Darsa lahitajika.

Wifi achana nae huyu. Mawifi zako tumekununulia full bedroom furnitures za haja. Kuanzia kitanda, dressing table, carpet, bedsheets na mazagazaga hadi net za bush! Ukimkimbia huyu kaka yangu atadoda aisee. Kama kuna shida yoyote talk to me (hata kama anahitaji dawa za kichina, i will pay)
 
Last edited by a moderator:

Umenena kwa busara, hakuna sababu ya kubanana banana na ujana huo
 
Last edited by a moderator:

asante dada,unajua hapa kuna watu wanataka kuniharibia,wanasema eti ukoo wetu masikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…