Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ukishaliwekea alama ya kuuliza linakuwa swaliunauliza jibu.
We kijana.. Evelyn Salt anajua ubazazi wako huu?
sio natasha slave?
Kuna wengine kipimo cha uanaume kwao ni idadi ya magereza waliyokwisha fungwa, wengine idadi ya wanawake waliowagegeda... Lakini mimi uanaume wangu naupima kwa uwezo wangu wa kutosheleza makochokocho yanaohitajika na familia yangu... Yaani mtoto akisema baba kuku, basi huyu hapa, mke akisema dadii kitimoto, hiki hapa.... hata akisem prado hili hapa.... Kulala chini ni kwamba umeshindwa kununua kila kinachohitajika ili ulale vizuri na salama, sasa ukishindwa huo si uanaume
embu tafasiri kwa kiswahili hapo?
villa park sitaki unipeleke tena! Wale wadada tuliowaona pale nje ya club walikuwa wanatafuta nini?
sasa yeye si anatoa matumizi tu ila mambo mengine yote namaliza mimi?
mwenzio tayari presha ilianza kupanda nikajua mnaambiana mkutane club.
ahaaa nimeelewa siku nikienda hapo nitahitaji wanihudumie vinywaji hao wanaonekana ni wema sana.
katiba haiwezi kubadilishwa haraka hivi.labda utoe sababu
yapi tena hayo wa raha zangu?
Kakosa vya kulalia vilivyo safi na salamakwani hapa kakosa kitu gani?