Darsa lahitajika.

Darsa lahitajika.

Ndo maana sikutaka kusubiri hadi ndoa nimelazimishwa tu!!!
ningekuwa nimekuja kwako si ningejua saizi ya hako kakitanda, baby usiniharibie siku naomba uende Furnishers ukanunue kitanda na godoro, la sivo huko hanimoon sitaondoka!!!
au kama mwenyekiti Baba V alivosema, nitalala kwake hadi ununue kingine.......

honeymoon si itakuwa kule pasiansi malaika hotel? Usahauri wako nimeuelewa ila tafadhari usithubutu kwenda kwa mwenyekiti Baba V anavitu vyenye ncha kali kwa sasa sina pesa ya kukutibisha utakapo rudi umevimbewa.
 
Last edited by a moderator:

Nilisema nataka kwenza zanzibar pasiansi nkafanye nini mie!!!!!!
 
Utu uzima dawa, mie nitakushauri mengi. Na ili ukamilike usijaribu katika maisha yako ya ndoa kumpiga mkeo wala kumuambia malay* wewe

Wakati ananipiga namuangalia tu?
ana mke baunsa sema ye mwenyewe hajui.....shhhh usimwambie!!!!!
 
Slave siku ya kwanza lazima mkeo alale na mpambe wake ............ ushauri tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom