Pre GE2025 Dark days are coming before the election of 2025

Pre GE2025 Dark days are coming before the election of 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kila mwaka huu ndio hua unakua utabiri lakini mambo ni yale yale tuu
 
Dark days are coming before the general election 2025.

Wanaocheka watalia 2025

Wanaolia watacheka 2025

Mwaka mbaya Sana kwa mafisadi

Mwaka mgumu Sana kwa machawa.

Mungu ibariki Tanzania !!
Dua la kuku halimpati mwewe
 
Karatasi jeupe la Siri 2025

Dark days before 2025

SSH hagombei

SSH hamalizi miaka 3

CCM kutachimbika

Yule ni Mzanzibar Hawezi Kugombea Bara

Chama kitamfia

🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣
Ujue sielewi, ujue nani changanya,
Hagombei kivipi wakati tayari Mwalimu wake kasha pitisha agombee Tanganyika na Mwinyi naye aendelee Zanzibar, halafu ww unasema hagombei kivipi?
Itakuwaje kuwaje?
 
Ujue sielewi, ujue nani changanya,
Hagombei kivipi wakati tayari Mwalimu wake kasha pitisha agombee Tanganyika na Mwinyi naye aendelee Zanzibar, halafu ww unasema hagombei kivipi?
Itakuwaje kuwaje?
Huwezi elewa maana una low IQ.

Hapa namkejeli mtoa mada ndio maana nimemcheka Kwa sababu hicho ameandika ndio ni muendelezo wa ramli tuu sawa na hizo nimeorodhesha hapo ambazo wenzake waliandika ila vyote wameangukia pua.
 
Dark days are coming before the general election 2025.

Wanaocheka watalia 2025

Wanaolia watacheka 2025

Mwaka mbaya Sana kwa mafisadi

Mwaka mgumu Sana kwa machawa.

Mungu ibariki Tanzania !!
Kuna kitu cha kuwa nacho makini sana ogopa mtu anayeonyesha hana tatizo wakt unajua kabisa kunatatizo jua huyonmtu ni mtu makini anasubiri wkt ufike tu na wakati wenyewe anakuacha mpaka uamini umemuweza kwa kila kitu sasa wakt unafuraha kama zote hapo ndio unakuwa wkt wake anakuletea jambo la kawaida unabaki unacheka na kumkubalia kumbe ndio anakumaliza hapo hapo inabaki historia
 
Back
Top Bottom