Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

Unajua maana ya kupunguza matumizi yasiyo ya lazima? Mshahara ni matumizi yasiyo ya lazima? Unajua unachoongea Boss au unaleta ubishi wa mshipa?
Kwako wewe matumizi yasiyo ya lazima ni yepi?? Maana unazungumza vitu vidogo na wala havina ishu yoyote
 
Kwako wewe matumizi yasiyo ya lazima ni yepi?? Maana unazungumza vitu vidogo na wala havina ishu yoyote

Mfano msafara wa rais, waziri mkuu wa magari kibao ya nini? Kiongozi yuko hapa mjini anatumia VXR ya nini? Bunge linajadili kipi ambacho watapinga kutoka mapendekezo ya serikali?
 
Nahisi huyu CARDLESS ni makamba anapambana Sana kutetea ujinga mfano wa Zanzibar eti anasema Zanzibar ni nchi kamili kweli? Ina maana Leo kwenye mafuta Zanzibar sio Tanzania? Lakini pia hiyo bajeti tunayochangia hahusu Zanzibar? Kwa maana hata wabunge wa Zanzibar wamo Dodoma wanafanya nini kama Zanzibar ni nchi? Huyu jamaa amechanganyikiwa haelewi anatetea nini
 
Wao wanapewa KILA mwezi lita 2000.so awafeel
 
Teh teh teh
Eti tunadrive
Hahahaaaaaaaaaaaaa
 
Anatafuta teuzi kupitia kutetea upuuzi wa waliomfanya awe chawa wao
 
Tusindaganyane hapa Zinzibar mafuta Tsh 2600 wao wananunua wapi ? Kodi nyingi kwenye mafuta ndio sababu Kodi zipo 13 katika lita moja ya mafuta.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Mkuu mimi sio makamba na sijawahi kukutana na huyo makamba. Nachokwambia ndio kweli
 
Exactly, uko sahihi..

Hili ndilo tatizo la msingi ktk saga lote hili..!

Sasa ukijumlisha na tatizo la mfumo wetu mbovu wa kiutawala unaopelekea viongozi wabovu, wabinafsi na wajinga kushika madaraka ya kuongoza watu huku watu werevu wenye uwezo wa kuongoza na kutumia brains zao creatively kutumia raslimali vyema za nchi kwa ajili ya manufaa ya watu na nchi wakiwa nje ya mfumo wa utawala na maamuzi...

Kwa hili, Zanzibar inatupa funzo na mfano mzuri wa namna serikali inavyo shughulika na maisha ya wananchi wake ..

Si kwamba, Zanzibar iko dunia nyingine. Iko ktk dunia hiihii ambako Rais Samia na wenzake huko CCM na serikalini wanadai mambo yako hivi kwa sababu ya athari za COVID 19, Russia Ukraine war na mabadiliko mengine ya kidunia..

Lakini imetafuta njia ya ku - stabilize mambo. Huo ndiyo UONGOZI. Uongozi si kula na kunywa. Uongozi ni namna ya ku deal na challenges za nchi na wananchi..!

Huyu Rais Samia Suluhu na CCM yake wamelala usingizi wa pono. And it's simply because wao na ndugu zao na watoto wao wanakula na kunywa na kusaza. Kwa sababu hizi ndio maana hawajali kiasi cha kuachilia mambo yajipeleke yenyewe..

Watajuta si muda mrefu maana wameweka akili zao kwenye pochi zao na mifuko yao ya suruali..!!

CARDLESS
 
Daaah,mkuu hyo comment yako imeniingia mno
 

Praise team.
 
Kwamba Kenya hayajapanda sio?
Ni bahati mbaya kwamba wapuuzi wengi sampuli ya Wewe mnashinda mitandaoni kufuatilia nani katembea na nani, nani kavaa nguo mpya.
Halafu inapokuja mada serious kama hii na Wewe unajitutumua.
Mara moja moja jitahidi kutumia ubongo kufikiri siyo.....
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Mkuu mimi sio makamba na sijawahi kukutana na huyo makamba. Nachokwambia ndio kweli
Tafadhali usiseme unachoandika ni UKWELI. Kila uandikacho hapa ni MAONI YAKO and we respect your opinions very much...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…