shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,396
Yatajulikana tu. Hata akiuficha upumbavu wake, kama ni ya kweli yatafahamika kupitia angle nyingine. Tusubiri tuone.Kwa mtu mpumbavu kuuonesha upumbavu wake kias hiki dawa yake ni kumjuza kuwa upumbavu ni hasara kwake na ukoo wake
Pamoja na upumbavu uliongea na kujaribu kutaka kuchafua jina la Mh Balozi Dr Ramadhan Dau..nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani
Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz
Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi
Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi
Ficha upumbavu wako
Yatajulikana tu. Hata akiuficha upumbavu wake, kama ni ya kweli yatafahamika kupitia angle nyingine. Tusubiri tuone.
Wakati tukiwa bado tunasubiri ripoti za wizi ulifanya na kiongozi huko Nssf,tayari kuna taarifa kuwa kampuni nyingine zinazofanya kazi na NSSF zina uhusiano na Dr. Dau.
Hizi ni pamoja na kampuni ya ulinzi inayolinda majengo na ofisi za NSSF,pia kuna taarifa kuwa kuna kampuni ya mtoto wake aliyeko Uingereza imepewa kazi ya kuiwezesha NSSF kupata cheti cha ubora ie ISO.
Kampuni hiyo imemtuma mwakilishi wake ambaye analala hotelini ya bei ghali na kulipiwa na NSSF kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Mabilion ya pesa yameshatumika kuilipa hiyo kampuni ya mwanae Dau.
Pia inasemekana NSSF waliingia mkataba na wawakilishi feki wa Real Madrid kwa ajili ya kujenga chuo cha mambo ya mchezo na gharama kubwa imeshatumika huku kukiwa na sintofahamu baada ya Real Madrid kudai hawahusiki ktk hilo suala na sasa NSSF wameshtakiwa kwa kutumia jina hilo bila idhini yao.
Nitakuja nawapakulia jinsi ntavyozidi kuzinyaka.
Ukila tu lazima uteteee tumekujuwa ilooooooooooooo, tulia utumbuliweKwa mtu mpumbavu kuuonesha upumbavu wake kias hiki dawa yake ni kumjuza kuwa upumbavu ni hasara kwake na ukoo wake
Pamoja na upumbavu uliongea na kujaribu kutaka kuchafua jina la Mh Balozi Dr Ramadhan Dau..nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani
Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz
Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi
Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi
Ficha upumbavu wako
Dr Ramadhan Day ni Balozi katika nchi gani mkuu? Kuwekwa benchi si lazima uambiwe mkuu! Atasugua benchi pale wizara ya mambo ya nje mpaka umri wa kustaafu ufike,Kwa mtu mpumbavu kuuonesha upumbavu wake kias hiki dawa yake ni kumjuza kuwa upumbavu ni hasara kwake na ukoo wake
Pamoja na upumbavu uliongea na kujaribu kutaka kuchafua jina la Mh Balozi Dr Ramadhan Dau..nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani
Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz
Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi
Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi
Ficha upumbavu wako
Kuna mengi ya muhimu hujayaweka kwenye hii post yako kwahiyo tarajia chagizo nyingiWakati tukiwa bado tunasubiri ripoti za wizi ulifanya na kiongozi huko Nssf,tayari kuna taarifa kuwa kampuni nyingine zinazofanya kazi na NSSF zina uhusiano na Dr. Dau.
Hizi ni pamoja na kampuni ya ulinzi inayolinda majengo na ofisi za NSSF,pia kuna taarifa kuwa kuna kampuni ya mtoto wake aliyeko Uingereza imepewa kazi ya kuiwezesha NSSF kupata cheti cha ubora ie ISO.
Kampuni hiyo imemtuma mwakilishi wake ambaye analala hotelini ya bei ghali na kulipiwa na NSSF kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Mabilion ya pesa yameshatumika kuilipa hiyo kampuni ya mwanae Dau.
Pia inasemekana NSSF waliingia mkataba na wawakilishi feki wa Real Madrid kwa ajili ya kujenga chuo cha mambo ya mchezo na gharama kubwa imeshatumika huku kukiwa na sintofahamu baada ya Real Madrid kudai hawahusiki ktk hilo suala na sasa NSSF wameshtakiwa kwa kutumia jina hilo bila idhini yao.
Nitakuja nawapakulia jinsi ntavyozidi kuzinyaka.
Imani yake na watu waliofaidi uwepo wake pale si habaSijaelewa kwanini kila uzi, unaoelezea maovu ya Dr. Dau unapata watetezi wengi
Username yako nzuri celinawetuView attachment 330669 View attachment 330669
Ukisoma utaona jinsi Nssf wanatapatapa wanashindwa kuwasilisha ripoti yenye mashiko
Ni Mpumbavuu
Yeye ina maana hajui kuwa ISO hutoa cheti hiko baada ya ukaguz na kujiridhisha?
Hajui kuwa ISO inabase ktk uhalisia wa kimataifa kisha ndipo hutoa hiko cheti?
Jinga kabisa eti anadhani cheti hicho kinatolewa kwa kujuana au kifamilia...stupid kbs
Username yako nzuri celinawetu