CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Sidhani kama una uelewa wowote wa kile umeandika hapa.Unataka ku - justify nini hapa..?
Ili ueleweke ni lazima ulinganishe thamani ya pesa ya nchi hizo na thamani ya shilingi yetu...
Mathalani Zambian Kwacha 1 ni sawa na zaidi ya TZS 130...!
Ukitumia kipimo hicho, unaweza kutambua bei ziko chini sana kuliko sisi..!!
Inashangaza mno kulinganisha bei ya vitu nchi zingine na hapa kwetu kwa hisia za kienyeji kiasi hiki bila kutumia vigezo vya kiuchumi kabla ya kutoa conclusion...
Inashangaza kuwa hata wachumi na wasomi wetu tena walio kwenye dhamana za uongozi kwa ajili ya wananchi wanatumia fallacies na ujinga huu ku - justify/halalisha shida na taabu ya wananchi wao...!!
Unavyolinganisha bei ya bidhaa kati ya nchi na nchi tumia International currency, hapo tunatumia USD kupima bei halisi.
Kwako wewe, 5,000 Ya Kenya ni nafuu kuliko 50,000 ya TANZANIA kisa namba ya Kenya kuonekana ndogo??
Hao Zambia bei yake ni USD 1.555 Kwa Petrol na TANZANIA ni 1.354 kwa petrol.
Haya tuambie wapi kuna bei kubwa??