Dark web hamna lolote!! Nimeingia huko sijaona kinachoelezwa!

Okay hapo sawa hawa jamaa ni noma Sana,sasa mfano aliyeibiwa taarifa za card yupo Iceland atamdakaje anaye withdraw Hela Kwa ATM akiwa na kadi ya mchongo akiwa kigoma na pengine anaingia ATM akiwa kaficha sura?
Bank iliyotoa kadi wanaweza track ATM machine na location uliyotumia kuwithdraw pesa
 
Unatafuta jela,..yaani ufanye biashara Darkweb Hela uweke kwenye account yako??mkuu, jifunze zaidi kuhusu darkweb,utapewa kesi mbaya ,mauaji,madawa, human trafficking,unaweza kudhani utani,ila jichanganye..
Kawaza pesa za kula bata wavuvi ๐Ÿ˜น
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hao watoto ndio wamenihuzunisha.
Dunia ni ya hovyo sana ๐Ÿ™
 
Wakuu ukisikiliza stori za dark web mtandano na mitaani unaweza pagawa.

Lakin huko dark web hamna lolote
Utakua umetembelea site chache, dark Web kuna biashara nyingi sana za kihuni, kule hata ukitaka passport ya uingereza unaipata ndani ya masaa machache tu, ukitaka gun unaipata kwa masaa kadhaa, so biashara haramu ndio ziko kule na site za kule huwa hazivutii kwa kuzitazama ila ndio zinapiga kazi na transaction zake hazifanywi kwa cash bali kwa njia ya crypto ndio maana hata government hawawezi kutrack kujua muamala ulipotoka wala ulipoenda... nenda kasome au kangalie history ya website moja ilikua inaitwa alpha kwanza.

Wewe haujaenjoy coz hauna link za site nyingi.
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