njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Acha tu ndugu yangu aiseee, maajabu yaani ...sanasana kuna kikosi kazi kimemwagwa mtandaoni kinatetea kwa nguvu zote kupanda kwa gharama za maisha sababu ni ukraine na putinNa hao hawana bandari ujue, yanapita mwetu ndio yawafikie, sasa shangaa wese la linafika bandari kwa bei moja, hili linapandishwa gari kwenda morogoro, hili linaoamda gari kwenda zambia kilometa zaidi ya buku huko lakini lile lililoenda mbali bei juu kuliko haya yaliyoishia karibu, mengine yanabaki hapo hapo dar lakini yanayosafirishwa yanakjwa bei poa[emoji23][emoji1787]
Aliyeturoga kafa
Hawa wachawi wanaotusumbua mtaani ni mafala saana, wangeoiga juju hawa walamba makalio(praise team) hawa ndio wanazidi kubomoa nchi, nchi inaangamia wao wanakaza kusifu tu. [emoji35]Acha tu ndugu yangu aiseee, maajabu yaani ...sanasana kuna kikosi kazi kimemwagwa mtandaoni kinatetea kwa nguvu zote kupanda kwa gharama za maisha sababu ni ukraine na putin
Huko ulipotaja bei ziko chini hawaathiriki na vita vya ukraine? siyokweli bei za Rwanda Burundi ni mara mbili yetu..zanzibar je hakuna athari ya ukraine?DRC Mafuta haichukulii bandari ya Tz kwa kiwango kikubwa, wao huchukua ANGOLA ambako ni majirani zao.
MALAWI, ZAMBIA, UGANDA bei yake ni maradufu ya TZ.
KENYA iko chini zaidi.
BURUNDI NA RWANDA karibu sawa tu na TZ. NA hizi nchi sio kwamba mafuta hutegemea bandari ya Dar hapana, ni kwa kiwango kidogo mno, RWANDA na BURUNDI hutumia sana BANDARI ya MOMBASA kuliko hata DAR.
DRC wanatumia Bandari ya Dar kwa mizigo tofauti na Mafuta, ni kiwango kidogo mno cha mafuta hupitia bandari ya Dar kwenda DRC.
MALALAMIKO kama haya hayafai. HAKUNA MTU AMEKUJA KUSIFIA HAPA KUWA TZ NDIO NCHI YENYE VIWANGO VIDOGO KABISA VYA GHARAMA ZA INTERNET KWA UKANDA WOTE WA KUSINI MWA AFRIKA NA AFRIKA MASHARIKI KWA UJUMLA.
View attachment 2214682View attachment 2214683View attachment 2214684View attachment 2214685View attachment 2214686View attachment 2214687View attachment 2214688View attachment 2214690
We kwa akili yako unadhani kila anayeagiza mafuta anachukulia URUSI?? DRC mafuta yao mengi hutoka ANGOLA na NIGERIA kutokana na wako upande mmoja wa bahari ya ATLANTIC, sasa wewe TZ unawezaje kununua mafuta huko??Huko ulipotaja bei ziko chini hawaathiriki na vita vya ukraine? siyokweli bei za Rwanda Burundi ni mara mbili yetu..zanzibar je hakuna athari ya ukraine?
Unavyozidi kusogea mbali kwenda wapi kwa hizo nchi? hiyo DRC ni bei ya kinshasa? wewe mjuvi tuleteee bei ya miji yao iliyopo karibu n a kigoma ambapo kwa sasa bei ya lita ni tshs 5000..na hiyo miji nayo inatoa mafuta Angola?..na unataka kusema bei zao ziko chini sabaabu wanagiza AngolaWe kwa akili yako unadhani kila anayeagiza mafuta anachukulia URUSI?? DRC mafuta yao mengi hutoka ANGOLA na NIGERIA kutokana na wako upande mmoja wa bahari ya ATLANTIC, sasa wewe TZ unawezaje kununua mafuta huko??
Lingine nchi zinazopitisha mafuta kutoka bandari ya TZ mafuta yako juu kama nchi zilizo LAND LOCKED kama ZAMBIA, MALAWI.
Kwenya masuala ya uchumi na biashara lazima utumie akili, sio umetoka huko na degree ya ufugaji nyuki unajikuta ww unajua namna gani uchumi unaendeshwa.
Kenye unaona mafuta bei ya chini kwa kuwa ni karibu, hivyo kila unavyosogea ndio gharama huwa kubwa zaidi. Kwa mfano ukitoka Dar nauli ya Moro ni ndogo kuliko IRINGA.
Huwezi pia kuondoa tozo na kodi kwenye mafuta maana tumeiingiza kwenye bajeti kuu ya serikali.
Lawama na kujiona unaweza kuleta mada haikusaidii.
wewe na wewe umeandika utumboo. Wenzetu hawana bandar bdo bei iko chini. Kwaiyoo wakichukulia kenya na angola ndo bei iwe chini.DRC Mafuta haichukulii bandari ya Tz kwa kiwango kikubwa, wao huchukua ANGOLA ambako ni majirani zao.
MALAWI, ZAMBIA, UGANDA bei yake ni maradufu ya TZ.
KENYA iko chini zaidi.
BURUNDI NA RWANDA karibu sawa tu na TZ. NA hizi nchi sio kwamba mafuta hutegemea bandari ya Dar hapana, ni kwa kiwango kidogo mno, RWANDA na BURUNDI hutumia sana BANDARI ya MOMBASA kuliko hata DAR.
DRC wanatumia Bandari ya Dar kwa mizigo tofauti na Mafuta, ni kiwango kidogo mno cha mafuta hupitia bandari ya Dar kwenda DRC.
MALALAMIKO kama haya hayafai. HAKUNA MTU AMEKUJA KUSIFIA HAPA KUWA TZ NDIO NCHI YENYE VIWANGO VIDOGO KABISA VYA GHARAMA ZA INTERNET KWA UKANDA WOTE WA KUSINI MWA AFRIKA NA AFRIKA MASHARIKI KWA UJUMLA.
View attachment 2214682View attachment 2214683View attachment 2214684View attachment 2214685View attachment 2214686View attachment 2214687View attachment 2214688View attachment 2214690
Unashindwa kutofautisha kati ya Umuhimu wa Mafuta na Internet kwa mwananchi wa Kawaida...!DRC Mafuta haichukulii bandari ya Tz kwa kiwango kikubwa, wao huchukua ANGOLA ambako ni majirani zao.