Exactly, uko sahihi..
Hili ndilo tatizo la msingi ktk saga lote hili..!
Sasa ukijumlisha na tatizo la mfumo wetu mbovu wa kiutawala unaopelekea viongozi wabovu, wabinafsi na wajinga kushika madaraka ya kuongoza watu huku watu werevu wenye uwezo wa kuongoza na kutumia brains zao creatively kutumia raslimali vyema za nchi kwa ajili ya manufaa ya watu na nchi wakiwa nje ya mfumo wa utawala na maamuzi...
Kwa hili, Zanzibar inatupa funzo na mfano mzuri wa namna serikali inavyo shughulika na maisha ya wananchi wake ..
Si kwamba, Zanzibar iko dunia nyingine. Iko humu humu ambako kuna athari za COVID 19, Russia Ukraine war na mabadiliko mengine ya kidunia..
Lakini imetafuta njia ya ku - stabilize mambo. Huo ndiyo UONGOZI. Uongozi si kula na kunywa hapa. Uongozi ni namna ya ku deal na challenges..!
Huyu Rais Samia Suluhu na CCM yake wamelala usingizi wa pono. Kwa kubwa wao na ndugu zao na watoto wao wanakula na kunywa na kusaza, basi wameachilia mambo yajipeleke yenyewe..
Watajuta si muda mrefu maana wameweka akili zao kwenye pochi zao na mifuko yao ya suruali..!!
CARDLESS