Darsa lahitajika.

Darsa lahitajika.

mmmh nna kazi jana tulikuwa villa full kucheza makolokocho!!!!!!!!!

villa park sitaki unipeleke tena! Wale wadada tuliowaona pale nje ya club walikuwa wanatafuta nini?
 
Kuna wengine kipimo cha uanaume kwao ni idadi ya magereza waliyokwisha fungwa, wengine idadi ya wanawake waliowagegeda... Lakini mimi uanaume wangu naupima kwa uwezo wangu wa kutosheleza makochokocho yanaohitajika na familia yangu... Yaani mtoto akisema baba kuku, basi huyu hapa, mke akisema dadii kitimoto, hiki hapa.... hata akisem prado hili hapa.... Kulala chini ni kwamba umeshindwa kununua kila kinachohitajika ili ulale vizuri na salama, sasa ukishindwa huo si uanaume

kwani hapa kakosa kitu gani?
 
Aitwe natasha slave wakati anaehudumia ni wifi angu King'ast
huduma zikiendelea kutoka kwa wifi nitatumia jina lake!!!!!!

sasa yeye si anatoa matumizi tu ila mambo mengine yote namaliza mimi?
 
sasa yeye si anatoa matumizi tu ila mambo mengine yote namaliza mimi?

Afu namuomba Baba V kiapo cha ndoa kibadilishwe!!!!!
Kuna maneno yanahitaji marekebisho
"Hadi kifo kitutenganishe" "nitakuwa nawe kwa shida na raha" sidhani kama nitatimiza mie!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Afu namuomba Baba V kiapo cha ndoa kibadilishwe!!!!!
Kuna maneno yanahitaji marekebisho
"Hadi kifo kitutenganishe" "nitakuwa nawe kwa shida na raha" sidhani kama nitatimiza mie!!!!!

katiba haiwezi kubadilishwa haraka hivi.labda utoe sababu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom