Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake

..nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani

Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz

Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi

Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi

Ficha upumbavu wako
Pamoja na kwamba siungi mkono hoja iliyo mbele yetu. Nakuomba uwe mstahamilivu kidogo maana hoja hujibiwa kwa hoja si matusi.
 
Mjadala unapoteza maana kama watetezi na wanaompinga Dr. Dau wanatumia dini nyuma ya pazia. Reading between the lines, hilo lipo sana hasa ukiunganisha na ile thread kuhusu tuhuma za udini zilizoelekezwa kwa Dr. Dau pale NSSF. Inaelekea ile thread inazuia reasoning kwenye suala lolote la Dr. Dau

Tuna safari ndefu. Tumekuwa kama mashabiki wa Yanga na Simba. Ubaya upo upande wa pili iwe jua au mvua.
 
Mkuu hata ile ya udini pia utasema propaganda,
Nina rafiki yangu wa karibu kwao wanagawanyika pande mbili??mdogo wake alitafuta field NSSF kaambia lazma avae baibui la sivyo field hapati pale upo mkuu???...theis is from people i know

Ushahidi huo una nguvu vijiweni kwenye System ilishafuatiliwa ikagundulika kwenye
1) Management level (Directors hawajafikia 50%) na hata humu Management ya NSSF iliwekwa.
2) Kwenye kazi za kila siku (Operation level) Waislam NSSF ni 41%.
3) Kwenye Zabuni walizopewa Waislam hazifiki 35%
4) Kwenye Corporate Social Responsibility (CSR) na Miradi mingine ya kimaendeleo iliangaliwa pia kama kuna upendeleo kwa maana ya kuangalia maeneo ya Waislam kupewa kipaumbele pia hakuna hilo.
5) Hoja ya kusema hupati Field bila ya kuvaa Hijabu huhitaji kumuuliza Rafiki yako nenda ofisi yoyote ya NSSF halafu omba kuwaona wanafunzi wa Field tazama kama wasichana/Wanawake wote wamevaa hijabu? Tuwe tunajiongeza sometime ni sawa na mimi niende CRDB Azikiwe nione hakuna Binti kwenye Hijabu niende kusema Kimei Mdini. Kuna Waislam wengi wameomba kazi NSSF na wamekosa jee nao walalamikie "Udini" wa Dr. Dau?.
 
Jamaa bado wako msikitini wanaswali, siunajua leo ijumaa.
 
Sijaelewa kwanini kila uzi, unaoelezea maovu ya Dr. Dau unapata watetezi wengi

Elewa tu kwamba hata Idd Amin na Hitler walikuwa na marafiki weeengi! Muhimu pia tufahamu kwamba wapuuzi wote pia wana marafiki wanaopuuzika nao.
Sijui kwa nini wanategemea Mteule wa rais aliyepita awe mtu mwema!
 
HYO YA FAMILIA YAKE WATAJUANA WENYEWE ILA HILO LA REAL MADRID NAFIKIR ULETE TAARIFA ZAID
 
..nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani

Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz

Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi

Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi

Ficha upumbavu wako
Kwa hilo hakuna haja ya matusi. Wewe ungejibu hoja. Tueleze nani anawasaidia NSSF kupata hicho cheti. Twambie ukweli wa huyo mtu anayeishi hotelini. Baada ya hapo, sisi tutahangaika kujua ukweli wa taarifa hii.
 
..nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani

Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz

Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi

Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi

Ficha upumbavu wako
Kinachongelewa ni kampuni ya uwakaka ilopewa hyo tenda yakusaidia hyo certification...
 
..nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani

Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz

Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi

Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi

Ficha upumbavu wako

Ameeleza vizuri tu mkuu " kuiwezesha NSSF KUPATA ISO", nadhani hapa inaweza kuwa, kuandika ( documentation) za ISO, au mafunzo kwa stafff. Kwa vyovyote vile lazima kuwe na muwezeshaji ili NSSF au kampuni/taasisi yeyote ile ipate ISO. Hoja nikuwa mwezeshaji kapatikanaje? Je anasifa? Je malipo anayolipwa yanaendana na kazi anazozifanya? Hata kama ni ya mwanae sidhani kama nitatizo iwapo majibu ya maswali hayo yanajitosheleza. JUKUMU LAKO WEWE NIKUFAFANUA...
 
