Wifi achana nae huyu. Mawifi zako tumekununulia full bedroom furnitures za haja. Kuanzia kitanda, dressing table, carpet, bedsheets na mazagazaga hadi net za bush! Ukimkimbia huyu kaka yangu atadoda aisee. Kama kuna shida yoyote talk to me (hata kama anahitaji dawa za kichina, i will pay)
Kumbe mwenyekiti mwenyewe mchakachuzi! Khaaa!
Ahsante wifi, ila utamsaidia kulea hadi lini sasa!!!!!!
usiwe na hofu hao ndo dada zangu bana wanapesa za kutosha tatizo kwao ni namna ya kuzitumia.
Hadi utakapoweza kutake over malezi haya. Chonde usimuache kaka yetu, lol. Tena tumefurahi kapata mtoto wa mjini amchangamshe. Umpelekege na disco vumbi basi
Kweli kijana, mimi mwenyewe ilinipa shida sana hasa kuhusu kitanda na kubanana, ndio maana baadae nikachonga kitanda cha 8 kwa 10, Kwa sasa najiachia kwa raha zangu, afu ujue kulala mnagusanagusana is unhygienic, mnaweza mkaambukizana magonjwa mtambuka, nakushauri kwa kipindi hiki mlete Evelyn Salt kwa mwenyekiti ili ajifunze funze then baada ya miezi mitatu atarudi kwako, afu anaweza rudi na mimba kabisa ikawa faida marambili. Free advice, you better take it, afterall you have nothing to lose
Huu ushauri siyo sawa. Kama Baba V akianza tena kuwapa mafunzo vijana wake, uhuru wake utaingiliwa katika kufanya maamuzi katika kamati. Na kwanza atajifunzaje wakati tayari kitanda chake ni 8/10? Ningependa huyo Evelyn Salt aje kwangu kwa study tour! Wote mnajua sina bias. Nitamfunza vyema jinsi ya kulala na mambo mengine ikiwemo kuhakiki ubora wa hiyo salt
We kijana.. Evelyn Salt anajua ubazazi wako huu?
Baba V nimependa ushauri wako mkuu. Slave afuate tu kwani kwa mkewe mtarajiwa Evelyn Salt itakuwa ziara ya mafunzo.
Usipende kumtaja bila sababu sugari guru wangu Madame B...
Kuna wengine kipimo cha uanaume kwao ni idadi ya magereza waliyokwisha fungwa, wengine idadi ya wanawake waliowagegeda... Lakini mimi uanaume wangu naupima kwa uwezo wangu wa kutosheleza makochokocho yanaohitajika na familia yangu... Yaani mtoto akisema baba kuku, basi huyu hapa, mke akisema dadii kitimoto, hiki hapa.... hata akisem prado hili hapa.... Kulala chini ni kwamba umeshindwa kununua kila kinachohitajika ili ulale vizuri na salama, sasa ukishindwa huo si uanaumeMwanaume utalaliaje godoro?mwanaume lala chini?