Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Dah jamani hii vita ya ukraine imetukalia vibaya sisi tu au hawa jirani zetu wao wanachimba mafuta? si wanapitisha mafuta hapahapa bandarini kwetu jamani?

Tunaongelea vita lakini hawa jamaa wa Drc congo wana vita na waasi miaka 25 sasa , tunahitaji maombi maalumu nchii hii hali tete sana

jirani mafuta bei.PNG

congo.PNG
 
Na hao hawana bandari ujue, yanapita mwetu ndio yawafikie, sasa shangaa wese la linafika bandari kwa bei moja, hili linapandishwa gari kwenda morogoro, hili linaoamda gari kwenda zambia kilometa zaidi ya buku huko lakini lile lililoenda mbali bei juu kuliko haya yaliyoishia karibu, mengine yanabaki hapo hapo dar lakini yanayosafirishwa yanakjwa bei poa[emoji23][emoji1787]

Aliyeturoga kafa
 
Acha tu ndugu yangu aiseee, maajabu yaani ...sanasana kuna kikosi kazi kimemwagwa mtandaoni kinatetea kwa nguvu zote kupanda kwa gharama za maisha sababu ni ukraine na putin
 
Hawa wachawi wanaotusumbua mtaani ni mafala saana, wangeoiga juju hawa walamba makalio(praise team) hawa ndio wanazidi kubomoa nchi, nchi inaangamia wao wanakaza kusifu tu. [emoji35]
 
DRC Mafuta haichukulii bandari ya Tz kwa kiwango kikubwa, wao huchukua ANGOLA ambako ni majirani zao.

MALAWI, ZAMBIA, UGANDA bei yake ni maradufu ya TZ.
KENYA iko chini zaidi.
BURUNDI NA RWANDA karibu sawa tu na TZ. NA hizi nchi sio kwamba mafuta hutegemea bandari ya Dar hapana, ni kwa kiwango kidogo mno, RWANDA na BURUNDI hutumia sana BANDARI ya MOMBASA kuliko hata DAR.

DRC wanatumia Bandari ya Dar kwa mizigo tofauti na Mafuta, ni kiwango kidogo mno cha mafuta hupitia bandari ya Dar kwenda DRC.

MALALAMIKO kama haya hayafai. HAKUNA MTU AMEKUJA KUSIFIA HAPA KUWA TZ NDIO NCHI YENYE VIWANGO VIDOGO KABISA VYA GHARAMA ZA INTERNET KWA UKANDA WOTE WA KUSINI MWA AFRIKA NA AFRIKA MASHARIKI KWA UJUMLA.

Screenshot_20220506-234520_Chrome.jpg
Screenshot_20220506-234600_Chrome.jpg
Screenshot_20220506-234430_Chrome.jpg
Screenshot_20220506-234402_Chrome.jpg
Screenshot_20220506-234332_Chrome.jpg
Screenshot_20220506-234304_Chrome.jpg
Screenshot_20220506-234233_Chrome.jpg
Screenshot_20220506-234211_Chrome.jpg
 
DRC Mafuta haichukulii bandari ya Tz kwa kiwango kikubwa, wao huchukua ANGOLA ambako ni majirani zao.

MALAWI, ZAMBIA, UGANDA bei yake ni maradufu ya TZ.
KENYA iko chini zaidi.
BURUNDI NA RWANDA karibu sawa tu na TZ. NA hizi nchi sio kwamba mafuta hutegemea bandari ya Dar hapana, ni kwa kiwango kidogo mno, RWANDA na BURUNDI hutumia sana BANDARI ya MOMBASA kuliko hata DAR.

DRC wanatumia Bandari ya Dar kwa mizigo tofauti na Mafuta, ni kiwango kidogo mno cha mafuta hupitia bandari ya Dar kwenda DRC.

MALALAMIKO kama haya hayafai. HAKUNA MTU AMEKUJA KUSIFIA HAPA KUWA TZ NDIO NCHI YENYE VIWANGO VIDOGO KABISA VYA GHARAMA ZA INTERNET KWA UKANDA WOTE WA KUSINI MWA AFRIKA NA AFRIKA MASHARIKI KWA UJUMLA.

View attachment 2214682View attachment 2214683View attachment 2214684View attachment 2214685View attachment 2214686View attachment 2214687View attachment 2214688View attachment 2214690
Huko ulipotaja bei ziko chini hawaathiriki na vita vya ukraine? siyokweli bei za Rwanda Burundi ni mara mbili yetu..zanzibar je hakuna athari ya ukraine?
 
Lazima pia mtambue kila nchi kuna bidhaa ndio huwa msingi mkubwa wa kodi mbali mbala hutofautiana na nchi na nchi. So kabla hamjaanza kulalamika lazima mjue nchi kama KENYA wao wameimpose kiwango kikubwa cha kodi kwenye Mitandao ya SIMU wakati TZ mitandao ni kiwango kidogo kwenye mafuta kuko juu nk nk
 
Huko ulipotaja bei ziko chini hawaathiriki na vita vya ukraine? siyokweli bei za Rwanda Burundi ni mara mbili yetu..zanzibar je hakuna athari ya ukraine?
We kwa akili yako unadhani kila anayeagiza mafuta anachukulia URUSI?? DRC mafuta yao mengi hutoka ANGOLA na NIGERIA kutokana na wako upande mmoja wa bahari ya ATLANTIC, sasa wewe TZ unawezaje kununua mafuta huko??