Hii fitna inafanywa na hawa watu wawili

MAGORI na EUNICE CHIUME

IMG_5308.jpg
 
Nitakuja nawapakulia jinsi ntavyozidi kuzinyaka.[/QUOTE]

Hilo neno "nawapakulia" ngoja waje wanaotumia boti za Azam kila siku kwenda Zanzibar.
 
Wakati tukiwa bado tunasubiri ripoti za wizi ulifanya na kiongozi huko Nssf,tayari kuna taarifa kuwa kampuni nyingine zinazofanya kazi na NSSF zina uhusiano na Dr. Dau.

Hizi ni pamoja na kampuni ya ulinzi inayolinda majengo na ofisi za NSSF,pia kuna taarifa kuwa kuna kampuni ya mtoto wake aliyeko Uingereza imepewa kazi ya kuiwezesha NSSF kupata cheti cha ubora ie ISO.

Kampuni hiyo imemtuma mwakilishi wake ambaye analala hotelini ya bei ghali na kulipiwa na NSSF kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Mabilion ya pesa yameshatumika kuilipa hiyo kampuni ya mwanae Dau.

Pia inasemekana NSSF waliingia mkataba na wawakilishi feki wa Real Madrid kwa ajili ya kujenga chuo cha mambo ya mchezo na gharama kubwa imeshatumika huku kukiwa na sintofahamu baada ya Real Madrid kudai hawahusiki ktk hilo suala na sasa NSSF wameshtakiwa kwa kutumia jina hilo bila idhini yao.

Nitakuja nawapakulia jinsi ntavyozidi kuzinyaka.
It's unbelievable!!! Commanda Mlowola wa TAKUKURU afanyie kazi na kama ni uongo mtoa taarifa awekwe ndani without bail kwa kuchafua jina na Dr Dau.
 
Elewa tu kwamba hata Idd Amin na Hitler walikuwa na marafiki weeengi! Muhimu pia tufahamu kwamba wapuuzi wote pia wana marafiki wanaopuuzika nao.
Sijui kwa nini wanategemea Mteule wa rais aliyepita awe mtu mwema!

Dr.Dau sio Mteule wa Kikwete. Aliteuliwa na Rais Mkapa kwa ushauri wa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Ndg Martin Lumbanga. Rekebisha taarifa yako.
 
Ushauri wa marehemu Dr omary through kitwana kondo
 
Wakati tukiwa bado tunasubiri ripoti za wizi ulifanya na kiongozi huko Nssf,tayari kuna taarifa kuwa kampuni nyingine zinazofanya kazi na NSSF zina uhusiano na Dr. Dau.

Hizi ni pamoja na kampuni ya ulinzi inayolinda majengo na ofisi za NSSF,pia kuna taarifa kuwa kuna kampuni ya mtoto wake aliyeko Uingereza imepewa kazi ya kuiwezesha NSSF kupata cheti cha ubora ie ISO.

Kampuni hiyo imemtuma mwakilishi wake ambaye analala hotelini ya bei ghali na kulipiwa na NSSF kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Mabilion ya pesa yameshatumika kuilipa hiyo kampuni ya mwanae Dau.

Pia inasemekana NSSF waliingia mkataba na wawakilishi feki wa Real Madrid kwa ajili ya kujenga chuo cha mambo ya mchezo na gharama kubwa imeshatumika huku kukiwa na sintofahamu baada ya Real Madrid kudai hawahusiki ktk hilo suala na sasa NSSF wameshtakiwa kwa kutumia jina hilo bila idhini yao.

Nitakuja nawapakulia jinsi ntavyozidi kuzinyaka.
Toa taarifa za kuaminika , usiendeshwe kwa tetesi . Mmeshindwa kutoa ushahidi wa udini na sasa mnaenda kwenye tenda bila ushahidi wowote
 
Back
Top Bottom