Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

Angola Wanasafisha mafuta na kuuza yanayoenda kutumika moja kwa moja?
Ndio wanasafisha mafuta jijini LUANDA. hata bei yao iko around 0.3 USD.
Screenshot_20220507-021844_Google.jpg
 
Dah jamani hii vita ya ukraine imetukalia vibaya sisi tu au hawa jirani zetu wao wanachimba mafuta? si wanapitisha mafuta hapahapa bandarini kwetu jamani?

Tunaongelea vita lakini hawa jamaa wa Drc congo wana vita na waasi miaka 25 sasa , tunahitaji maombi maalumu nchii hii hali tete sana

View attachment 2214602

View attachment 2214603
hapa ni issue ya kodi tu,kila nchi ina mfumo wake wa kodi, sisi kwenye lita hiyohiyo inayouzwa burundi tuna utitiri wa kodi ndani yake. kuna nchi lita hiihii inauzwa 5000
 
Dah jamani hii vita ya ukraine imetukalia vibaya sisi tu au hawa jirani zetu wao wanachimba mafuta? si wanapitisha mafuta hapahapa bandarini kwetu jamani?

Tunaongelea vita lakini hawa jamaa wa Drc congo wana vita na waasi miaka 25 sasa , tunahitaji maombi maalumu nchii hii hali tete sana

View attachment 2214602

View attachment 2214603
Unakaa kwenye MFUMO unakataa KATIBA MPYAA
 
determinant wa bei ya mafuta sio tu bandari, kwa mfano morroco wao ni 3250, wana bandari,wako jirani na wazalishaji wakubwa naamini na wao wanachimba mafuta
Sio pekee lakini inamchango mkubwa.
 
DRC Mafuta haichukulii bandari ya Tz kwa kiwango kikubwa, wao huchukua ANGOLA ambako ni majirani zao.

MALAWI, ZAMBIA, UGANDA bei yake ni maradufu ya TZ.
KENYA iko chini zaidi.
BURUNDI NA RWANDA karibu sawa tu na TZ. NA hizi nchi sio kwamba mafuta hutegemea bandari ya Dar hapana, ni kwa kiwango kidogo mno, RWANDA na BURUNDI hutumia sana BANDARI ya MOMBASA kuliko hata DAR.

DRC wanatumia Bandari ya Dar kwa mizigo tofauti na Mafuta, ni kiwango kidogo mno cha mafuta hupitia bandari ya Dar kwenda DRC.

MALALAMIKO kama haya hayafai. HAKUNA MTU AMEKUJA KUSIFIA HAPA KUWA TZ NDIO NCHI YENYE VIWANGO VIDOGO KABISA VYA GHARAMA ZA INTERNET KWA UKANDA WOTE WA KUSINI MWA AFRIKA NA AFRIKA MASHARIKI KWA UJUMLA.

View attachment 2214682View attachment 2214683View attachment 2214684View attachment 2214685View attachment 2214686View attachment 2214687View attachment 2214688View attachment 2214690
Machawa wa siasa ndo mnaotuharibia hii nchi kwa kupenda kitonga mkikosa teuzi mtakuja muolewe na wanaume wezenu.

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
 
wewe na wewe umeandika utumboo. Wenzetu hawana bandar bdo bei iko chini. Kwaiyoo wakichukulia kenya na angola ndo bei iwe chini.

Kama ndo hvyoo mafuta na sisi tuchukulie kenya na angalo hiyo bandar tufugie mbuzi.
Chief congo ina bandari imepakana na angola bahari ya atlantic kwenye mji wa matadi
 
Chief congo ina bandari imepakana na angola bahari ya atlantic kwenye mji wa matadi
na miji yao iliyoko karibu na kigoma wanatoa wapi mafuta? vipi bei ya rwanda, kenya ,zanzibar, malawi...hapa kila siku wansingizia vita vya ukraine je kungekuwa na vita kama huko congo wanapopambana na waasi wa M 23 kila kukicha si lita zingeuzwa 20,000
Na huko Angola hawajaathiriwa na vita vya ukraine? ma kodi ya ajabu ajabu ndiyo sababu ya kupanda bei kiajabuajabu na hawataki kuzi adjust sababu wanataka kumaintain lifestyle yao ya kibwanyenye
 
wewe na wewe umeandika utumboo. Wenzetu hawana bandar bdo bei iko chini. Kwaiyoo wakichukulia kenya na angola ndo bei iwe chini.