Lingine nchi zinazopitisha mafuta kutoka bandari ya TZ mafuta yako juu kama nchi zilizo LAND LOCKED kama ZAMBIA, MALAWI.

Kwenya masuala ya uchumi na biashara lazima utumie akili, sio umetoka huko na degree ya ufugaji nyuki unajikuta ww unajua namna gani uchumi unaendeshwa.

Kenye unaona mafuta bei ya chini kwa kuwa ni karibu, hivyo kila unavyosogea ndio gharama huwa kubwa zaidi. Kwa mfano ukitoka Dar nauli ya Moro ni ndogo kuliko IRINGA.

Huwezi pia kuondoa tozo na kodi kwenye mafuta maana tumeiingiza kwenye bajeti kuu ya serikali.

Lawama na kujiona unaweza kuleta mada haikusaidii.
 
Unavyozidi kusogea mbali kwenda wapi kwa hizo nchi? hiyo DRC ni bei ya kinshasa? wewe mjuvi tuleteee bei ya miji yao iliyopo karibu n a kigoma ambapo kwa sasa bei ya lita ni tshs 5000..na hiyo miji nayo inatoa mafuta Angola?..na unataka kusema bei zao ziko chini sabaabu wanagiza Angola
Fairly kabisa umekiri mi kodi ya kifisadi imejazwa kwenye mafuta SASA SWALI NI JE? WALAMBA ASALI WAKO TAYARI KUBANA MATUMIZI YA MATANUZI YAO NA KUSUBSIDISE MAFUTA? JIBU NI HAPANA
wako radhi wajaze kikosi kazi mtandaoni ili kutetea mateso haya kwa majinga ya tanganyika ilihali wao wanakula bata na kuku na kulamba asali, mahela yanapotea mengi sana yanaibwa ka kasi hata reports za CAg zinathibitisha hilo wabane matumizi hata kwa miezi 3 tuangalie hali itakuwaje
 
DRC Mafuta haichukulii bandari ya Tz kwa kiwango kikubwa, wao huchukua ANGOLA ambako ni majirani zao.

MALAWI, ZAMBIA, UGANDA bei yake ni maradufu ya TZ.
KENYA iko chini zaidi.
BURUNDI NA RWANDA karibu sawa tu na TZ. NA hizi nchi sio kwamba mafuta hutegemea bandari ya Dar hapana, ni kwa kiwango kidogo mno, RWANDA na BURUNDI hutumia sana BANDARI ya MOMBASA kuliko hata DAR.

DRC wanatumia Bandari ya Dar kwa mizigo tofauti na Mafuta, ni kiwango kidogo mno cha mafuta hupitia bandari ya Dar kwenda DRC.

MALALAMIKO kama haya hayafai. HAKUNA MTU AMEKUJA KUSIFIA HAPA KUWA TZ NDIO NCHI YENYE VIWANGO VIDOGO KABISA VYA GHARAMA ZA INTERNET KWA UKANDA WOTE WA KUSINI MWA AFRIKA NA AFRIKA MASHARIKI KWA UJUMLA.

View attachment 2214682View attachment 2214683View attachment 2214684View attachment 2214685View attachment 2214686View attachment 2214687View attachment 2214688View attachment 2214690
wewe na wewe umeandika utumboo. Wenzetu hawana bandar bdo bei iko chini. Kwaiyoo wakichukulia kenya na angola ndo bei iwe chini.

Kama ndo hvyoo mafuta na sisi tuchukulie kenya na angalo hiyo bandar tufugie mbuzi.
 
DRC Mafuta haichukulii bandari ya Tz kwa kiwango kikubwa, wao huchukua ANGOLA ambako ni majirani zao.

MALAWI, ZAMBIA, UGANDA bei yake ni maradufu ya TZ.
KENYA iko chini zaidi.
BURUNDI NA RWANDA karibu sawa tu na TZ. NA hizi nchi sio kwamba mafuta hutegemea bandari ya Dar hapana, ni kwa kiwango kidogo mno, RWANDA na BURUNDI hutumia sana BANDARI ya MOMBASA kuliko hata DAR.

DRC wanatumia Bandari ya Dar kwa mizigo tofauti na Mafuta, ni kiwango kidogo mno cha mafuta hupitia bandari ya Dar kwenda DRC.

MALALAMIKO kama haya hayafai. HAKUNA MTU AMEKUJA KUSIFIA HAPA KUWA TZ NDIO NCHI YENYE VIWANGO VIDOGO KABISA VYA GHARAMA ZA INTERNET KWA UKANDA WOTE WA KUSINI MWA AFRIKA NA AFRIKA MASHARIKI KWA UJUMLA.

View attachment 2214682View attachment 2214683View attachment 2214684View attachment 2214685View attachment 2214686View attachment 2214687View attachment 2214688View attachment 2214690
Unashindwa kutofautisha kati ya Umuhimu wa Mafuta na Internet kwa mwananchi wa Kawaida...!

Kifurushi cha Internet hata Kingekua 200 itamsaidia nini Bibi yangu kule Mpwapwike...!?

Tumia akili kufikiri...!
 
Back
Top Bottom