Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana sikutaka kusubiri hadi ndoa nimelazimishwa tu!!!
ningekuwa nimekuja kwako si ningejua saizi ya hako kakitanda, baby usiniharibie siku naomba uende Furnishers ukanunue kitanda na godoro, la sivo huko hanimoon sitaondoka!!!
au kama mwenyekiti Baba V alivosema, nitalala kwake hadi ununue kingine.......
honeymoon si itakuwa kule pasiansi malaika hotel? Usahauri wako nimeuelewa ila tafadhari usithubutu kwenda kwa mwenyekiti Baba V anavitu vyenye ncha kali kwa sasa sina pesa ya kukutibisha utakapo rudi umevimbewa.
Utu uzima dawa, mie nitakushauri mengi. Na ili ukamilike usijaribu katika maisha yako ya ndoa kumpiga mkeo wala kumuambia malay* wewe
dada Arabela usijari sanaa hapo ndo mtajua kama wifi yenu ananipenda kweli au anapenda pochi
Wakati ananipiga namuangalia tu?
ana mke baunsa sema ye mwenyewe hajui.....shhhh usimwambie!!!!!
barabara ya meli iendayo zanzibar inamashimo naogopa tusije kuwa wahanga.
Slave njoo umsikie Evelyn Salt bibi wa B.com
utamsikia mchungaji siku ya ndoa atakavyo tuambia.
mie huwa natapika nikipanda ndege hasa hizi jeet.
Unamaanisha nilale na mpambe wa Slave
Ndo maana sipendagi kumshirikisha mtu mambo yangu!!!!!!!!
si nimekuambia usiseme.....
I love you Slave