Kama ndo hvyoo mafuta na sisi tuchukulie kenya na angalo hiyo bandar tufugie mbuzi.
We aliyekwambia kuwa DRC hawana bandari ni nani?? Ishu pale ni kwamba kutokana na Jografia yao, miji mingi iko mbali na bandari. Mfano, Tz tuwe na Bandari MTWARA peke yake, we unadhani watu wa ARUSHA, TANGA, MWANZA, MOSHI, KAGERA DODOMA nk watatumia bandari ya MTWARA au MOMBASA??
 
Lazima pia mtambue kila nchi kuna bidhaa ndio huwa msingi mkubwa wa kodi mbali mbala hutofautiana na nchi na nchi. So kabla hamjaanza kulalamika lazima mjue nchi kama KENYA wao wameimpose kiwango kikubwa cha kodi kwenye Mitandao ya SIMU wakati TZ mitandao ni kiwango kidogo kwenye mafuta kuko juu nk nk

Lakini wakati wa dharura kama huu si mambo yanapaswa kubadilika? Sio serikali kuendelea na matumizi yale yale wakati hali ni ngumu.
 
We kwa akili yako unadhani kila anayeagiza mafuta anachukulia URUSI?? DRC mafuta yao mengi hutoka ANGOLA na NIGERIA kutokana na wako upande mmoja wa bahari ya ATLANTIC, sasa wewe TZ unawezaje kununua mafuta huko??

Lingine nchi zinazopitisha mafuta kutoka bandari ya TZ mafuta yako juu kama nchi zilizo LAND LOCKED kama ZAMBIA, MALAWI.

Kwenya masuala ya uchumi na biashara lazima utumie akili, sio umetoka huko na degree ya ufugaji nyuki unajikuta ww unajua namna gani uchumi unaendeshwa.

Kenye unaona mafuta bei ya chini kwa kuwa ni karibu, hivyo kila unavyosogea ndio gharama huwa kubwa zaidi. Kwa mfano ukitoka Dar nauli ya Moro ni ndogo kuliko IRINGA.

Huwezi pia kuondoa tozo na kodi kwenye mafuta maana tumeiingiza kwenye bajeti kuu ya serikali.

Lawama na kujiona unaweza kuleta mada haikusaidii.

Uko sahihi kabisa, tunasema serekali ipunguze matumizi yasiyo ya lazima, mfano hayo mashangingi ya nini wakati hali ni ngumu? Bunge linaendelea kukaa kwanini wakati hawana jipya wanalojadili, kwani kila kitu cha serekali wanapitisha kwa 100%. Rais naye kila siku kiguu na njia na msafara kama anaelekea peponi. Kwanini mambo hayo yasipungue au kusimama kabisa?
 
Lakini wakati wa dharura kama huu si mambo yanapaswa kubadilika? Sio serikali kuendelea na matumizi yale yale wakati hali ni ngumu.
Hii sio dharula mzee, hata USA bei iko juu, hii ishu ya bei iko Dunia nzima kutokana na uhaba wa bidhaa yenyewe. Bei ya mafuta ni kitu kinachopanda na kushuka, huwezi toa kodi eti kisa mafuta yamepanda, kodi itaendelea kukusanywa vile vile.

Mtakubali kupunguzwa mishahara au kupunguzwa dawa na vifaa tiba hospitalini pia??

Tunapaswa kutoa elimu juu ya namna uchumi unaenda, hili si suala la CCM au CHADEMA au ACT ni national matters, hivyo lazima tuelewe chanzo chake na effect yake. Ni suala la muda tu kila kitu kitarudi kwenye hali yale ya kawaida.

Tusiwe watu wa kulalamika sana, Price ya mafuta sio kwamba ifanane kwa nchi zote, hata hapa Afrika mashariki, bei ya mchele iko tofauti baina yetu, ni kutokana na uwekezaji nk.

Kwa mfano Kenya wao hutumia kiasi kikubwa mno cha mafuta ukilinganisha na sisi hivyo lazima watapata punguzo la bei as we know kadiri unavyonunua mzigo mkubwa ndipo disccount hupatikana.
 
