Zanzibar nao wanachukua kutoka nigeria kupitia angola!? Maana degree zetu za ufugaji nyuki hazijuwi lolote.
Zanzibar ni nchi mzee sio kama unavyofikiri wewe kilaza, mbona HULINGANISHI MISHAHARA YA WATUMISHI WA ZANZIBAR NA YA WA MUUNGANO AU TANZANIA BARA??
Au undhani na mishahara inafanana?? Kila kitu kina some impact katika upande wa pili, Zanzibar ushuru uko chini, lkn pia hata maslahi ya watumishi wa SMZ ni finyu mno kutokana na pato lao kuwa dogo.
Mnapenda sana kulalamika, haya tuambie kati ya Zanzibar na Tanzania Bara wapi kuna gharama za juu za Saruji?? So sio kila nchi itafanana katika uwekaji wa kodi mbali mbali.
Ongezeko la bei ya mafuta imeenda sambamba katika nchi zote ambapo tofauti uzionazo ni kutokana na factors kama umbali, kodi inayotozwa nk.
Bei ya mafuta sio global system kwamba lazima nchi zote zifanane bei kama viwango vya fedha.
Ndio maana Venezuela bei iko chini na huku ni juu. MBONA HUULIZI KWANINI KOROSHO HAPA TZ NI BEI RAHISI KULIKO HONG KONG??.
Malalamiko ya kitoto sana mnafanya, hamjipi muda wa kusoma kwa kina kabla y kupost utumbo hapa JF.
Haya tuambie kwanini, mikoa kama TANGA, DAR na MTWARA bei za Mafuta kuwa chini ukilinganisha na mikoa mingine??
Kuhusu KIGOMA sio kweli kwamba mafuta ni 5000 per lt. Bei elekezi ya Kigoma haiwezi fika hata 3500 per lt.