mpaka wanafunzi wa shule ya msingi na sec ambao wapo chini ya miaka 18-SAFETY FIRST, WORRYOUT -
CCM Ina wanachama 12.5 ml.
Sina shaka!
Nani anaye weza kusimamisha wabunge nchi zima?CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Hii ni idadi ndani ya data base yetu wana CCM, Hawa wote ni wanachama hai wa kimkakati, sio bendera fuata upepo, ogopa sana wanachama hai wa kimkakati, sasa bado kila mmoja amshawishi mtu mmoja tu kuipigia CCM, - HAYA MAMBO NI HESABU MKUU SIYO MAMBO YA BAHATI NASIBUUmehesabu mpaka wanafunzi wa shule ya msingi na sec ambao wapo chini ya miaka 18
Nyoooka mkuu!CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Yakitimia utakuwa lazima ni mpango wa MUNGU dhidi ya hawa miungu watu.CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.