Uko sahihi kabisa, tunasema serekali ipunguze matumizi yasiyo ya lazima, mfano hayo mashangingi ya nini wakati hali ni ngumu? Bunge linaendelea kukaa kwanini wakati hawana jipya wanalojadili, kwani kila kitu cha serekali wanapitisha kwa 100%. Rais naye kila siku kiguu na njia na msafara kama anaelekea peponi. Kwanini mambo hayo yasipungue au kusimama kabisa?
Matumizi yasiyo ya lazima ni yepi hayo. Kwann unataka serikali ipunguze matumizi yasiyo ya lazima wakati na ww pia unafanya matumizi yasiyo ya lazima.??.

Anza kupunguza ww hayo matumizi kama huoni pesa unayoipata haitoshi.

Kwahiyo unataka Serikali itumie makali ya mtumba, au Rais atumie IST?? unajua gharama za uchaguzi?
 
chawa ,embu kuweni na huruma basi jamani, khaaa ni kodi inapatikana tu kwenye mafuta? ili ku maintain life style ya kulamba asali ya maboss zenu...huu ni ubinafsi wa hali ya juu ,kikosi kazi mmejazwa social media kila platform kuwakumbusha wanuka majasho kwamba ni haki yao kupigika na kuishi maisha magumu..laana iwe kwenu
 
DRC Mafuta haichukulii bandari ya Tz kwa kiwango kikubwa, wao huchukua ANGOLA ambako ni majirani zao.

MALAWI, ZAMBIA, UGANDA bei yake ni maradufu ya TZ.
KENYA iko chini zaidi.
BURUNDI NA RWANDA karibu sawa tu na TZ. NA hizi nchi sio kwamba mafuta hutegemea bandari ya Dar hapana, ni kwa kiwango kidogo mno, RWANDA na BURUNDI hutumia sana BANDARI ya MOMBASA kuliko hata DAR.

DRC wanatumia Bandari ya Dar kwa mizigo tofauti na Mafuta, ni kiwango kidogo mno cha mafuta hupitia bandari ya Dar kwenda DRC.

MALALAMIKO kama haya hayafai. HAKUNA MTU AMEKUJA KUSIFIA HAPA KUWA TZ NDIO NCHI YENYE VIWANGO VIDOGO KABISA VYA GHARAMA ZA INTERNET KWA UKANDA WOTE WA KUSINI MWA AFRIKA NA AFRIKA MASHARIKI KWA UJUMLA.

View attachment 2214682View attachment 2214683View attachment 2214684View attachment 2214685View attachment 2214686View attachment 2214687View attachment 2214688View attachment 2214690
Ni nini kinasababisha dizeli yetu kuwa na bei juu kuliko petroli yetu wakati nchi nyingine Hali ni tofauti?
 
Mkuu unaandika content nzito mno ambayo watanzania wengi aidha kwa kutokwenda shule au kwa ujinga wa kuzaliwa hawaelewi.

Mpuuzi mmoja anakuambia eti mbona nchi x au y ni bei rahisi kuliko sisi na yanapita kwetu.
Haangalii kodi tulizoziweka humo ili kukimbiza miradi ya REA na Reli na TARURA
Mtu huyo huyo kesho kodi hiyo ikiondolewa na miradi ya REA na Reli ikafia mbali ataandika tena kulalamika

Kwa muktadha huo kuna sehemu nilikuwa nakubaliana na Magufuli, kwamba ng'ombe kama hawa ni wa kuburuza tu watake wasitake.
Wewe jamaa ndy Hamnazo kabsaa..kumbe Rea serkali inatulamba kotekote, mana wananchi tukinunua umeme tu...umelambwa hela,halafu hili la kuwekwa makodi mengi si ndy waoo?kwanini waliweka makodi mengi kwenye bidhaa mkakati kama hyoo? Kuna majizi manyonyaji yanatupopoa wananchi bila huruma hapa. Kwa nchi nilizotembea hii nchi ndy inakodi nyingi sana. Serikali inakusanya hela nyingi sana ila znaenda mifukoni mwao hawa WAJANJA. mafuta futa kodi halaf punguza mianya ya Upigaji basi.
 
Back
Top Bottom